Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mbu,

Haya mambo ni magumu sana na tunaweza kushauriana hata kwa miaka 100 tusimalize, kwa sababu kila siku na kila uzoefu unakuja na ufunuo wake!!

Naomba usome kile kitabu nilichoweka hapa jana....(I married you, by Walter Trobisch).....Which simply meant to say kwamba unaweza kuwa unawashauri watu ku-mend relationship zao wakati huo yako inakushinda....Ni fact ngumu sana hii!!

Kwa ufupi, nakushauri utafute mtu bila kujali ana watoto au la...Kubaliana naye mapema kabisa kwamba atakuja kuishi na watoto wa mwanamke mwingine.....Ila hata akama atakubali, bado utahitaji kuwa makini kwa sababu mawazo ya mtu na misimamo ni dynamic...Kwa hiyo kukubali kwake siyo guarantee!! Ndiyo maana namwonea huruma mwanamke ambaye anaweza kuwa mke wa pili wa DC!!

Mama mwenye watoto may be...Ila watoto wako na wake ni vitu viwili tofauti....Kuna kabila wana msomo kuwa "ukoo wa ng'ombe unajengwa kutegemeana ziwa walolonyonga"....yaani wale walionyonya ziwa moja ni ndugu wa damu hata kama wametoka kwa madume 100!

Babu DC!

dahh,....ubarikiwe sana mkuu...
am living in inception!...na ni ukweli usiopingika kwangu kunaungua japo huwa najidai kimbelembele na "fire extingushers" kuokoa nyumba za watu.

...na hilo la umakini ni mtihani ambao nimekuwa naufikiria kwa takriban miaka kumi sasa tangu nilipogawana mbao na
mama wa watoto wangu...

kiukweli kwasababu nisizoweza ziweka sawa akilini, nimekuwa muoga sana kuzaa na mwanamke mwingine kiasi kwamba najiuliza nisipoweza kumuoa mwanamke asiyezaa, basi angalau nimuoe aliye tayari na mwanae/wanawe.
...la sivyo, nitajikubalisha ku end up a lonely figure, katika fainali ya uzeeni nikijaaliwa kuufikia!

mawazo yako yataendelea kubakia kumbukumbu ya kudumu mawazoni mwangu.. nakushukuru sana na
weekend njema mkuu!
 
Mdogo wangu alijifungua kwa operation ambayo ilikuwa bit complicated.

Sasa wote tulikuwa hospital tunasubili afanyiwe operation; tulikuwa ndugu wa mke (mimi, dada zangu, kaka yangu, mama na baba) na shemeji pamoja na ndugu zake wote walikuwepo.

Baada ya operation kumalizika; wale ndugu za shemeji wote wakakimbilia kumwangalia mtoto. Sisi na mmewe tukakimbilia kujua hali ya mzazi;

Tulipotoka hospital dada yangu mkubwa aka comment; akasema hivi mliwaona wale walivyokuwa hawajali afya ya mdogo wetu? Kuna mambo mengi katika swala la nani ni first nani ni second.
 
Dah! Mkuu Mbu I can feel, aisee hii past yako inakuhunt sana. Labda nikupe pole tu kwasababu the way ambavyo nakusoma basi ni ngumu sana aisee kuweza kukubadilisha ukayaangalia maisha katika mtazamo mpya.
 
Wewe NK......??

Hivi tumeshazishau mind-set zetu sisi Waafrika? Please soma post yangu iliyopita kuhusu ukoo wa ng'ombe.....Huyo dogo wako hana undugu na ndugu wa mume bali nyie...Ila yule mtoto ana damu ya ndugu yao (unless mke wake kampiga changa la macho)!! Ndiyo maana, wabibi wengi wanapenda na wako tayari kulea watoto wa binti zao na siyo wa watoto wao wa kiume...Hao wanaitwa watoto wa watu (kwa vile wana mama zao ambao hawana undugu na na huyo bibi)!!

Babu DC
 
Dah! Mkuu Mbu I can feel, aisee hii past yako inakuhunt sana. Labda nikupe pole tu kwasababu the way ambavyo nakusoma basi ni ngumu sana aisee kuweza kukubadilisha ukayaangalia maisha katika mtazamo mpya.

''haunted?'...loh, nipo kwa mobile sasa...mawazo yako nayakaribisha kwa public domain au private mail..
Autumn hapa, Nipo mjini naranda randa kwanza...
 
Yep haunted, Wallahi sina ushauri kaka nina utabiri tu. Unajua kila nikikusoma namuona mtu ambae alitaka kujenga happy family kwa kutumia extra effort, inaonekana ulitumia nguvu sana na ulitarajia utafanikiwa lengo lako, bahati mbaya sasa ulifanikiwa nusu na nusu haukufanikiwa na hapa ndio chimbuko la tatizo na nionavyo mimi hili tatizo litakusumbua sana as long as you are stuck in the middle of this triangle.

Ufafanuzi:
Ulipooa (wewe), kama kawaida yetu sote ulijihisi umepata right choice yako ya kutimiza ndoto yako na ukajiwekeza hapo na probably ulihisi kwamba ni kifo tu ndio chaweza watenganisha na mkeo, Mungu si aspirini ukabarikiwa na watoto na tayari ukajihisi umekamilisha ratiba ya maisha, kwa mshtuko na pengine bila kutegemea ukajikuta umefeli mission yako pamoja na maguvu mengi ulotumia ili usifeli. Kwa uoni wangu ni kwamba mpaka sasa inaonekana umekubaliana na hali ya kuachana na mke wako (angle moja ya lengo lako la awali la happy family) lakini bado haujakubaliana na ukweli wa kwamba watoto wako (angle ya pili ya lengo lako la happy family) hawawezi tena kuwa pamoja na mama yao na baba yao sleeping under the same roof. Sijui watoto wako wana umri gani? na wako dependant kwako kwa kiasi gani? Lakini complication nadhani iko hapa, na mbaya kuliko yote sasa unamuangalia future partner wako aidha kwa jicho unalomhukumia ex wako au at least unamuangalia kila mwanamke through watoto wako .

MJ1 akisoma hii post mwambie nimetania tu siko serious lol
 
dahh,....ubarikiwe sana mkuu...
am living in inception!...na ni ukweli usiopingika kwangu kunaungua japo huwa najidai kimbelembele na "fire extingushers" kuokoa nyumba za watu.

...na hilo la umakini ni mtihani ambao nimekuwa naufikiria kwa takriban miaka kumi sasa tangu nilipogawana mbao na
mama wa watoto wangu...

kiukweli kwasababu nisizoweza ziweka sawa akilini, nimekuwa muoga sana kuzaa na mwanamke mwingine kiasi kwamba najiuliza nisipoweza kumuoa mwanamke asiyezaa, basi angalau nimuoe aliye tayari na mwanae/wanawe.
...la sivyo, nitajikubalisha ku end up a lonely figure, katika fainali ya uzeeni nikijaaliwa kuufikia!

mawazo yako yataendelea kubakia kumbukumbu ya kudumu mawazoni mwangu.. nakushukuru sana na
weekend njema mkuu!

Pole sana Mbu, It is understandable hasa kwa mtu ambaye alikuwa na malengo mazuri na vision nzuri ya maisha yake na familia yake kama wewe. Kusema ukweli ni wanaume wachache ambao wanachukulia maisha na furaha ya familia yake to this degree! So it is understandable why you are feeling the way you feel as shown in many of your posts.

The good thing ni kuwa you have managed to come out strongly and unajua ulichokikosa na kikwazo kilikuwa ni kipi. At least unao mwanga wa unapotaka kuwa in future. Just remember having a failed marriage doesn't always mean kuwa you aren't a good husband or good dad.
 
Yep haunted, Wallahi sina ushauri kaka nina utabiri tu. Unajua kila nikikusoma namuona mtu ambae alitaka kujenga happy family kwa kutumia extra effort, inaonekana ulitumia nguvu sana na ulitarajia utafanikiwa lengo lako, bahati mbaya sasa ulifanikiwa nusu na nusu haukufanikiwa na hapa ndio chimbuko la tatizo na nionavyo mimi hili tatizo litakusumbua sana as long as you are stuck in the middle of this triangle.

Ufafanuzi:
Ulipooa (wewe), kama kawaida yetu sote ulijihisi umepata right choice yako ya kutimiza ndoto yako na ukajiwekeza hapo na probably ulihisi kwamba ni kifo tu ndio chaweza watenganisha na mkeo, Mungu si aspirini ukabarikiwa na watoto na tayari ukajihisi umekamilisha ratiba ya maisha, kwa mshtuko na pengine bila kutegemea ukajikuta umefeli mission yako pamoja na maguvu mengi ulotumia ili usifeli. Kwa uoni wangu ni kwamba mpaka sasa inaonekana umekubaliana na hali ya kuachana na mke wako (angle moja ya lengo lako la awali la happy family) lakini bado haujakubaliana na ukweli wa kwamba watoto wako (angle ya pili ya lengo lako la happy family) hawawezi tena kuwa pamoja na mama yao na baba yao sleeping under the same roof. Sijui watoto wako wana umri gani? na wako dependant kwako kwa kiasi gani? Lakini complication nadhani iko hapa, na mbaya kuliko yote sasa unamuangalia future partner wako aidha kwa jicho unalomhukumia ex wako au at least unamuangalia kila mwanamke through watoto wako .

MJ1 akisoma hii post mwambie nimetania tu siko serious lol
Oh Shemeji bana...... Nadhani uko serious maana si kawaida yako kuandika herufi nyingi hivi lol.
Naogopa utapopeleka invoice kwa bwana Mbu! Malawyers bana
 
Nyumba kubwa, Mbu,Dark City, MwnajamiiOne,Fellow tablet klorokwini,

Nyie ni wakareeee

Salute!!

😛oa
 
habari zenu wadau wakubwa wa M.M.U?.....

sole kwa off-topic lakini naomba nitoe langu ''la moyoni''....!

huyu ashadii ni nani wajameni?it is like namfahamu hivi lakini not sure
 
Kwa hiyo????

Halafu wewe dogo wewe...Hao wanaokupoteza wambie washindwa kwa jina la.........!!
 
Bange za Makambako si sawa na Bange za Monduli....Za makambazo huwa zinamwagiliwa na gongo.
 
habari zenu wadau wakubwa wa M.M.U?.....

sole kwa off-topic lakini naomba nitoe langu ''la moyoni''....!

huyu ashadii ni nani wajameni?it is like namfahamu hivi lakini not sure

Dah! Teamo.....
 
AshaDii ni Nyani Ngabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom