Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
jina lako linanikumbusha mbali sana.dah!!!
Last edited by a moderator:
i call these words of wisdom,ziko stori nyingi sana na zinaleta maana na mafunzo mengi kama utazielewa hii hapa inaitwa stong black woman passed away ila kama unafanikiwa kupata sound yake badala ya kusoam ahivi mwenyewe inakuwa poa sana nenda nayo ipo hivi.,ni story ya storng blck woman who passed away naanza kunukuu `Sisters... take heed... Brothers... be strong enough to recognize the seriousness of your sisters' struggle...mbali wapi huko Mndengereko
old is goldHii thread naikumbuka maana niliitoleaje majicho? Nadhani hata sreen yangu ilifubaa aisee!! JF MMU Enzi hizo
Nipo Heaven on Earth michakato mingi tu, habari yakohuyu mkaka naipenda avatar yake.....napendaga kusoma comments zake sijui yuko wapi siku hizi
Heri ya mwaka mpya kwako Mbu huyu Asprin ni mzee kijana hakubali kuzeekahahahahah, umeona ee mzee mwenzangu Asprin, halafu nashangaa hujalala wewe huko mpaka muda huu! klorokwini amemyuti muda sana sasa sijui limempata lipi!Heri ya mwaka mpya kwako pia na familia, aisee....ma sredi kama haya yalikuwa yanatupa addiction tosha ya jf aiseeImagine kama ile #UlikuwaWapiSikuZote
Platinum !!!
Nipo Heaven on Earth michakato mingi tu, habari yako
Nimejikuta na mimi nakakumbuka haka kathread.... Natamani nisikie hawa mabinti na madogo waliooana juzi wanasemaje. Na wale walio na mpango wa kuoana wana mtazamo gani....:cool2:Hii thread naikumbuka maana niliitoleaje majicho? Nadhani hata sreen yangu ilifubaa aisee!! JF MMU Enzi hizo
Nimejikuta na mimi nakakumbuka haka kathread.... Natamani nisikie hawa mabinti na madogo waliooana juzi wanasemaje. Na wale walio na mpango wa kuoana wana mtazamo gani....:cool2:
CC: Watoto miss neddy, Mafikizolo, Khantwe, kichunafk, Kasinde, miss chagga, sister

Nakuunga mkono babu. Ntuzu comes first before janeth1 and romantic eyes kwa sababu ni yeye aliyefanya wakawepo na hata wasingekuwepo sie tungeendelea kupendana
Mwalimu, bado msimamo wako uko palepale?
Umependa usemi tu au hata mimi umenipenda?Nimependa usemi wa babu ni kweli watoto tunapenda kuona wazazi mkipendana, watoto ni matokeo tu upendo uko kwa Mme au mke...