kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,602
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.
Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.