Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
 
Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu
 
Wewe kama nani? Na kwanini irudiwe? Mbona morisoni akifanya yake tu, utopolo mnanuna nakuanzisha maneno juu yake? Vilevile mnawalaumu mpaka TFF kwakosa gani? Mbona azam hawakulalamika?

Hivi kwanini msifurahi kukutana na simba ili muwaoneshe kwamba ninyi utopolo nihabari nyingine nakuwathibitishia simba kwamba hawana uwezo ila wanabebwa tu? Au mtakua mnawaogopa nyie mkuyenge fc de la utopilosahel.
 
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Halafu ikirudiwa?
 
Kwani wao wenyewe wanasemaje
JamiiForums335322333.jpg
 
Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu
Azam ni toto la Simba, lakini zitakuja timu zinazojitambua halafu zitenge mpira na kucheza bila kipyenga cha refa halafu refa akatae utaona kitakachotokea.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom