Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Member wa Bolingo, unamjua huyu?

Kwa upande wa fally na ferre kama wanafanana tu !
Hiyo 100 kilo, pia kumbuka kuna associe, travelilling love, french kiss na original.
 
kama umewahi kuisikiliza 100 kilos utakuwa umepata jibu.

Ni nyimbo au album na ya nani kati yao. . . . .??!!!
Lakini pia hupati jibu kwa album au nyimbo moja

Hebu funguka kuhusu 100kilos
 
Last edited by a moderator:
Hint……mcheck kweny SKOL MANDRA MADA

Huyo Ni Cindy Mke Wa Sasa Wa Mwanamuziki Maarufu Nchini DRC Kinshasa Charles Antoine Koffi Olomide a.k.a MOPAO MOKONZI, a.k.a Le Maximone, a.k.a Papa Rocky a.k.a Large Degaire. Koffi Olomide Ni Bingwa Wa Kuchepuka ( Kubandua Hovyo Hovyo ) Ila Tokea Amuoe Huyu Mdada Nidhamu Ya Ndoa Na Utulivu Imerudi Kwa 100%. Na Ili Kudhihirisha Kuwa Koffi Olomide Amekolea Kwa Cindy Wakati Tu Anamchumbia Alimzawadia Gari Mpya, Ya Kisasa Na Ya Kifahari Aina Ya Vogu. Na Sasa Huyu Cindy Ndiyo Kiongozi Wa Wanamuziki ( Chaunters Bendi Hiyo Ya Mumewe Ya Quarter Latin Akisaidiwa Na Muimbaji Mkongwe Wa Sauti Kali Ya Kwanza Ajulikanae Kwa Jina La Jipson Butukondole a.k.a Cardinale. Ila Cindy Ana Sauti Nzuri Na Tamu Sana Bila Kusahau Kuwa Ana Kipaji Cha Pekee Ktk Kuimba Na Cha Kustaajabisha Anaweza Hata Kughani ( Kurapu ) Kikongo Wanaita Atalaku au Animateur Kwa Kifaransa.
 
Yeah, ni kweli MOPAO ni player ila kwa sasa yupo kiutuzima zaid. Kamtoa mbali sana huyu Cindy, Cindy analia kinoma jukwaani kila akianza kuzungumzia Koffi alipo mtoa....ila nice couple
 
Huyo Ni Cindy Mke Wa Sasa Wa Mwanamuziki Maarufu Nchini DRC Kinshasa Charles Antoine Koffi Olomide a.k.a MOPAO MOKONZI, a.k.a Le Maximone, a.k.a Papa Rocky a.k.a Large Degaire. Koffi Olomide Ni Bingwa Wa Kuchepuka ( Kubandua Hovyo Hovyo ) Ila Tokea Amuoe Huyu Mdada Nidhamu Ya Ndoa Na Utulivu Imerudi Kwa 100%. Na Ili Kudhihirisha Kuwa Koffi Olomide Amekolea Kwa Cindy Wakati Tu Anamchumbia Alimzawadia Gari Mpya, Ya Kisasa Na Ya Kifahari Aina Ya Vogu. Na Sasa Huyu Cindy Ndiyo Kiongozi Wa Wanamuziki ( Chaunters Bendi Hiyo Ya Mumewe Ya Quarter Latin Akisaidiwa Na Muimbaji Mkongwe Wa Sauti Kali Ya Kwanza Ajulikanae Kwa Jina La Jipson Butukondole a.k.a Cardinale. Ila Cindy Ana Sauti Nzuri Na Tamu Sana Bila Kusahau Kuwa Ana Kipaji Cha Pekee Ktk Kuimba Na Cha Kustaajabisha Anaweza Hata Kughani ( Kurapu ) Kikongo Wanaita Atalaku au Animateur Kwa Kifaransa.

....Unatisha !!!
 
Kuna habari sana zinasambaa kujusu ku shine kwa Fally, na Mopao anahusika kulifanilosha lililofanyika
Kinachosemekana ni hichi, zile nyimbo hasa Bakandja, alishazifanyia mazoezi akiwa na 'Mopao, Koffi alizifanyia editing na zilibakia stage ya kuingia studio ndio Fally akaingia mitini na kwenda kuziredi haraka haraka,

ni kweli Mopao alishasema baada ya ile albamu iliyomtoa Fally (Bakandja) hawezi tena kutoka kwa sababu anaujua uwezo wake na anajua kwa jinsi gani alimsaidia kwa hizo nyimbo kuwa kama zilivyo

Nadhani inaweza kuwa na yale ya kina Suzuki,

na ndio maaana nasema Ferra anaweza kukaa sana kwenye game kwa sababu yeye binafsi ana uwezo
 
Wakina suzuki walikimbia now hawana jipya sasa...muziki una mengi sana
 
Mkuu labda we unaangalia idadi ya Album au nini. . . .mi naangalia vipaji vyao haswa kuimba
Hebu nipe mwimbo mmoja wa Werra wenye vocal kali mi nakupa Mohamed Kaniansi katika album ya TH -Toujour Humble. . . . . . .

Au Kalayi Boeing tafuta vipande vyao. . . . . .Ligi ya akina Mpela na Suzukii Werra hakai kwa vocal calypse

....OLESAIDIMU Shikamoo ...JB Mpiana ni mashine Kubwa ya music hata Primus DRC wanajuwa hiyo mambo !!!
 
Hakika Hujakosea Mkuu Ktk Live Show Congo Nzima MFALME Wao Ni Jean Bedele Tshituka Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica Bon Chic Bon Genre ( BCBG ) Ikimaanisha Wazuri Na Watanashati. Huyu Jamaa JB Mpiana Na Kundi Lake Zima Nalipenda Kuliko Kupita Maelezo Na Nimeweza Pia Kujifunza Muziki, Kujua Mapigo, Mipangilio Na Mafaniko Ya Mziki Kupitia Kulifuatilia Hilo Kundi au Hii Bendi Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Jb Mpiana a.k.a PAPA CHERIE au De La Patria.
 
Wakina suzuki walikimbia now hawana jipya sasa...muziki una mengi sana

......Hii Live inaitwa weka Mbali na watoto !!!

JB%20Mpiana%20Zenith%201999.JPG
 
Hakika Hujakosea Mkuu Ktk Live Show Congo Nzima MFALME Wao Ni Jean Bedele Tshituka Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica Bon Chic Bon Genre ( BCBG ) Ikimaanisha Wazuri Na Watanashati. Huyu Jamaa JB Mpiana Na Kundi Lake Zima Nalipenda Kuliko Kupita Maelezo Na Nimeweza Pia Kujifunza Muziki, Kujua Mapigo, Mipangilio Na Mafaniko Ya Mziki Kupitia Kulifuatilia Hilo Kundi au Hii Bendi Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Jb Mpiana a.k.a PAPA CHERIE au De La Patria.

....jamaa anakipaji na mafanikio makubwa
 
Back
Top Bottom