Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Woote napenda nyimbo zao, kwa ujumla Congo kinshasa imebarikiwa. Nyimbo wapo soka wapo utanashati wapo utajiri wa madini noma tupu. Kanda ya nini hahaaa. Papaa mopao kila album inatisha. Naukumbuka wimbo wake wa miko noma tupu
 
Kka huyo jamaa sauti yake yenyewe ni mziki tosha, kuna kitu kama Ferre de Armour, Omba, 48 hrs, na Acapela

Hicho kibao cha Acapella alikiimba baada ya kuachana na Werrason
ngoja nikupe vipande vyake hapa:

Nini ya mabe ngai nasaliyee- ni kipi kibaya nilichofanya
Faute nakoma ennemi jurer ya moto nyoso tuu-Mpaka niwe adui wa milele kwa watu wote
Maso nakosala bakomona mabe- kila niachofanya wanakiona kibaya
Ngai Mpiana nayebi tina nakokufa tee- Mi Mpiana wala sijuhi siku ntakayokufa
Naseka nanga ooo ngana choli bangoo- nikicheka wanasema nawachokoza
Naloba ata lisolo nganatongi bangoo- nikisema niwasalimie wanasema nawachokoza
Nzambe ya moto yebaka le bon et le mauvais - Mungu wewe ndio unajua kizuri na kibaya
Soki ya c'est vrai nazali moto mabee- kama ni kweli mimi ni mtu mbaya
Pesa nga etumbu ya liwa na kufa po basepelaa- unipe kitu nile ili nife ili wafurahi
Lobi balobakinga Porton la poulon se d Or- Jana waliniona kama nimebeba dhahabu
Lelo nga nakomi ennemi jurer na bango- na leo nimekuwa adui wa milele kwao
Nzambe yokela likolo na mabelee- Mungu unisikie juu na chini
Nganatie ma malongo nase nakosenga jugement seyayoo- napiga magoti chini nikiomba mahamuzi yako

Kipande che chini baadae, hakuna mwanamuziki ninayemkubali DRC kama huyu bwana, jamaa anajua mziki sana sana

CC: Merengo90, werrason

Mkuu Kituko tisha sana. Salute😉
 
Last edited by a moderator:
..Pepee Kale (RIP)
..Kanda Bongoman
...Mabelee
...JB Mpiana
...Yondo Sister mwana mama eeeh mama
...Shimita
...Gato

Ngiama Makanda
Nyboma Mwandido
Zaiko Nkolomboka
Damian Aziwa
Aurlus Mabele
Jean Baron
Pappy Tex
...Rotcherou
Felix Wazekwa
 
....Mkuu Heshima kwako salute !!!!

Kaka tupo Pamoja sana, Hicho kipande alikiimba Solo (Pekeyake), kipande cha pili alikiimba na backup voice lakini yeye kama kawaida yake sauti ya ajabu

Nani akoki kolinga ba hinga ye mboka mobimba- Nani anayependa atangazwe dunia nzima
Nani akoki kondima peine de mort soki aza innoncent- Nani anayweza kukubali auliwe na hajui kitu?
Mabe nga nasali bango- Makosa ambayo niliwatendea
Na reflechir na monite- niko nawaza sioni
Nzambe soki oyebi yango lakisanga atana ndoto-Mungu kama unajua unionyehse hata kwenye ndoto
Pona senga bango pardon, na meseni rancune te- Ili kusudi niwaombe msamaa, mi sijuhi kuweka kisirani
Nazali ami de la paix- Mi ni rafiki wa zamani
Partisan de la non violence- Mtu nisiyependa fujo
Souvenir nanga ya mabe- Ni kidonda kibaya sana
Ndege to meseni na bango- Kwa sababu sisikilizani nao
Bakopesanga sourrire na motema nga ennemii- Wananipa kicheko na roho ya uadui

Kaka pata Burudani,

nikipata muda nitakuwekea kitu FEUX DE L'ARMOUR, miongoni mwa Nyimbo zilizomnyongonyesha na kumuuma sana sana werrason, wengine wanasema hiyo Albam aliyoitoa JB kama Solo artist ndio ulikuwa mwanzo wa Werrason kusepa

CC: merengo90
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kituko naisubiria feux de l'amour kwa hamu. Kusema kweli hapo JB alitisha.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wakuu kwenye albamu ya NDOMBOLO kina Ngiama, Bleisse Bulla, Dominguez, Aimelia, Allain Mpela na Makaba walishiriki au hawakushiriki?

cc: merengo90
cc: Kituko
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa si walikuwaga na bifu, kipind kile cha WENGE BCBG....Werra namkubali kuliko Mpiana

Inasemekana hivyo na hata kuvunjika Bon Chic Bon Genre ni wao ndio chanzo. . ,Wakawatesa kina Blaise Bulla, Titi Alcapone na wengine. . , . .wasingesambaratika sijui ingekuwaje leo
 
Mie namkubali Binadamu. . . . .Souver
 
Haha Unapenda ile sauti, eeh. Ila hana swagga
 
kama ni zilipendwa sawa jamaa JB alitisha sana lakini mkumbuke kulikuwa na vichwa kama Makaba, Injinia Bula, Werrason, ndiyo walikuwa wapishi wazuri.

Baada ya Titani , JB kabakia na legacy yake ya zamani.

Jamaa anazungumzia Kapaya, mwaka wa sita wa saba toka aondoke, walishapita akina Kimbangu na weengi. Mambo ya Mpunga na mikataba ni mambo tata sana, unajua JB Mpiana aliwatia ndani kiasi gani wenzie baada ya Ndombolo ya Solo, su unajua Bill Clinton alichukua mpung wa kiasi gani toka kwa watengenezaji wa Skol?

Nini kapaya waliondoka akina Adolf Domininguez, FERRE GORA, JDT MULOPWE,FABRIGAS, CELEO,KIMBANGU, JAPONEISE,DEMINGONGO,na juzi akina Deplick, Brigade, Maison Mere ipo kama chuma cha pua toka Malewa I na II, na sasa Desert Ingeta balaaa, tusubiri wanamuziki wetu wa kukopi na kupesti watakuja sijui kibega, mahemba, bibero, raaaaangi nyiiiiingi kumbe Malewa ya kwake Le Roi De la Forret Igweeeee!
 
Mkuu huko well informed na hizi mambo
 
Kka huyo jamaa sauti yake yenyewe ni mziki tosha, kuna kitu kama Ferre de Armour, Omba, 48 hrs, na Acapela

Hicho kibao cha Acapella alikiimba baada ya kuachana na Werrason
ngoja nikupe vipande vyake hapa:

Nini ya mabe ngai nasaliyee- ni kipi kibaya nilichofanya
Faute nakoma ennemi jurer ya moto nyoso tuu-Mpaka niwe adui wa milele kwa watu wote
Maso nakosala bakomona mabe- kila niachofanya wanakiona kibaya
Ngai Mpiana nayebi tina nakokufa tee- Mi Mpiana wala sijuhi siku ntakayokufa
Naseka nanga ooo ngana choli bangoo- nikicheka wanasema nawachokoza
Naloba ata lisolo nganatongi bangoo- nikisema niwasalimie wanasema nawachokoza
Nzambe ya moto yebaka le bon et le mauvais - Mungu wewe ndio unajua kizuri na kibaya
Soki ya c'est vrai nazali moto mabee- kama ni kweli mimi ni mtu mbaya
Pesa nga etumbu ya liwa na kufa po basepelaa- unipe kitu nile ili nife ili wafurahi
Lobi balobakinga Porton la poulon se d Or- Jana waliniona kama nimebeba dhahabu
Lelo nga nakomi ennemi jurer na bango- na leo nimekuwa adui wa milele kwao
Nzambe yokela likolo na mabelee- Mungu unisikie juu na chini
Nganatie ma malongo nase nakosenga jugement seyayoo- napiga magoti chini nikiomba mahamuzi yako

Kipande che chini baadae, hakuna mwanamuziki ninayemkubali DRC kama huyu bwana, jamaa anajua mziki sana sana

CC: Merengo90, werrason

Mkuuu umetisha sana. Hilo ngoma lake OMBA, jamaa katiririka noma
 
Last edited by a moderator:
Werrason sasa hivi anakuwa Boss na mpiga pesaa so yeye anakuza vipaji anavtumia, kama KOFFI Olomide Mopao Mokozi nae anaswaga hizo.

Pozi weka pembeni mkuu hapo tazama vipaji. . . .vocal na kadansee utaona gap. . . .Kama vipaji JB pia anakuza. .. ,umemsikia Obamaa? ??!!!!
 
Mkuu,this is new Era mkuu..Jb ana legacy yake ila now kubali tu kapigw gape kwenye upish wa ngoma
 
Hakunaga kama werrason.
Zaidi ya album 5 zimemfunika J. Mpiana!
Ndie mtu pekee anaemnyima usingizi mopao.
Kwa analinganisha werra na jb mimi nadhani haujui mziki wa kongo.
Operation dragon(kibuisa mpimpa).
Entervison rapid.
Luloke,
Sorola bye, koffi ayina,
Tecno malewa, tecno malewa suit.
Satelite.

Kwa upande wa jb ukiondoa titanic hakuna iliyoshika soko.
(Pia bifu lake na pedejee la kinshasa limemtoa barabarani).

Hebu weka albam za JB tafuta Live a Kinkole na Biloko visuals halafu tuje hapa mkuu
 
Back
Top Bottom