Simba kama imeshindwa kuifunga Azam hii basi wasitegemee kushinda mechi yoyote dhidi ya Azam msimu huu

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,361
2,499
Leo mtoto mpendwa wa TFF alikuwa anacheza kiporo chake alichosogezewa mara kwa mara na baba yao mlezi TFF, Simba walikuwa na mazingira mazuri zaidi ya kushinda kuliko Azam. Na sababu kuu ya Simba kushinda ni kwasababu wana match fitness.

Kikosi cha Simba ndio timu pekee ambayo wamepata nafasi ya kucheza mechi mara kwa mara kuliko timu zote Tanzania. Wamecheza mechi zote za kombe la Mapinduzi, kisha hao hao wakacheza mechi ya federation cup na kisha wakacheza michezo miwili ya ligi kuu kabla ya kukutana na Azam.

Wakati huo Azam wachezaji wao waliishia kwenye hatua ya pili ya kombe la Mapinduzi na wakati huo hawakutumia wachezaji wao wote kwenye hayo mashindano. Baada ya Mapinduzi hawakucheza mchezo wowote hadi leo walipokutana na Simba.

Azam waliokuwa fit zile counter hawakuachi kizembe, na spidi yao isingekuwa balaa kwa viungo na mabeki wa Simba wanaokatika katika. Mmeshindwa kuifunga Azam hii basi hakuna mechi nyingine mtakayoshinda dhidi yao labda TFF wawatengenezee mazingira kama haya
 
Simba na Azam kwenye ligi nani wa kwanza kujipata? Simba inajitafuta wakati Azam walishajipata wachezaji wana chemistry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui unachoongea unachangia tu ili mradi umetoa maoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashindwa kupinga kwa fact unatoa mipasho kama muimba tarabu. Wewe mpira umeanza kuujua juzi tu hapa ndio maana ukatufungulia uzi ukituonesha jinsi ulivyokuwa hujui maana ya derby. Unajifanya mjuaji kumbe hujui kitu.
 
Nimekuambia Azam ipo kwenye form kuliko simba facts gani unahitaji?angalia msimamo wa ligi,angalia form kwenye standing home and away,facts gani unataka zaidi ya hapo au unakaza tu tako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ukweli Simba alikuwa na advantage kubwa kwa hii mechi maana kachezea viwanja hivyo mapema kuliko Azam sema Simba hawawezi kusema ukweli mchungu ni kuwa Benchika mbinu zake bado hazijaisaidia team ila basi mipango mipango ndio wanashinda
 
Kauli zinabadilika baada ya tegemeo lenu Azam kuokolewa na Rafiki wa GSM kayoko, jishikilieni vizuri uko juu tunakuja kwa kishindo kikuu
 
Back
Top Bottom