Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

kumbe ferry zenyewe zilikuwa mtumba kiasi hiki?!!!


The state has finally sold two of its discarded passenger ferries, the Kalama and the Skagit, to the African nation Tanzania.

They had operated between Seattle and Vashon Island until the state got out of the passenger-ferry business in 2009.

The two ferries had been sold to a boat broker in Port Coquitlam, B.C., which sold them to Tanzania. They will be put in service between the mainland of Tanzania and the Zanzibar archipelago. They were sold for $400,000, far below the $900,000 value the state said they were worth in December 2009.

more https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...senger-ferries-to-tanzania-2.html#post4264904
 
Na wewe na imani hizo bado tu.. haya Mumiani kataka kafara zake, Zanzibar haiwezi kuwa huru hadi hesabu ya vifo fulani itimie maana meli zote zinatoka Pemba kwenda Unguja..

Mimi sina imani hizo, cacico anajuwa kwanini nimemwambia ani pm, waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba.
 
Last edited by a moderator:
Ndio watanzania wanazipenda hizo. Hawana time na unayowaza. Mbunge mmoja amewahi kutahadharisha hili kuwa "NCHI INAPOTEZA NGUVU KAZI KWA STAREHE, ANASA NA KUKAA VIJIWENI. Wengine wanaripoti bar tangu asbh..." Hawa ndio wateja wa hizo media.

Ole wako uwaguse watu hao. Watakwambia HAKI ZA BINADAMU-UHURU WA KUFANYA UPENDAVYO. Kumbe nguvukazi inapotea! Ukiwashurutisha tu, watakwambia wewe "Dikteta" ona AMNEST watakavyokuandama, na hawa wapuuzi wenzetu wanaojiita Wanaharakati wa Haki za Binadamu!
Ni upuuzi! Upuuzi! Upuuzi mtupu!
Tusimshangae mwenye baa au ashindae baa, ila yule aliyeruhusu kujengwa baa na kufunguliwa masaa 24 throughout the year.
Mungu wetu anaita sasa!
 
Wabunge kama wana akili timamu wacpitishe bajeti ya wizara ya mambo ya ndani@ mafuta na vifaa vya ukozi hakuna@ uokoaji haujanza hadi sasa yapata masaa sita tangu ajali itokee@ je ni watu wangapi watakuwa wamepoteza maisha kwa kitendo cha kuchelewa kuokolewa? Haina haja ya kuunda tume kuchunguza tukio bali uwajibishwaji wanaohucka kuchelewesha zoezi la uokoji uanze hii leo
 
Meli ya uokozi imeingia port na baadhi ya survivors

kuna waliopotea kutokana na upepo mkali
 
Tuone tulichojifunza kutoka MV Spice Islander.


kuna walichijifunza kwani??!! mpaka juzi makamu wa rais alikuwa anakusanya rambi rambi za ile spice...na hakuna juhudi za kuzuia majanga kama haya
 
inasikitsha imetokea mapema hata a2jasahau machungu!
 
Mkuu taratibu najua katika hali kama hii watu huhamaki na matokeo yake unaweza kuelekeza SHUTUMA kusiko. SUMATRA jurisdication yao mwisho ni Chumbe (kama wapendavyo kusema wa-ZNZ).

SUMATRA hairuhusiwi ku-operate ZNZ. ZNZ kuna chombo kingine kabisa kinaitwa ZMT(?)
Asante kwa ufafanuzi wako japo kwa shingo upande. Kwa vile boti ilikuwa inatokea Dar mamlaka inayopaswa kuikagua ni sumatra, km ingekuwa inatokea Zenj bado hiyo ZMT ndiyo nayo ingefanyia ukaguzi boti au meli yoyote inayoondokea huko. Hivi ndivyo mimi huwa naona wanafanya kila nisafiripo kati ya zenj na bara.
 
Sasa mbona mnatuchanganya, hapa mnasema MV Seagull, kule kwa Michuzi blogspot analipuka kivyake anasema MV Skaget. Tuamini lipi. Anyway, serikali ilijifunza chochote kutokana na ajali ya MV Bukoba na MV Spice Island??? MICHUZI: BREAKING NYUUZZZZZZZ........: MELI YA ABIRIA YA MV SKAGET ILIYOKUWA IKIELEKEA ZANZIBAR YAPINDIKA NA KUZAMA MUDA HUU
Kweli serikali imejifunza kitu muhmu sana kwa ajali za Mv Bukoba na Spice Islander. ilichojifunza ni kuwa mel ikizama ni bora watu wazikwe humo humo ili kuondoa usumbufu wa kuwaopoa na kuwazika ardhini. Ngoja uone na hii, lazima waiache izame yote ili iwe kaburi la watu wengi
 
Naona ITV watangaza faruk karim anahojiwahanga waliooka na amesema tayari maiti 3 za watoto wameopolewa
 
attachment.php
 
Hivi wale uamsho waliochoma makanisa wale maaskofu walikumbuka kuwaombea msamaha kweli
 
Back
Top Bottom