Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

JB Mpiana ni hatari!
Wimbo: 48 Heures Gecoco!

...

REFRAIN

Gerard natikali- Gerad am only remained with
Na mikolo se mibale ya vie
48 heures liwa epesi nga ultimatum ya suka- only two days to live, death has given me an ultimatum of 48 hours

Absence nayo ekotisi nga boloko na salle d'urgence
Na koma locataire na clinique Ngaliema-Your absence has kept me waiting in a prison like emergency room, I have become a tenant at Ngaliema Dispensary( Clinic)
REFRAIN REPEAT ABOVE

...

Heshima debe!
Siku zote nlikua sielewi kwann wameshutia hosp. Asante mkuu CHAZA.

Wiki yote hii nmekua nacheza TH narudiarudia tuu.... then huu uzi. Then accapella kaiweka Kituko then wewe na 48hours..... Mashallah
 
VERSE 2

Bana ya campus faculte de medicine- the students of Campus Faculty of Medicine

Wapi the'rapeutique ya ba maladies d'amour- I ask where is the therapy of love disease

Soki na weyi bo continuer ba recherche, pour d'autre amoureux-if I die continue searching for another lover

Gerard miso na nga esali greve, pona emona yo te depuis des mos-Gerad my eyes has gone on strike, the reason is they have not seen you for months now

Na beli cecite lokola mobange,Gecoco zonga s'il te plait ngo- I am suffering from blindness like a senile/ old person, please Gecoco come back to your place

Rudia hapa kwa kuanza:Gerard oza malili.............hadi mwishoni ambapo ni:Raviens Gerard Mulumba.............na ko limwa!

Kibwagizo: JB Mpiana

Mawaaaaaaaaaaaaa-sadness

Mawa na nga ekontaminer- this sadness will kill me

Kibwagizo: Wote wakiongozwa na Jules Kibens

Maman a' mon chevet abela ka tension- my mom is at my bedside and she has high per tension( BP)

JB M'piana:

Na ko banga ba kunda nga na ye libulu moko Maman Lusambo Agnes- My fear is they might burry her with me in one grave because she might die with me mother Lusambo Agnes

Pongi epesi nga carton rouge- I cant sleep because the sleep has given me a red card

Moyen na lala ikeleve- the way I can sleep is impossible

Bubutu ekomi elastique- the nights has become long

A cause de toi, Absence- because of your absebce

Lelo nga na pesi maman raison-today I give mother a reason

Presence eza vitamine ya l'amour
Plus que 48 heures ya vie sur terre- the presence of someone you love is a vitamin of love and more than 48 hours life on earth

Gerard zongisela nga pema na nga oyo o mema, oyo ya bombone na lembi- Gerard bring back my breath you carry along with you, am tired of this artificial one

Lelo nga na vivre punition ya Genese- Today I live with punishment in Genese

Tojours attire et dominer par mon mari- Always attracted and dominated by my husband

Soeur Anoiritte soku ozalaki vivante- Sister Anoiritte if you were living

Mbele odefisi nga motema na yo- Mbele borrow me your heart

Na sala voeux ya celiba ti Gerard akozonga- I wish I would not got married till Gerard returns

Plus que 48 heures ya vie sur terre- More than 48 hrs of life on earth

Kibwagizo - Wote:

Kisi eleki presence physique na efficate emona ni te partout au monde-the best medicine is the physical presence than efficiency that is not significant, that applies across the world

Bebe Ramasan- Ramasan baby

Mawaaaaaaaaa
Mawa nanga ekontaminer-

Maman mon Chevet abelanka Tension-my mother Chevet suffers from hypertension!

Maneno mengine yanajirudia isipokuwa anasema Amida maman ya Daida- Kwamba Amida ni mama wa Daida! Amida Shatur ni mke wa JB Mpiana ambae waliachana baada ya tajiri wa madini Didi Kinuani kumshawishi ili aachane na JB Mpiana na kweli akatoroka kwa mume. Ila kwa sasa amerud tena kwa mumewe JB Mpiana. Daida ni bintiye JB Mpiana.

Ni wimbo mzuri sana, unaweza kuweka Youtube ukafuatilia maneno utafurahi sana.

Kuna maneno nimeshindwa kuyaandika kwa maneno ya English hasa Voeux kule oe zimeungana kiasi kwamba "o" iko kama imezama ndani ya " e".
Pia alama ' kwa kifaransa ni ngumu kuipata na ni tofauti na hiyo!
 
JB Hajawa Papaa Mopao Wala Mokonzi Lakini Na Wewe Jiulize Ni Kwanini Koffi Olomide Na Werrason Hadi Leo Hawajawa Mukulu Ya Bamukulu Na Souverain? Kwa Taarifa Yako Tu DRC Kinshansa Nikimaanisha Nchi Nzima Ya Congo Ya Kabila JB Mpiana Kapachikwa Cheo Kisicho Rasmi Cha Makamu Wa Rais Na Hili Tu Kukudhihirishia Hili Msafara Na Makongamano Ya Rais Joseph Kabila Kabange Huwa Hayavutii Watu Kama Ya JB Mpiana Na Ndiyo Maana Ilibidi Itumike Mbinu Ya Kumdhoofisha JB Mpiana Ambapo Ilibidi Rais Joseph Kabila Atumie Mbinu Ya Ziada Na Mabavu Kuweza KUMUIBIA Jb Mpiana Mkewe Amida Chatou Ambaye Utamuona Sana Ktk Ile Nyimbo Ya OMBA. Na Sasa Hivi Tena Huyo Demu Amida Ameshachukuliwa Na Tajiri Mkubwa Na Hatari Nchini Congo Ambaye Anaaminika Kuwa Na Hela Kushinda Hata Za Rais Joseph Kabila Japo Ni Rais Na Anaitwa Didier Kinuani ( Papa Briane ) Kitu Ambacho Kimepelekea Kuwa Na Uadui Mkubwa Mno Na JB Mpiana Kiasi Kwamba Siku Hizi Jb Mpiana Huwa Hamuimbi Tena Wala Kumfagilia Ktk Nyimbo Zake ( Kikongo Wanaita Kufanya " MAKANGA " ). Je Una Jingine Mkuu? Gusa Kote ILA Kwa Miziki Ya DRC Kinshasa Na DRC Brazaville Kwangu Mimi Ni Sawa Na Kumtoa Nyoka Sakafuni Na Kumpeleka Ktk Nyasi Je Unategemea Nini Hapo?

Uko njema sana. Sasa hivyo vyeo vya suveree wanadai si rasmi katika ranking ya unguli wanamuziki wa kongo... kama unaifahamu hiyo ranking mkuu tupiamo humu tujifunze zaidi.

Didi Kinwani kwa sasa Werra ndo anamuimba sana. In fackt kwenye kibuisa mpimpa (double cd album) alidedikasee wimbo mzima kwa Didier. Sina hakika km bifu na JB lilikua lishaanza tyr.

JB hana haja kumlaumu DK kwani alienzisha mkewe kutangatanga ni JK (a.k.a HCK)

Wakongo wana visa sana. Bifu la Koffi na Wazekwa wanadai ni mambo hayohayo ya wanawake. Wazekwa alikamata mama mzazi ya Koffi! Kitu kama hicho.....
 
CHAZA nkipata ajali unahusika. Yani hapa narudia rudia hiyo 48hours balaa...... kama hapo 'maawaaaa....'
 
Last edited by a moderator:
CHAZA nkipata ajali unahusika. Yani hapa narudia rudia hiyo 48hours balaa...... kama hapo 'maawaaaa....'

Paki gari. Soma mashairi huku ukiangalia live nawe ukifuatusha anavyoyatamka hayo maneno, ukizubaa anakuacha maana mengine anamung'unya tu tayari verse amemaliza. Ni mchanganyiko wa Lingala na Kifaransa. Nikatoa na English Translation!
 
Last edited by a moderator:
Heshima debe!
Siku zote nlikua sielewi kwann wameshutia hosp. Asante mkuu CHAZA.

Wiki yote hii nmekua nacheza TH narudiarudia tuu.... then huu uzi. Then accapella kaiweka Kituko then wewe na 48hours..... Mashallah

Ukisachi google earth Ngaliema Clinic, hospitali kubwa nadhani ya binafsi katikati ya jiji la Kinshansa
 
Paki gari. Soma mashairi huku ukiangalia live nawe ukifuatusha anavyoyatamka hayo maneno, ukizubaa anakuacha maana mengine anamung'unya tu tayari verse amemaliza. Ni mchanganyiko wa Lingala na Kifaransa. Nikatoa na English Translation!

Nakomaa na audio. Nataka kumasta kiitikio kwanza afu niwe naimba njia nzima.
 
Asante sana Kaka kwa hicho kitu masaa 48, hapo ukimsikiliza JB anavyopanda na kushuka ndio utajua jamaa ni mbaya
 
JB Hajawa Papaa Mopao Wala Mokonzi Lakini Na Wewe Jiulize Ni Kwanini Koffi Olomide Na Werrason Hadi Leo Hawajawa Mukulu Ya Bamukulu Na Souverain? Kwa Taarifa Yako Tu DRC Kinshansa Nikimaanisha Nchi Nzima Ya Congo Ya Kabila JB Mpiana Kapachikwa Cheo Kisicho Rasmi Cha Makamu Wa Rais Na Hili Tu Kukudhihirishia Hili Msafara Na Makongamano Ya Rais Joseph Kabila Kabange Huwa Hayavutii Watu Kama Ya JB Mpiana Na Ndiyo Maana Ilibidi Itumike Mbinu Ya Kumdhoofisha JB Mpiana Ambapo Ilibidi Rais Joseph Kabila Atumie Mbinu Ya Ziada Na Mabavu Kuweza KUMUIBIA Jb Mpiana Mkewe Amida Chatou Ambaye Utamuona Sana Ktk Ile Nyimbo Ya OMBA. Na Sasa Hivi Tena Huyo Demu Amida Ameshachukuliwa Na Tajiri Mkubwa Na Hatari Nchini Congo Ambaye Anaaminika Kuwa Na Hela Kushinda Hata Za Rais Joseph Kabila Japo Ni Rais Na Anaitwa Didier Kinuani ( Papa Briane ) Kitu Ambacho Kimepelekea Kuwa Na Uadui Mkubwa Mno Na JB Mpiana Kiasi Kwamba Siku Hizi Jb Mpiana Huwa Hamuimbi Tena Wala Kumfagilia Ktk Nyimbo Zake ( Kikongo Wanaita Kufanya " MAKANGA " ). Je Una Jingine Mkuu? Gusa Kote ILA Kwa Miziki Ya DRC Kinshasa Na DRC Brazaville Kwangu Mimi Ni Sawa Na Kumtoa Nyoka Sakafuni Na Kumpeleka Ktk Nyasi Je Unategemea Nini Hapo?

Tolekaaaa monsieur GENTAMYCINE. . . . .
 
Last edited by a moderator:
Ntaitafuta nkipata wasaa. Makes sense ukiskiza wimbo unaouelewa na mandhari

Yeah. Tafsiri nadhani umeipata. Maana ulikuwa unaona picha tu mdada ndani ya Ambulance, ukaona ile simu pembezoni mwa kitanda. Leo umejua ile hospital ni Ngaliema, ile simu ni ruhusa ili apigiwe huyo mpenzi wake.

Next week natupia wimbo wa Ferre Golla kati ya:
1. Vita- Imana au
2. 100 Killos
 
Vita imana mkuu
 
.....Mibale na mibale Kofi makambosana !!!

cindy-le-coeur-live-66-ans-6.jpg
Aisee kama wewe ni mdau unaelewa hii lugha , hivi wanaposemaga alex mfumusi wanamaanisha nn?? Huwa ni jina la mtu au?
 
Aisee kama wewe ni mdau unaelewa hii lugha , hivi wanaposemaga alex mfumusi wanamaanisha nn?? Huwa ni jina la mtu au?

Mengi ni majina ya watu! Wimbo kama Ndombolo ya Sollo asilimia kubwa yametajwa majina ya watu hasa ya Wenge Musica
 
Ni kweli Masiya inalink na Papa Lutumba na Mabele hii ni ya 1973 au 1974 inajulikana pia kwa jina la Ntotu na aliimba Sam Mangwana. Alipotunga hii ndiyo akapachikwa jina la Poet. Uimbaji wake ni style ya Lolaka ambayo toka mwanzo hadi mwisho anaimba mtu mmoja tu. Hivyo kwa muibaji inakuwa challenge kubwa. Mabele ya hapo juu ni ya Empire Bakuba. BTW Pepe Kalle ameimba Maya, Verbale Diarrhea (Tuba Tuba), na Trahison akiwa mwimbajj mualikwa katika collabo na Lutumba.

Unapo mtaja Simaro Lutumba Masiya,una zungumzia mtu adimu sana duniani ktk utunzi na upigaji wa gitaa, pia yeye ndio alie wainua hawa watu : Carlyto Lassa ,Malage de Lugendom, Samangwana na Madilu hawa ndio pekee Simaro aliwaamini wanaweza kuimba Mashairi yake, unaweza Sikiliza vitu kama Maya aliimba Carlyto, Testamente ya Bowule aliimba Malage na Franco, Verre case kopa epasuki, Eau Benite n.k aliimba Madilu, kuna Mabele, Ebale ya Zaire, Faute ya commercant aliimba Samangwana a.k.a Le Grand Devoyega..
 
Last edited by a moderator:
Hint……mcheck kweny SKOL MANDRA MADA

Huyu dada ni kifaa cha kike kipya ktk Congolese music now days, Koffi aligundua kipaji cha huyu dada nadhani pia ameimba kwa mara ya pili bahadhi ya nyimbo za Koffi,na VCD zako zote na nampenda sana na vocal zake, na kujiamini

Wimbo mkali kabisa alio imba na Kofii ni hua hapa:

[video]OFFI OLOMIDE feat CINDY LE COEUR L' ALBUM SANS NOM - IKEA - DJ OMEGA BP [/video]
 
Mkuu ahsante kwa link. Cindy Chante.
 
Back
Top Bottom