Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

Akicheza Kama alivyocheza na simba au belouzidad atashinda 2 au 3
Ili kucheza mpira kama ule ni lazima wachezaji wote wa kikosi cha kwanza wawepo uwanjani na wawe fit kimwili na kiakili kwa kiwango kikubwa, ili isitokee kuna mchezaji anacheza kwa tahadhari ya kujitonesha jeraha lake.

Ule mpira ulikuwa ni wa kujitoa na kutumia nguvu nyingi, spidi na umakini mkubwa katika kufanya pressing na kurudi haraka kwa pamoja na kufanya haraka katika kushambulia hivyo kunahitajika uwepo wa wachezaji wenye masrifa nakubwa kama Yao, Aucho, Azizi ki, Mudathir, Diarra, Bacca, Lomalisa na Pacome wakiwa katika utimamu wao kimwili na kiakili
 
Mahangaiko Tu Hayo
Wale 🐸🐸wa jf wanaojitambua na kuutambua ukweli wapo kimya wala hawajihangaishi na mahangaiko ya kusifia timu ya walevi eti itatoboa kwa Mkapa.

Wale 🐸🐸pangu pakavu tia mchuzi ndio hao wanaohangaika na kijimwambafu cha free entrance watashabgilia ushindi hewa.
 
Hivi wafungua mashindano wanakuwaje vile? Kwenye mpira wa miguu kuna timu zinafungua mashindano kisha wababe wanafuata.
Kwenye ngumi pia hiyo swala lipo linaitwa pambano la utangulizi, wanapigana wasio na mvuto kwanza kisha zinafuata sasa lile pambano la heavy weight baada ya mechi ya utangulizi.
Kwenye muvi kwa wale watu wa kitambo hiyo inaitwa trela yaani unaaanza kupata vibwagizo na vionjo kisha muvi yenyewe inakuja kuanza mbeleni.
Na kwenye misemo tunasema ladies first.
Aisee, kumbe ijumaa ni siku ya ufunguzi wa robo fainali
 
Hivi wafungua mashindano wanakuwaje vile? Kwenye mpira wa miguu kuna timu zinafungua mashindano kisha wababe wanafuata.
Kwenye ngumi pia hiyo swala lipo linaitwa pambano la utangulizi, wanapigana wasio na mvuto kwanza kisha zinafuata sasa lile pambano la heavy weight baada ya mechi ya utangulizi.
Kwenye muvi kwa wale watu wa kitambo hiyo inaitwa trela yaani unaaanza kupata vibwagizo na vionjo kisha muvi yenyewe inakuja kuanza mbeleni.
Na kwenye misemo tunasema ladies first.
Africa hii mbabe wa soka ni nani?

Na anacheza lini?

Afrika hii ni timu gani ambayo katika mechi zote za CAF champion league waliyocheza dhidi ya Al Ahly hajapatikana mbabe?

Simba na Al Ahly wamekutana mara 8

Simba kashinda mechi 3, Al Ahly kashinda mechi 3, mechi 2 zimeenda sare.

Huyo ndio bingwa wa Africa dhidi ya Simba.

Mamelody kakutana na Al Ahly mara 14, kafa mara 5 kasare mara 5 na hizo 4 ndio ushindi wake.

Sasa mpaka hapo ukiambiwa utaje Derby ya Afrika kwenye CAF champion league utataja Al Ahly na timu gani tofauti na Simba?
 
Ubabe (historia) vs ubora kwa sasa.
Al Ahly ni mbabe wa Africa ila mpira watu hawaangalii nyuma bali wanaangalia kiwango au ubora kwasasa. Timu iliyobora kwasasa ni Mamelod na hilo limethibitika kupitia AFL kwa kumtoa Al Ahly na kubeba kombe.

Ukichukulia H2H za Al Ahly ni sahihi kuwa mmetoshana nguvu, lakini huyo huyo Al Ahly kazidiwa na Mamelod kwenye H2H je tunaweza sema Mamelod ni mbabe wa Al Ahly?
 
CAF yote inajua mechi yao bora ni ya Ijumaa.

Na ndio maana wameipa heshima kuwa siku hiyo kutakuwa na mechi moja tu.

Kwanini? Kwasababu ndio Derby ya Africa mpaka sasa.

Al Ahly na Simba hakuna mbabe katika mechi zote walizokutana.

Maana yake ulimwengu mzima kwa siku ya Ijumaa ukiwa unataka kuangalia mechi za CAF, utakuwa unatazama mechi moja tu ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Baada ya hapo ndio watafuata wacheza makida kujirusha rusha nao kukamilisha ratiba.
Kumbe ijumaa kuna mechi na hamsemi
 
Ubabe (historia) vs ubora kwa sasa.
Al Ahly ni mbabe wa Africa ila mpira watu hawaangalii nyuma bali wanaangalia kiwango au ubora kwasasa. Timu iliyobora kwasasa ni Mamelod na hilo limethibitika kupitia AFL kwa kumtoa Al Ahly na kubeba kombe.

Ukichukulia H2H za Al Ahly ni sahihi kuwa mmetoshana nguvu, lakini huyo huyo Al Ahly kazidiwa na Mamelod kwenye H2H je tunaweza sema Mamelod ni mbabe wa Al Ahly?
Ubabe sio historia ni consistency kwani bingwa mtetezi wa hili kombe ni nani?

Al Ahly amekuwa na misimu ya ina hiyo almost misimu yote.

Al Ahly huwezi kum underrate kupitia mechi za makundi na ndio maana hata nyie mnakubali kwenye level hizi anabadilika.

Mamelody alikiwa hivyo msimu jana lakini akaja kutolewa na Wydad tena akiwa kwake.

Mamelody hajamzidi Al Ahly h2h kwenye CAF Champion league.
 
Mamelod vs Al Ahly kwenye champions league wapo sawa H2H ila kwa michezo ya jumla kamzidi Al Ahly kwahiyo hapo kwanza kwa fact hiyo derby ya Africa zipo nyingi tu hivyo ile kauli ya Simba vs Al Ahly ndio pekee hakuna mshindi kwernye H2H sio sahihi.

Ubabe utakuwa ni consistency endapo utaendelezwa huo ubabe kwa msimu huu, ila kwa msimu huu Al Ahly kapoteza CAF super cup vs USMA
kapoteza nusu fainali vs Mamelod
Msimu huu Al Ahly imeonekana kushindwa kupata matokeo mazuri kwa timu zenye kiwango kizuri cha ubora.
Vs USMA
Vs Simba
Vs Mamelod
Vs Belouizdad

Ni timu ambayo imeweza kushinda home and away dhidi ya Medeama pekee katika hatua ya makundi.
Kama ukiangalia mpira wao, sehemu kubwa ya mapungufu yao ni umaliziaji wa nafasi kuwa magoli.
 
H2H yako kati ya Al Ahly na Mamelody kwenye CAF Champion league inaanzia mwaka gani?

Na total mechi ni ngapi?
 
Africa hii mbabe wa soka ni nani?

Na anacheza lini?

Afrika hii ni timu gani ambayo katika mechi zote za CAF champion league waliyocheza dhidi ya Al Ahly hajapatikana mbabe?

Simba na Al Ahly wamekutana mara 8

Simba kashinda mechi 3, Al Ahly kashinda mechi 3, mechi 2 zimeenda sare.

Huyo ndio bingwa wa Africa dhidi ya Simba.

Mamelody kakutana na Al Ahly mara 14, kafa mara 5 kasare mara 5 na hizo 4 ndio ushindi wake.

Sasa mpaka hapo ukiambiwa utaje Derby ya Afrika kwenye CAF champion league utataja Al Ahly na timu gani tofauti na Simba?
Vipi data za Yanga na Simba toka wameanza kukutana?
 
Kwa mujibu wa Google neno Yanga ni neno lenye mlengo wa matusi na udhalilishaji.

Kufuatia sheria za JF na sera zake zinazokataza matusi nina haki ya kukuripoti kwa moderators kutokana na maneno yako ya udhalilishaji
 
H2H yako kati ya Al Ahly na Mamelody kwenye CAF Champion league inaanzia mwaka gani?

Na total mechi ni ngapi?
Kwa source nilizoziona mimi ni mechi 12, wameanzia 2007 sijajua kwa source unayojua nayo inasemaje.
Katika mechi 12
Al Ahly kashinda mechi 4, Mamelod kashinda mechi 4 na sare 4
 
1711396284256.png
 
Back
Top Bottom