Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

Mkuu leo kulikuwa na upepo mkubwa sana...hata hapa dar maeneo ya karibu na bahari hali ilikuwa siyo nzuri , sasa sijui huko baharini hali ilikuwaje..
Sasa hapa inabidi tuulizane maana naambiwa pale kivukoni kuna kituo cha kuelekeza meli na hali ya hewa. Je, kituo hiki kilitoa kibali kwa meli hiyo isafiri hata kama hali ya hewa ilikuwa mbaya kiasi hicho?..
 
ni kitu kile kile, Skaget ni kampuni inayomiliki meli inayoitwa seagull

SEAGULL ndiyo kampuni inayomiliki MV Skaget na MV Kalama. Hizi meli ni mitumba ambazo zilistaf huko ishwa kubeba abiria huko USA!!! Tanzani ni zaidi ya uijuavyo!!!

The Skagit/Kalama Class ferries were high-speed passenger vessels built for Washington State Ferries (WSF) in 1989. The Skagit and Kalama were the only ferries in this class. Both vessels were permanently docked after WSF was directed in 2006 to end its passenger-only service, and in 2011 they were sold and expected to be transported to Tanzania where they would provide service between the mainland and Zanzibar.[SUP][1]

[/SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Skagit_Kalama_class_ferry
 
Tume ya Mv Bukoba 1995 iliishia wapi?,maana Serikali Kama kawaida Yao hawakawii kusema wataunda tume siku zikipita Watanzania wamesahau Serikali nayo inatulia.Tutakufa sana sisi Watanzania kwa uzembe wetu ktk kila jambo.
 
poleni sana ndugu zanguni, tupo pamoja katika roho Mungu awape ujasiri katika janga hili!!
 
Hizi sio habari za kufanyiana mzaha, kwenye ile meli kuna Watanzania wa kila chama na wasio na vyama na kuna watoto wadogo wasiojuwa hata chama cha siasa ni nini. Fanyeni adabu kidogo kwa jambo hili.

Mjadala wa Bunge ni muhimu zaidi ya hili kwa CCM!
 
Sasa hapa inabidi tuulizane maana naambiwa pale kivukoni kuna kituo cha kuelekeza meli na hali ya hewa. Je, kituo hiki kilitoa kibali kwa meli hiyo isafiri hata kama hali ya hewa ilikuwa mbaya kiasi hicho?..
Mkuu umekaa sana ulaya mpaka unasahau mambo yanavyokwenda kibongobongo...hapa ni pesa kwanza usalama wa abiria baadaye...hivyo vituo vya hali ya hewa/uchunguzi nk vipo kama mapambo tu!
 
Poleni wafiwa... Mpaka lini vifo vya aina hii vitakoma?
 
Mkuu umekaa sana ulaya mpaka unasahau mambo yanavyokwenda kibongobongo...hapa ni pesa kwanza usalama wa abiria baadaye...hivyo vituo vya hali ya hewa/uchunguzi nk vipo kama mapambo tu!
Unataka kunambia Bongo Meli zinasafiri pasipo clearance? hee Ndio maana unga inaingia na kutoka kirahisi.. nilikuwa najiuliza sana kwa nini Unguja na Bongo zimekuwa Transit ya Unga wa Afghastan na Colombia kumbe rahisi kiasi hiki eeeh! Haya leo tumepata somo kwa nini Meli zinatakiwa clearance zote kama ndege..
 
Waliipoteza maisha na kuopolewa mpaka sasa ni watu 12 na walinusurika ni watu karibu 90, na mali inasemekana imesha zama yote.

Source: ZBC & CHANNEL TEN.
 
Tanganyika na Zanzibar tuungane kupinga uongozi mbovu wa Serikali ya Tanzania ambao ndo chanzo cha majanga haya.
 
Wewe ndiyo hujui- huyu kakueleza ukweli maana yule mama kiroboto supika wenu alipoombwa bunge lihairishwe akagoma na wabunge wote wa upinzani wakatoka nje. Later sijui ndiyo akili na aibu zikamzidi na akaairisha bunge !! So wewe ndo unastahili pole...

Haujui ulisemalo, pole sana.
 
maiti nane za watu wa zimazimeokelewa na tatu za watoto na moja ya mzungu

source clouds fm
 
shughuli za uokozi zimesimama sababu ya upepo mkali mkali...maiti ni 60 mpaka sasa ... anameli imebaki sehemu ndogo tu izame yote
 
Back
Top Bottom