Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,330
- 8,251
Mambo ya familia yenu unaletaje humu? Familia yenu haina wazee wa kuongea naye?Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.
Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.
Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.
Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu.
Amewekeza kwenye papa unategemea atafanya maendeleo zaidi ya kupauka na chumvi za chumviniMdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.
Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.
Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.
Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu.
Uwo ni wivu tafuta pesaMdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.
Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.
Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.
Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu.
Na akipata MWANAMKE hazimtoshi ataendelea kujenga ukweniMtafutie mke kama hajaoa
Umechangamkia fursaMwache aendelee kujenga ukweni atalipwa mbingunna kama una namba yake unaweza nipatia
Mzee wa kitonga
Umewahi kukaa nae ama kuitisha kikao cha ukoo ili mjue tatizo ni nini ama umeamua kuanzia hapa jfMdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.
Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.
Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.
Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.