Asalaam Aleikum,
Hopefully kila mtu kapokea results za quarter finals za CAFCL kwa namna anayoijua yeye. Sisi kama Mashabiki wa Young Africans tumefurahia kwa kiasi kupangwa na Mamelodi na furaha imezidi kuwa kubwa tukijua kwamba tuna kikosi kipana, kocha mzuri na wachezaji wenye uwezo mkubwa. Pia tunajua how good we thrive tukiwa underrated, mifano iko mingi ambayo inafahamika na wengi na siwezi kuhitaja.
Ombi letu ni moja kwa Management na Uongozi mzima wa Young Africans, hususani kwenye idara ya hamasa na uenezi. Tunaomba mechi yetu ya Nyumbani na Mamelodi Sundowns (Masandawana) ipewe hamasa ya Gamondi day kwa sababu kuu 3 ambazo naziorodhesha chini.
1. Gamondi amekuwa kocha ambaye ametufanyia mengi makubwa kwa muda mfupi, ni busara na destuli zetu wana Young Africans kuonyesha appreciation kwake kwenye mechi hii kubwa.
2. Hii mechi ni kubwa na ngumu pia, we need to back up our manager, we stand tall behind him ili aweze kupata support yetu na hatimaye tupate matokeo mazuri.
3. Itakuwa mechi ya kuweka historia pia, na kama kuna mtu tunamuhitaji atuvushe basi ni Gamondi master tactics.