SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Nimekupata mdau !!!! Demu anasaut hatari sana huyu Cindy Chante
Mkuu Bolingo ni Mapenzi. Basi mie nikajua umepost kwenye jukwaa la MMU.
Nimekupata mdau !!!! Demu anasaut hatari sana huyu Cindy Chante
Kaka tupo Pamoja sana, Hicho kipande alikiimba Solo (Pekeyake), kipande cha pili alikiimba na backup voice lakini yeye kama kawaida yake sauti ya ajabu
Nani akoki kolinga ba hinga ye mboka mobimba- Nani anayependa atangazwe dunia nzima
Nani akoki kondima peine de mort soki aza innoncent- Nani anayweza kukubali auliwe na hajui kitu?
Mabe nga nasali bango- Makosa ambayo niliwatendea
Na reflechir na monite- niko nawaza sioni
Nzambe soki oyebi yango lakisanga atana ndoto-Mungu kama unajua unionyehse hata kwenye ndoto
Pona senga bango pardon, na meseni rancune te- Ili kusudi niwaombe msamaa, mi sijuhi kuweka kisirani
Nazali ami de la paix- Mi ni rafiki wa zamani
Partisan de la non violence- Mtu nisiyependa fujo
Souvenir nanga ya mabe- Ni kidonda kibaya sana
Ndege to meseni na bango- Kwa sababu sisikilizani nao
Bakopesanga sourrire na motema nga ennemii- Wananipa kicheko na roho ya uadui
Kaka pata Burudani,
nikipata muda nitakuwekea kitu FEUX DE L'ARMOUR, miongoni mwa Nyimbo zilizomnyongonyesha na kumuuma sana sana werrason, wengine wanasema hiyo Albam aliyoitoa JB kama Solo artist ndio ulikuwa mwanzo wa Werrason kusepa
CC: merengo90
....naikumbuka ile album yao ya kwanza ilikuwa moto sana
Haha Unapenda ile sauti, eeh. Ila hana swagga

Mkuu,this is new Era mkuu..Jb ana legacy yake ila now kubali tu kapigw gape kwenye upish wa ngoma
Yeah Jb ana sauti nzuri na hiyo ndiyo siraha yake kuu..Inasemekana hivyo na hata kuvunjika Bon Chic Bon Genre ni wao ndio chanzo. . ,Wakawatesa kina Blaise Bulla, Titi Alcapone na wengine. . , . .wasingesambaratika sijui ingekuwaje leo
Mie namkubali Binadamu. . . . .Souver
Swadakta ni album ya JB nje ya kundi ni ilifanya vizuri sana sokoni..
Nakubali lakini hii era mpya vionjo vyake nawakubali Ipupa na Ferre sababu wanaikba na kucheza saanaa tu. . . . .WERRA anabaki kuwa mtu mzima na heshima yake hilo sikatai
Mkuu unapata wapi lyrics hizi
Fally now kapoa, zile enzi.za bakanja ndo alokiw hatar, kutunga na kucheza pia.
Ila katoka mbali sana kuwa Dancer wa koffi hadi level hyo, kapig hatua sana
Fally now kapoa, zile enzi.za bakanja ndo alokiw hatar, kutunga na kucheza pia. Ila katoka mbali sana kuwa Dancer wa koffi hadi level hyo, kapig hatua sana
Hahaaa! Hv wakati mopao anatamba na abacadabra! Werra ana satellite baada ya malewa,
Jb amefichwa wapi?
Anashinda hata kupangua nyimbo za kizazi kipya kama original(fally) boite noire (ferre).
Sasa mnamlinganisha na werra kweli????
Unajua muziki una siri kubwa sana, sidhani kam Fally atakuja kusimama tena, naona kama ndio anaelekea shimoni, Ferra yupo tofauti na mbali sana zaidi ya fally, Ferra anaujua Muziki na anaweza kukaa sana kwenye game
Inasemekana baada ya kutoa albam ya kwanza Droit Chemin wazee wa kazi akiwemo Mopao walisema akitoa album nyingine moyo kama ile basi ingekuwa wakati wao kupumzika Arsene du belles haikufanya vizuri sana wazee wakashukuru