Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

2001 hadi sasa kwa upande wa klabu bingwa
Ni mechi 14
Al Ahly 5W
Mamelod 4W
Draw 5
Yeah upo sahihi, Al Ahly yupo juu zaidi ya Mamelody

Mamelody amekuja kusawazisha kwenye AFL ya juzi tu hapo lakini kwenye CAF Champion League mpaka sasa Al Ahly ni bingwa kwa Mamelody kwa overall ya h2h
 
Africa hii mbabe wa soka ni nani?

Na anacheza lini?

Afrika hii ni timu gani ambayo katika mechi zote za CAF champion league waliyocheza dhidi ya Al Ahly hajapatikana mbabe?

Simba na Al Ahly wamekutana mara 8

Simba kashinda mechi 3, Al Ahly kashinda mechi 3, mechi 2 zimeenda sare.

Huyo ndio bingwa wa Africa dhidi ya Simba.

Mamelody kakutana na Al Ahly mara 14, kafa mara 5 kasare mara 5 na hizo 4 ndio ushindi wake.

Sasa mpaka hapo ukiambiwa utaje Derby ya Afrika kwenye CAF champion league utataja Al Ahly na timu gani tofauti na Simba?
Ngoja dabi hiyo ifikishe mechi 14 ndio tahesabu simba atakuwa amekalishwa mara ngapi
 
Yeah upo sahihi, Al Ahly yupo juu zaidi ya Mamelody

Mamelody amekuja kusawazisha kwenye AFL ya juzi tu hapo lakini kwenye CAF Champion League mpaka sasa Al Ahly ni bingwa kwa Mamelody kwa overall ya h2h
Ni sawa ila hawa wameshakutana mara nyingi sana na wametunishiana misuli ipasavyo. Mechi 14 vs mechi 4
 
Ni sawa ila hawa wameshakutana mara nyingi sana na wametunishiana misuli ipasavyo. Mechi 14 vs mechi 4
Unajua hata ukitoa mechi 6 za mwisho walizokutana ili kuweka mzani sawa wa h2h ya Simba na Al Ahly

Bado Al Ahly atakuwa kashinda mechi 4 wakati Mamelody kashinda mechi 1?

Msimu wa 2020 kushuka chini, Mamelody alishinda mechi moja tu na kuambulia sare 3.

Wakati kwa takwimu hizo upande wa Simba na Al Ahly hakuna mbabe.
 
CAF yote inajua mechi yao bora ni ya Ijumaa.

Na ndio maana wameipa heshima kuwa siku hiyo kutakuwa na mechi moja tu.

Kwanini? Kwasababu ndio Derby ya Africa mpaka sasa.

Al Ahly na Simba hakuna mbabe katika mechi zote walizokutana.

Maana yake ulimwengu mzima kwa siku ya Ijumaa ukiwa unataka kuangalia mechi za CAF, utakuwa unatazama mechi moja tu ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Baada ya hapo ndio watafuata wacheza makida kujirusha rusha nao kukamilisha ratiba.
 
Bora muwe wengi ili muweze kufarijiana Au kugombana mkifungwa,Swala la nyie kufunga haliepukiki nawaambia ndugu zangu.
 
Mamelod vs Al Ahly kwenye champions league wapo sawa H2H ila kwa michezo ya jumla kamzidi Al Ahly kwahiyo hapo kwanza kwa fact hiyo derby ya Africa zipo nyingi tu hivyo ile kauli ya Simba vs Al Ahly ndio pekee hakuna mshindi kwernye H2H sio sahihi.

Ubabe utakuwa ni consistency endapo utaendelezwa huo ubabe kwa msimu huu, ila kwa msimu huu Al Ahly kapoteza CAF super cup vs USMA
kapoteza nusu fainali vs Mamelod
Msimu huu Al Ahly imeonekana kushindwa kupata matokeo mazuri kwa timu zenye kiwango kizuri cha ubora.
Vs USMA
Vs Simba
Vs Mamelod
Vs Belouizdad

Ni timu ambayo imeweza kushinda home and away dhidi ya Medeama pekee katika hatua ya makundi.
Kama ukiangalia mpira wao, sehemu kubwa ya mapungufu yao ni umaliziaji wa nafasi kuwa magoli.
Oi unaizugumzia al ahly ipi au hii hii iliyochukua cafcl msimu jana??? Kwa taarifa yako al ahly ndiye bingwa tena msimu huu. Nimekaa miaka mingi africa takribani 7 yrs nimegundua al ahly hatumii nguvu kubwa ktk hatua ya makund lakn katk hatua za mtoano dadeki nanyi ni mashahidi.hanaga cha mswalia mtume ijumaa ni siku ya ibaada na ahly kaitenga maalum kumaliza kaz ugenn ili kutunza energy hatua inayofuata.karibuni kwetu afganistan kwa sasa tanzania
 
Back
Top Bottom