Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 5,995
- 7,756
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.
Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.
Anaishi nyumba ya kupanga.
Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.
Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.
Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.
Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.