Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 796
- 1,557
Kama unamjua mtaje kuna member humu alitambulishaga Id zake zote cha kushangaza kwenye baadhi ya mada ana reply kisha aquote kujitukana na na Id yake nyingine Kuna muda an ji tag mwenyewe sasa najiuliza mbona anajitukana huyu ni nani? de kama unamjua MTAJE?