Nimekupata mdau !!!! Demu anasaut hatari sana huyu Cindy Chante
Naon werrason mzee tecno malewa upo hapaaa,,,
​So what.........!
Unailewa Abracadabra mkuu……!!
We unaona Fally na Ferré nani yuko zaid. . . . .
Hahahaa, kidogo. Siko deep sana ila mziki wa Kongo hasa miaka ya tisini inanipeleka mbali sana.
We unaona Fally na Ferré nani yuko zaid. . . . .
.....Mibale na mibale Kofi makambosana !!!
![]()
Thread haisemi hivyo!
Kwangu Ni ferre Gola,yale mauno ya fally yananiboa...