Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

Mimi nashindwa kuelewa yaani hivi vyombo vya habari nchini wameshindwa kwenda sehemu ya tukio na kurusha juhudi za uokoaji moja kwa moja au nao wanaogopa maji?
 
LiwAlo na liwe, waokoaji watakuja kutoka s.afrika madr. Pia wAtatoka huko, hata rais tutamtoa huko subirini kidogo, meli imezama, ndege imetoka kioo, yaani mambo ni mengi.
 
Asante kwa ufafanuzi wako japo kwa shingo upande. Kwa vile boti ilikuwa inatokea Dar mamlaka inayopaswa kuikagua ni sumatra, km ingekuwa inatokea Zenj bado hiyo ZMT ndiyo nayo ingefanyia ukaguzi boti au meli yoyote inayoondokea huko. Hivi ndivyo mimi huwa naona wanafanya kila nisafiripo kati ya zenj na bara.

Hiyo haiwezekani hizi meli zinasdajiliwa ZNZ na wankagua wenyewe SUMATRA WAKIZIFUNGIA UHAMSHO WANASEMA MUUNGANO BASI, SASA SEREKALI DHAIFU INAFYATA!
 
[h=1]Tanzania rescue bid as ferry sinks off Zanzibar[/h]
_61658659_tanzania_zanzibar_304.gif



A Tanzanian ferry carrying at least 250 people has sunk near the island of Zanzibar.

An operation to rescue passengers has been launched by the navy and police. The boat had left the city of Dar es Salaam earlier in the day.
The navy said the vessel, the MV Skagit, got into difficulty because of strong winds.
Last September, nearly 200 people died when an overcrowded boat with 800 people aboard sank off Zanzibar.
The BBC's Aboubakar Famau in Dar es Salaam said the MV Skagit left the mainland at 12:00 local time (09:00 GMT) bound for the main island of the semi-autonomous archipelago.
The journey usually takes about two hours.
Thirty-one children are believed to have been on board, our reporter says.
"The ferry is bottom-up, and rescue operations are ongoing. So far we have not confirmed any deaths," Said Khamis, a safety officer at the Zanzibar Port Corporation, told Reuters news agency.

source....BBC News - Tanzania rescue bid as ferry sinks off Zanzibar
 
STONE TOWN, Zanzibar, July 18 (Reuters) - A ferry with more than 280 people on board sank off the east African coast of the Zanzibar archipelago on Wednesday, but it was unclear whether anyone had been killed, officials said.

The ferry, MV Salama, set sail from the mainland Tanzania at around midday heading to Zanzibar, Tanzania's semi-autonomous archipelago and a popular tourist destination.

"The ferry is bottom-up, and rescue operations are ongoing. So far we have not confirmed any deaths," Said Khamis, a safety officer at the Zanzibar Port Corporation, told Reuters.

MV Salama, or peace in the local Swahili language, was carrying 250 adult passengers and 31 children, police said.
It was still unclear what caused the accident near Chumbe island, west of Zanzibar, police said.

The ferry is owned by a company named Seagull, which also runs a number of other ferries. More than 200 people were killed when a crowded ferry sank in September off the coast of east Africa in the worst maritime disaster in the history of Zanzibar.


(Reporting by Ally Saleh; Editing by James Macharia and Alison Williams)
 
Kuna jamaa yangu yupo eneo la tukio kaniambia boti imezama kabisa na baadhi ya maiti zinaopolewa.
 
Hadi sasa zaidi ya watu 60 wameshapoteza maisha. Source: dutch welle
 
watu saba 7 wamepatika mpaka sasa nje kidogo ya CHUMBE Source ZBC
 
Lazima itakuwa imezama kabisa maana taarifa za awali kabisa zilianza zaa 7 mchana

Kuna jamaa yangu yupo eneo la tukio kaniambia boti imezama kabisa na baadhi ya maiti zinaopolewa.
 
Hivi kwa nini hatujifunzi hii nchi kweli maisha yetu yanadhalilishwa namna hii mwaka jana tu watu mia 200 walifariki, jee iliundwa tume kuchunguza hiyo na kuona udhaifu uko wapi? nope...kuna yeyote amejiuzulu? Nope...kuna yeyote kufunguliwa mashtaka kwa uzembe na mauaji bila/kwa kukusudia? nope...Argh bwana ajali haina kinga, Mwenyezi Mungu kapenda...to hell! kweli hatuwezi kuendelea kurahisisha maisha namna hii some heads need to roll. Mpango ni huo huo kwa yale mabomu jeshini hakuna tume, hakuna kujifunza, hakuna kujiuzulu, hakuna mashtaka..Aaa bwana mambo ya M/mungu akipenda huwezi kuzuia, really?

Ili kuwarehemu na kuwapa heshma wanayostahili wote waliopoteza maisha yao kwenye hizi ajali za kizembe, ni jukumu la serikali kuwawajibisha wahusika waliosababisha hizi ajali, Period.

Mungu awarehemu na kuwapa nguvu na faraja ndugu na jamaa wote wa wahanga wa janga hili.
 
Mimi nashindwa kuelewa yaani hivi vyombo vya habari nchini wameshindwa kwenda sehemu ya tukio na kurusha juhudi za uokoaji moja kwa moja au nao wanaogopa maji?
Mkuu leo kulikuwa na upepo mkubwa sana...hata hapa dar maeneo ya karibu na bahari hali ilikuwa siyo nzuri , sasa sijui huko baharini hali ilikuwaje..
 
Back
Top Bottom