Meli ya MV Skagit yazama

Meli ya MV Skagit yazama

Mkuu kwa nini unasema hii ni breaking news wakati huna taarifa kamili???? Subiri ukishakuwa na taarifa kamili ndo uanzishe uzi.
Tofautisha taarifa kamili na.kuthibitisha,Breaking News ni News flash mkuu
 
Ndio inazama sasa hivi Meli ya Sea Gull, meli zingine zimetoka nduki hapa kwenda kuokoa katika maeneo ya Chumbe mbele kidogo ya mji wa Zanzibar
 
taarifa nyingine kuwa sio seagul ni mv kalama mliojirani mtujuze
 
ni kweli imepinduka ikiwa na abiria kama 200 kwa mujibu ya takwimu za haraka.....mda si mrefu tutawapa taarifa kamili nini kimejiri kwani hivi sasa meli ya kilimanjaro kutoka zanzibar iko njiani kuelekea eneo la tukio
 
Taarifa zinachanganya sana, wengine wanasema ni jana na Watu wote 200 waliokuwemo inasemekana wameokolewa,

Huku wengine wakisema ni mida hii na imepinduka kabisa!

Hebu tunaomba mtujuze zaidi mwenye taarifa sahihi
 
Ndio inazama sasa hivi Meli ya Sea Gull, meli zingine zimetoka nduki hapa kwenda kuokoa katika maeneo ya Chumbe mbele kidogo ya mji wa Zanzibar
 
Meli hiyo inakadiliwa kuwa na abiria 250 na Iliondoka Dar saa sita mchana huu.
I will keep you updated.
 
Duhh nimesikia clouds fm sasa hivi wameirusha hewani
 
seagull211.jpg


seagull4.jpg
 
Nimesikia clouds fm mida hii wameirusha
 
Hadi kikwete anaondoka cjui wangapi watasalimika!
 
Back
Top Bottom