Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

ibramy

JF-Expert Member
Jul 23, 2019
602
1,000
Binafsi nimepata pioint moja hapo kwamba, timu ziige uanzishaji wa faulo kama ule, na marefa wasijekupuliza filimbi kamwe. Wakipuliza tu, watu watarejea goli hili la Simba

Ningekuwa nacheza ligi kuu, mechi ijayo ningeanzisha mpira wa faulo fasta sana!
Kuanzisha faulo haraka inategemea upo kwenye position gani mkuu!! Ile ni mbinu ya mchezo" unapopata faulo sio kukimbia kimbia tu unaangalia upo kwenye position gani na mara zote timu huwa zinataka ushindi.. Sasa upate faulo katikati ya uwanja unaanzisha haraka kwa lengo gani? Upo kwenye position ya kupata goli au upo katika harakati zakutafuta goli? Ile faulo ya juzi simba Vs azam simba walikuwa kwenye position yakutafuta goli na mazingira yakuanzisha mpira vile ulivyoanza yaliruhusu!!! Kimsingi hakuna kosa na ndo sababu kunapokuwa na faulo alafu kama kuna mzozo na refa inabidi mpira muushike mkononi mpaka mkubaliane na refa ukiweka mpira chini manake apo umeruhusu mpira kuchezwa!!! Ile gemu juzi goli kipa alitakiwa achukue uko mpira kwanza sasa wao wamemvamia refa wameacha mpira... Na ukijiuliza kwann walimvaa refa sababu haipo maana ile kweli ni faulo na mliona morrison kachezewa rafu sasa mwa refa mlimjalia kwann??? Tuache kucheza kwa mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Gucci gang

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
1,152
2,000
SIMBA WALISHAWAHI KUFUNGWA GOLI KAMA LILE KWENYE MECHI ZA KIMATAIFA. SISI MASHABIKI TULILILALAMIKIA LILE GOLI. BAADA YA KUPATA UFAFANUZI TUKAELEWA KWAMBA YALE NI MAKOSA YETU. HEBU ZINGATIA HILI LITAKUSAIDIA CK NYNGN. INAPOTOKEA FAULO KAMA ILE, HAKIKISHA MCHEZAJI MMOJA ANASIMAMA MBELE YA MPIRA ILI KULETA GOZI GOZI. HALAF WNGN NDIPO WAMZONGE MUAMUZI KWA MALALAMIKO YAO. KAMA HAKUNA MTU MBELE YA MPIRA, TAFSIRI YAKE NI KWAMBA MMELIZIA MPIRA UENDELEE. SIYO LAZIMA ISIKIKE FILIMBI NDIPO MPIRA UENDELEE. BALI MPIRA UNATAKIWA UWE UMESIMAMA KWNY ENEO LA TUKIO, HAPO RUHUSA MPIRA KUENDELEA. AZAM WALILETA UTOTO KATIKA LILE TUKIO. SIMBA WALIITAFSIRI VIZURI SHERIA YA FAULO NA IKWAWAPATIA FAIDA. TIMU ZETU 4 ZINAKWENDA KIMATAIFA, ZINATAKIWA WALIFAHAMU HILI. TUSIJE KUFUNGWA GOLI KAMA LILE TUKAANZA KULALAMIKA. LILE NI GOLI HALALI
Asante MZEE CHAKA muwakilishi kutoka kampuni ya tuma kwenye namba hii tumekupata sawia

Yani mpaka wewe umetoka mafichoni kumuelewesha huyu jamaa inathibitisha hawa utopolo ni kenge yaaani hawaelewi mpaka damu zitoke kwenye masikio
😂😂😂
 

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,475
2,000
Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu
Azam nao wanarudia uzembe lile si goli,kwa maana lingetokeavilevile kama azamwangefunga faster faster refa Angepiga filimbi ya kukataa
 

King_Ngwaba

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,296
2,000
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.

Yani huyu Uto hajui chochote kuhusu Mpira lakini nayeye aambiwe kaandika post.
Ujuaji wote huu ukute hata Sheria moja ya Soka haijui.
Hebu kwa kukusaidia tu pitia hii huenda ukajifunza kitu kuliko kulialia Kichwa Mchungwa.
 

Attachments

  • File size
    1.2 MB
    Views
    7

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Yani huyu Uto hajui chochote kuhusu Mpira lakini nayeye aambiwe kaandika post.
Ujuaji wote huu ukute hata Sheria moja ya Soka haijui.
Hebu kwa kukusaidia tu pitia hii huenda ukajifunza kitu kuliko kulialia Kichwa Mchungwa.
Watu sio wajinga kujirisha uhalali wa goli la ovyo kama lile, kwakuwa sio kawaida. Marefa wamezoeleka kukataa mipira ya vile kwenye maeneo kama yale. MpAka marefa wanatembea na chupa za rangi kuchorea viunoni mwao kuweka alama ya ukuta uwe wapi.
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Azam nao wanarudia uzembe lile si goli,kwa maana lingetokeavilevile kama azamwangefunga faster faster refa Angepiga filimbi ya kukataa
Hiyo ni dhana yako. Ni goli halali ni watopolo peke yenu ndiyo mnaona siyo goli, kumbe yule Luc hakukosea kuwaita nyie manyani.
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Yani huyu Uto hajui chochote kuhusu Mpira lakini nayeye aambiwe kaandika post.
Ujuaji wote huu ukute hata Sheria moja ya Soka haijui.
Hebu kwa kukusaidia tu pitia hii huenda ukajifunza kitu kuliko kulialia Kichwa Mchungwa.
Kwa akili yake kiduchu sidhani kama ataambulia kitu hapo.
 

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,328
2,000
Kwa akili yake kiduchu sidhani kama ataambulia kitu hapo.
Nani apoteze bundle kale kuzoma upuuzi. Mazoea ni kama sheria, marefa wetu wana mazoea hayo ya kuanzisha mipira kwenye maeneo yale ya uwanja, hivyo lile sio goli. Ni goli kwakuwa TFF haina ugonvi na simba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom