Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Binafsi nimepata pioint moja hapo kwamba, timu ziige uanzishaji wa faulo kama ule, na marefa wasijekupuliza filimbi kamwe. Wakipuliza tu, watu watarejea goli hili la Simba

Ningekuwa nacheza ligi kuu, mechi ijayo ningeanzisha mpira wa faulo fasta sana!
Hata penaliti na kona hakuna kusubiri
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Lini ulianza kushabikia mpira?. Tuanzie hapo labda.
Kushabikia lini!! Swali gani hilo, tulianza kuangalia mechi live kwa Mzee Sheikh Yahaya wakati wewe hujazaliwa. Stamp ya Kulangwa kwenye bahasha tuliitumiaga wakati wewe ukiwa wapi? Wewe ulianza ushabiki baada ya mo na Karia kuonekana .
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,880
2,000
Ushabiki wako ni wakiwango cha chini sana, jibu hoja kimichezo. Unampenda mo kuliko simba.
Mbona wewe ndiye unatoka nje ya mada? Mo anahusikaje hapa? Wewe unaipenda Yanga lakini huujui mchezo wa mpira wala sheria zake. Huna tofauti na yule kilaza mwenzako wa Uto aliyesema Yanga itakuwa kama Real Madrid ya Ufaransa. Jaribu kuficha ujinga wako.
 
Nick girland

JF-Expert Member
Jan 13, 2020
290
250
Kushabikia lini!! Swali gani hilo, tulianza kuangalia mechi live kwa Mzee Sheikh Yahaya wakati wewe hujazaliwa. Stamp ya Kulangwa kwenye bahasha tuliitumiaga wakati wewe ukiwa wapi? Wewe ulianza ushabiki baada ya mo na Karia kuonekana .
Ni swali sahihi sana. Kwa anaejua mpira angalau hata kwa asilimia 30 asingeandika haya uliyoandika hapa.
 
the muter

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
962
1,000
Hapo ndio unakosea ndugu, unataka kutumia akili yako wakat sheria za mpira zipo. Kama kwel unataka kujifunza jipe muda usijali bundle. Tafuta youtube Yanga vs mtibwa , Yanga wanafunga goli la hivyo, Yanga vs mbeya city, mbeya city anafunga goli la hivyo. Ulaya magoli ya hivyo ndio kibao. Ndio maana tunapowafundisha watoto mpira tunawaambia Linda mpira faulo isianzishwe ya haraka ili wachezaji wajipange
Nani apoteze bundle kale kuzoma upuuzi. Mazoea ni kama sheria, marefa wetu wana mazoea hayo ya kuanzisha mipira kwenye maeneo yale ya uwanja, hivyo lile sio goli. Ni goli kwakuwa TFF haina ugonvi na simba
 
the muter

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
962
1,000
Refa anapima hatua Kama waliochezewa faulo wanataka Ila Kama wanaanzisha short wanaruhusiwa kuanza tu. Jaribu kuwa mfatiliaji ndugu vinginevyo unakua unajiaibisha tu
Watu sio wajinga kujirisha uhalali wa goli la ovyo kama lile, kwakuwa sio kawaida. Marefa wamezoeleka kukataa mipira ya vile kwenye maeneo kama yale. MpAka marefa wanatembea na chupa za rangi kuchorea viunoni mwao kuweka alama ya ukuta uwe wapi.
 
the muter

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
962
1,000
Hata katikati unaweza kuanzisha haraka inatokana na mchezo ulivyo, Mara nyingi faulo za katikati zinatokana na kuua move ya goli maana wachezaji wengi hawajarud kwenye position zao. Hivyo viungo wakabaji hua wazur Sana katika kusoma Hilo na kucheza faulo. Wachezaji wanatakiwa kujiwekea desturi ya kuzuia faulo isianze haraka bila kuangalia ni faulo ya eneo gan la uwanja. Goli linaweza kusababishwa na golikipa, beki ama kiungo. Hakuna sehem salama uwanjan lazima wachezaji waishi kwenye principals za mpira kwa muda wote
Kuanzisha faulo haraka inategemea upo kwenye position gani mkuu!! Ile ni mbinu ya mchezo" unapopata faulo sio kukimbia kimbia tu unaangalia upo kwenye position gani na mara zote timu huwa zinataka ushindi.. Sasa upate faulo katikati ya uwanja unaanzisha haraka kwa lengo gani? Upo kwenye position ya kupata goli au upo katika harakati zakutafuta goli? Ile faulo ya juzi simba Vs azam simba walikuwa kwenye position yakutafuta goli na mazingira yakuanzisha mpira vile ulivyoanza yaliruhusu!!! Kimsingi hakuna kosa na ndo sababu kunapokuwa na faulo alafu kama kuna mzozo na refa inabidi mpira muushike mkononi mpaka mkubaliane na refa ukiweka mpira chini manake apo umeruhusu mpira kuchezwa!!! Ile gemu juzi goli kipa alitakiwa achukue uko mpira kwanza sasa wao wamemvamia refa wameacha mpira... Na ukijiuliza kwann walimvaa refa sababu haipo maana ile kweli ni faulo na mliona morrison kachezewa rafu sasa mwa refa mlimjalia kwann??? Tuache kucheza kwa mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Mbona wewe ndiye unatoka nje ya mada? Mo anahusikaje hapa? Wewe unaipenda Yanga lakini huujui mchezo wa mpira wala sheria zake. Huna tofauti na yule kilaza mwenzako wa Uto aliyesema Yanga itakuwa kama Real Madrid ya Ufaransa. Jaribu kuficha ujinga wako.
Mahaba yanakupofusha, unaweza bet hata mkeo.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Refa anapima hatua Kama waliochezewa faulo wanataka Ila Kama wanaanzisha short wanaruhusiwa kuanza tu. Jaribu kuwa mfatiliaji ndugu vinginevyo unakua unajiaibisha tu
Najiambisha!!! Mbeleko ndizo zinazoaibisha kiuhalisia. Ona Al Ahly na Kaizer Chiefs mlizozifunga kwamkapa lwa mizengwe yetu na kushika nafasi za pili kwenye makundi ndizo zinacheza nusu final champions. Janjajanja kila kona kwa miaka 4, mpaka leo timu inacheza viporo, huko ndiyo kujiaibisha original. Uliza timu zote zilizoshiriki champions kama kuna timu ilikuwa na viporo 9 kwenye ligi zao.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,880
2,000
Najiambisha!!! Mbeleko ndizo zinazoaibisha kiuhalisia. Ona Al Ahly na Kaizer Chiefs mlizozifunga kwamkapa lwa mizengwe yetu na kushika nafasi za pili kwenye makundi ndizo zinacheza nusu final champions. Janjajanja kila kona kwa miaka 4, mpaka leo timu inacheza viporo, huko ndiyo kujiaibisha original. Uliza timu zote zilizoshiriki champions kama kuna timu ilikuwa na viporo 9 kwenye ligi zao.
Wewe jamaa kilaza unabisha jambo usilolifahamu
 
Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
349
1,000
Najiambisha!!! Mbeleko ndizo zinazoaibisha kiuhalisia. Ona Al Ahly na Kaizer Chiefs mlizozifunga kwamkapa lwa mizengwe yetu na kushika nafasi za pili kwenye makundi ndizo zinacheza nusu final champions. Janjajanja kila kona kwa miaka 4, mpaka leo timu inacheza viporo, huko ndiyo kujiaibisha original. Uliza timu zote zilizoshiriki champions kama kuna timu ilikuwa na viporo 9 kwenye ligi zao.
Unajua we jamaa nakukutaga jukwaa la elimu na kuonekana ni mtu ulie elimika Ila linapokuja swala la usimba na uyanga unakuwa kilaza Sana hadi aibu tunaona wengine ambao waga tunahisi uko smart upstairs

Hebu weka hapa hivo viporo 9 ambavyo Simba alikuwa navyo ili uwasaidie wasio na data, unashindwa kuelewa kuwa ligi ilisimama almost mwezi mmoja Kwa ajili ya janga la Corona na msiba wa raisi na kupelekea kuathiri ratiba za mechi kadhaa Ila bado Simba hakufikisha ata viporo 5 Ila wewe hapa unakuja na Uongo wa viniweni eti viporo 9, pia kaangalie ligi ya Egypt Al Ahly ana viporo vingapi Hadi sasa ili ujifunze

Usimba na uyanga usifanye mtu ujidharirishe na kuonekana mjinga mjinga kisa Tu unataka kufurahisha nafsi yako na baadhi ya washabiki maandazi maana wapo ambao watakuunga Tu mkono kisa ni yanga wenzio ata uandike ujinga, kaangalie goli la yanga wanachomoa mbele ya Mtibwa kule morogoro likifungwa na adeyun uone linautofauti gani na la Simba Vs Azam

humu ndani kuna watu wengi sana wa yanga na wako smart na hawataki kuchangia Kwa mahaba maana hawataki kuonekana Vilaza ilhali kwenye majukwaa Mengine wanapata heshima kutokana na uchangiaji wao madhubuti hivo Mambo Mengine ya kijinga achia washabiki wajinga wajinga wa hizi team wabishane bila facts we ukiwachola Tu na kama utataka kuandika Uzi basi andika Uzi wenye hadhi ya elimu/uelewa wako ili wachangiaji wachangie Kwa maslahi ya soka Letu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
8,229
2,000
Azam ni toto la Simba, lakini zitakuja timu zinazojitambua halafu zitenge mpira na kucheza bila kipyenga cha refa halafu refa akatae utaona kitakachotokea.
Ila ww lugha yako bwana eti kipyenga
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Unajua we jamaa nakukutaga jukwaa la elimu na kuonekana ni mtu ulie elimika Ila linapokuja swala la usimba na uyanga unakuwa kilaza Sana hadi aibu tunaona wengine ambao waga tunahisi uko smart upstairs

Hebu weka hapa hivo viporo 9 ambavyo Simba alikuwa navyo ili uwasaidie wasio na data, unashindwa kuelewa kuwa ligi ilisimama almost mwezi mmoja Kwa ajili ya janga la Corona na msiba wa raisi na kupelekea kuathiri ratiba za mechi kadhaa Ila bado Simba hakufikisha ata viporo 5 Ila wewe hapa unakuja na Uongo wa viniweni eti viporo 9, pia kaangalie ligi ya Egypt Al Ahly ana viporo vingapi Hadi sasa ili ujifunze

Usimba na uyanga usifanye mtu ujidharirishe na kuonekana mjinga mjinga kisa Tu unataka kufurahisha nafsi yako na baadhi ya washabiki maandazi maana wapo ambao watakuunga Tu mkono kisa ni yanga wenzio ata uandike ujinga, kaangalie goli la yanga wanachomoa mbele ya Mtibwa kule morogoro likifungwa na adeyun uone linautofauti gani na la Simba Vs Azam

humu ndani kuna watu wengi sana wa yanga na wako smart na hawataki kuchangia Kwa mahaba maana hawataki kuonekana Vilaza ilhali kwenye majukwaa Mengine wanapata heshima kutokana na uchangiaji wao madhubuti hivo Mambo Mengine ya kijinga achia washabiki wajinga wajinga wa hizi team wabishane bila facts we ukiwachola Tu na kama utataka kuandika Uzi basi andika Uzi wenye hadhi ya elimu/uelewa wako ili wachangiaji wachangie Kwa maslahi ya soka Letu

Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie champions league ya kwanza simba iliyoshinda hadi robo alikuwa na viporo vingapi kama unakumbuka? Na msimu huu alikuwa na viporo vingapi? Kwani corona na msiba uliiathiri simba tu? Ni timu ipi nyingine Africa ina viporo kama vya simba?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom