Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

nakupata Mkuu.
Wito kwa kinamama wote humu ndani,anzeni kuwa mnaomba mpate mume mwenye sifa za babu DC!
(lakini watch weight msije mkanenepeana kwa raha).

Duuuuu,

Brother Bishanga bashaija...waitu kalumuna.....Mbona umefanyia promotion mahali ambapo hakuna njia ya mtu yeyote kufika.....

Hivi vibogoyo nao wanapewa nyama?? Utakuwa tayarii kuwasagia??

Babu DC!!
 
Jamani B'... Zinapokuwepo threads ambazo zinahitaji attention yangu kama hii... Siwezi rusha uzi... For sasa nagawa concetration which is not good... Be patient huo uzi utakuja soon... Hivo naomba usinichape bana.... (Hivi unajua kua mtu mzima achapwi lakini?? )

anafanywa nini?
 
Duuuuu,

Brother Bishanga bashaija...waitu kalumuna.....Mbona umefanyia promotion mahali ambapo hakuna njia ya mtu yeyote kufika.....

Hivi vibogoyo nao wanapewa nyama?? Utakuwa tayarii kuwasagia??

Babu DC!!

unastahili Mkuu,kwa mapenzi uliyonayo kwa Madam DC nimekuvulia kofia!
 
Kweli mkuu,

Umesahau kuwa mapenzi ni sanaa kwa wingi kama zile za akina Kanumba na Ray???

Siku moja wewe waualize....naamini watakuhakikishia kuwa ukiweza kuuza sura vizuri basi chat yako inakuwa ya matawi ya juu!
 
Sijasoma yooooote ila naona kama watu wanachanganya vile, kwa mtoto na partner kila mtu ana nafasi yake, coz mapenzi ya mtoto ni tofauti kabisa na yale ya mume/mke na kadhalika
 
mhh jamani bila mama zao mngewapata hao watoto au baba zao, mie nitampeda mzazi mwenzangu kwanza then kids, kwanza wote watakuwa wa kwanza kwa kila mtu na nafasi yake, watoto watapendwa kama watoto sababu kamwe hawawezi kuwa partner wangu na baba yao upendo wa kutoka kwangu nao utakuwa wa kipekee
 
sawa mzazi mpendwa,ila hujatwambia ikitokea valangati kati yako na mmeo itakuwaje kuhusu watoto!
 
Jana nilikuwa nacheki movie moja nikakumbuka huu uzi.

Kuna kijana wife wake alipata ajali akiwa na mimba kubwa ya miezi saba.
Kijana kapigiwa simu yeye na mama yake (mama mkwe) wakaongozana kwenda hospital.

Wamefika hospital; doctor akawaambia hali ni mbaya sana; kuna option mbili; either kumponya mtoto (unborn child) au mama (wife).

Jamaa wala hakuwaza mara mbili akasema mponye wife; mama yake (mama mkwe) wacha amkate jicho akasema the kid is the most important.

But it was sad kwani wife alikufa mtoto alipona; though husband alitaka mkewe aendelee kuishi.

Kwa hiyo nimethibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wake zao then watoto.
 
...mmnh, hapana nyumba kubwa, kwa kesi hiyo hata mimi ningesema aponywe mke!
lohhh...

kuna swali najiuliza kila mara sipati jibu...
hivi, wivu kwa mume kumpenda (favor) mtoto/watoto wake kuliko mkewe
unalingana baina ya mama mzazi na mama wa kambo?

...nyie kwa experiences zenu mnaonaje juu ya hili...
 
Jana nilikuwa nacheki movie moja nikakumbuka huu uzi.

Kuna kijana wife wake alipata ajali akiwa na mimba kubwa ya miezi saba.
Kijana kapigiwa simu yeye na mama yake (mama mkwe) wakaongozana kwenda hospital.

Wamefika hospital; doctor akawaambia hali ni mbaya sana; kuna option mbili; either kumponya mtoto (unborn child) au mama (wife).

Jamaa wala hakuwaza mara mbili akasema mponye wife; mama yake (mama mkwe) wacha amkate jicho akasema the kid is the most important.

But it was sad kwani wife alikufa mtoto alipona; though husband alitaka mkewe aendelee kuishi.

Kwa hiyo nimethibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wake zao then watoto.

Umeona sasa NK???

Nimewaeleza sana humu ndani sijui kwa nini watu wamekuwa wagumu kiasi hicho....Ni vigumu sana kusema unawapenda watoto zaidi ya mama yao kama bado mnaelewana. Mkishakutibuana hilo ni suala jingine...But under normal...mke anakuwa nambari wani!!

Ila kwa wale ambao wanauguza vidonda...after the misery of their first marriages...tunawaelewa na kukubaliana nao!

Pia tunawaelewa wanawake wanaposema mtoto ni nambari wani kwao kulinganisha na baba yao (ingawa ni jambo linalowaume wanaume)...Wanawake wanakuwa under the influence ya vitu vingii sana ambavyo msingi wake mkubwa ni biology wakati kwa wanaume ni psychological zaidi kuliko biology!
 
...mmnh, hapana nyumba kubwa, kwa kesi hiyo hata mimi ningesema aponywe mke!
lohhh...

kuna swalki najiuliza kila mara sipati jibu...
hivi, wivu kwa mume kumpenda (favor) mtoto/watoto wake kuliko mkewe
unalingana baina ya mama mzazi na
mama wa kambo?

...nyie kwa experiences zenu mnaonaje juu ya hili...

Mbu pleaaase..........Mama wa kambo ni kiumbe kingine kabisa...Kama ingewezekana, atatamani kutoishi na watoto wako. Mara nyingi wanakubali kwa sababu anapenda kuishi na wewe. Ila under free will and choice...she will go for you alone and only you!!! May be hili nalo tulijadili siku nyingine!!

Kwa mama mzazi...atafurahi sana kwamba unawapenda watoto wake ila ukiwapa attention kubwa atachukia but within limits...Mama wa kambo akiona unajishabadua na watoto wako anaweza hata kuwapotezea mbali ili wamwachie share yake (100%)!

Ni maoni yangu hayo...Ngoja tusubiri na wengine!!

Babu DC
 
Umeona sasa NK???

Nimewaeleza sana humu ndani sijui kwa nini watu wamekuwa wagumu kiasi hicho....Ni vigumu sana kusema unawapenda watoto zaidi ya mama yao kama bado mnaelewana. Mkishakutibuana hilo ni suala jingine...But under normal...mke anakuwa nambari wani!!

Ila kwa wale ambao wanauguza vidonda...after the misery of their first marriages...tunawaelewa na kukubaliana nao!

Pia tunawaelewa wanawake wanaposema mtoto ni nambari wani kwao kulinganisha na baba yao (ingawa ni jambo linalowaume wanaume)...Wanawake wanakuwa under the influence ya vitu vingii sana ambavyo msingi wake mkubwa ni biology wakati kwa wanaume ni psychological zaidi kuliko biology!

msataafu duuuhh...hahahah....haya bana....ahsante kwa mchanganuo mzuri...
hapo uliposema psychological "needs" umenipeleka mbaaali sana....kwenye maslow hierachy!

Mbu pleaaase..........Mama wa kambo ni kiumbe kingine kabisa...Kama ingewezekana, atatamani kutoishi na watoto wako. Mara nyingi wanakubali kwa sababu anapenda kuishi na wewe. Ila under free will and choice...she will go for you alone and only you!!! May be hili nalo tulijadili siku nyingine!!

Kwa mama mzazi...atafurahi sana kwamba unawapenda watoto wake ila ukiwapa attention kubwa atachukia but within limits...Mama wa kambo akiona unajishabadua na watoto wako anaweza hata kuwapotezea mbali ili wamwachie share yake (100%)!

Ni maoni yangu hayo...Ngoja tusubiri na wengine!!

Babu DC

....dahhhh, hivi ee? najua hapo haina maana kuwaua pekee, pia kuna fitna na majungu...ee mungu niokoe mja wako.

kwahiyo kwa mjane mie, ili niweze kuishi kwa amani mpaka roho itapoacha mwili unanishauri bora kutooa?
hapana bana, ili ku balance hii equation inabidi nimtafute mke ambaye naye ana mtoto wake ngoma iwe draw!...au unanishauri vipi mtu mzima?
 
Mbu,

Haya mambo ni magumu sana na tunaweza kushauriana hata kwa miaka 100 tusimalize, kwa sababu kila siku na kila uzoefu unakuja na ufunuo wake!!

Naomba usome kile kitabu nilichoweka hapa jana....(I married you, by Walter Trobisch).....Which simply meant to say kwamba unaweza kuwa unawashauri watu ku-mend relationship zao wakati huo yako inakushinda....Ni fact ngumu sana hii!!

Kwa ufupi, nakushauri utafute mtu bila kujali ana watoto au la...Kubaliana naye mapema kabisa kwamba atakuja kuishi na watoto wa mwanamke mwingine.....Ila hata akama atakubali, bado utahitaji kuwa makini kwa sababu mawazo ya mtu na misimamo ni dynamic...Kwa hiyo kukubali kwake siyo guarantee!! Ndiyo maana namwonea huruma mwanamke ambaye anaweza kuwa mke wa pili wa DC!!

Mama mwenye watoto may be...Ila watoto wako na wake ni vitu viwili tofauti....Kuna kabila wana msemo kuwa "ukoo wa ng'ombe unajengwa kutegemeana ziwa walilonyonya"....yaani wale walionyonya ziwa moja ni ndugu wa damu hata kama wametoka kwa madume 100!

Babu DC!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom