Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

SIMBA WALISHAWAHI KUFUNGWA GOLI KAMA LILE KWENYE MECHI ZA KIMATAIFA. SISI MASHABIKI TULILILALAMIKIA LILE GOLI. BAADA YA KUPATA UFAFANUZI TUKAELEWA KWAMBA YALE NI MAKOSA YETU. HEBU ZINGATIA HILI LITAKUSAIDIA CK NYNGN. INAPOTOKEA FAULO KAMA ILE, HAKIKISHA MCHEZAJI MMOJA ANASIMAMA MBELE YA MPIRA ILI KULETA GOZI GOZI. HALAF WNGN NDIPO WAMZONGE MUAMUZI KWA MALALAMIKO YAO. KAMA HAKUNA MTU MBELE YA MPIRA, TAFSIRI YAKE NI KWAMBA MMELIZIA MPIRA UENDELEE. SIYO LAZIMA ISIKIKE FILIMBI NDIPO MPIRA UENDELEE. BALI MPIRA UNATAKIWA UWE UMESIMAMA KWNY ENEO LA TUKIO, HAPO RUHUSA MPIRA KUENDELEA. AZAM WALILETA UTOTO KATIKA LILE TUKIO. SIMBA WALIITAFSIRI VIZURI SHERIA YA FAULO NA IKWAWAPATIA FAIDA. TIMU ZETU 4 ZINAKWENDA KIMATAIFA, ZINATAKIWA WALIFAHAMU HILI. TUSIJE KUFUNGWA GOLI KAMA LILE TUKAANZA KULALAMIKA. LILE NI GOLI HALALI
 
Binafsi nimepata pioint moja hapo kwamba, timu ziige uanzishaji wa faulo kama ule, na marefa wasijekupuliza filimbi kamwe. Wakipuliza tu, watu watarejea goli hili la Simba

Ningekuwa nacheza ligi kuu, mechi ijayo ningeanzisha mpira wa faulo fasta sana!
 
Lini ulianza kushabikia mpira?. Tuanzie hapo labda.
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
 
Mbona ishafanyika sana. Mbeya city walishawahi ifunga yanga goli kama lile. Yanga wenyewe walishawahi ifunga mtibwa kwa staili ile.
Binafsi nimepata pioint moja hapo kwamba, timu ziige uanzishaji wa faulo kama ule, na marefa wasijekupuliza filimbi kamwe. Wakipuliza tu, watu watarejea goli hili la Simba

Ningekuwa nacheza ligi kuu, mechi ijayo ningeanzisha mpira wa faulo fasta sana!
 
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Umejiunga 2012 mwaka huo mimi nilikuwa darasa la 7 lakini huna akili
 
Azam ni toto la Simba, lakini zitakuja timu zinazojitambua halafu zitenge mpira na kucheza bila kipyenga cha refa halafu refa akatae utaona kitakachotokea.
Unazidi kujiumbua tu hujui kitu bora ukae kimya. Na mnakwenda na nyie kushiriki mashindano ya kimataifa,mkafanye uzembe kama ule wa Azam muone watu wanaojielewa wakiwakeketa kwa staili ile.
 
Yaani elimu imetolewa karibia wiki nzima na radio zote..na wachambuzi wote wa mpira kwamba Lile Ni goli zuri bila shida ..to my surprise..Kuna watu bado wanaongelea ujinga uleule..I see!
Yaani huyu kilaza mleta uzi anaweza Kula hata kinyesi chake akijiaminisha kuwa hiyo ni keki.
 
1624936701046.png

Foul play.
1. Morisson alimsukuma beki wa Azam kwenye duel.
2. Hata hivyo, beki wa Azam alimkimbiza na akawa karibu ya ku-sweep mpira (He won the duel).
3. Morisson kwa mara ya pili akamsukuma.
4. akaendelea mpaka kuweka mkono shingoni.
 
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Una makasiriko ukitokea kipande ipi???

Mbona Yanga ndio mnaoongoza kulalamika kuliko Azam wenyewe

Tukutane 03.07.2021 kwa Mchina na tarehe 25.07.2021 Kigoma Ujiji
 
Back
Top Bottom