Na lazima wachakachue ili kuficha ukweli kama kawa... so 300-12-90 = 198 wapo wapi ???
Waliipoteza maisha na kuopolewa mpaka sasa ni watu 12 na walinusurika ni watu karibu 90, na mali inasemekana imesha zama yote.
Source: ZBC & CHANNEL TEN.