Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

Nitafurahi sana kwani huwa naamini Mama DC peke yake ndiye anayenifahamu...Sasa kama watu wote wananifahamu ataendeleaje kujiona nambari wani?? At least nikipata watu wakunimix na wadau wengine itakuwa great ili utukufu ubaki kwa mwenye nao (in this case, my nambari wani)!!

Umenifungua akili na kunifanya in the future nipotezee.... THANK YOU....

Ahsante sana dada yangu,

Pamoja sana....!!

Pamoja saaana DC.... Nitasubiri comments zako hata kwa VM/PM Maana ile discussion inabidi ipoe kabla ya kurise upya!!
 
Hahahahaha......... dah! Kama nimeielekeza makao makuu ya Vodacom lakini netiweki imegoma nikiielekeza makambako si katalipuka? Nimestuka!
hehehe kauze basi ununue nusu gilasi. Visimu kama hivyo vina side effect mpaka kwenye uzazi. Mwenzio nimepata jimama linaniweka mjini last wiki limeniletea HTC na sunglass kama ya lucky dube
 
Aisee we mwongo aisee. NimejiPM haijafika. Inawezekana umejiPM kwa ile ID yako nyingine habu kagua vizuri afu fanyia kazi uvumbuzi wako.

Jibu unitumie kwa PM kwenye ile ID yangu ya sita.

heheeh hapo red hapo

Unajua watu huchukulia vitu mzaha... Mie sipendi bishana na mleta habari no matter minor.... Nimeshangaa saana kua nimeji PM na nimepokea huo ujumbe..... aissseee!!! Klorokwini umenichekesha... Ulikua unafanya nini mpaka ukatambua hilo?? lol
 
Umenifungua akili na kunifanya in the future nipotezee.... THANK YOU....

Pamoja saaana DC.... Nitasubiri comments zako hata kwa VM/PM Maana ile discussion inabidi ipoe kabla ya kurise upya!!

Love, umemwambia mzee mwenzangu DC kuwa ziko moderated.......
 
Yani nieamini mkiishi pamoja kwa muda mrefu mkiwa mnapendana kila kitu kinafanana. Yani shem mwandiko wako umefanana na wa hommie huwezi amini. Au umemwibia penseli yake?

Shem leo naona mpango wako ni kunichekesha na kunifurahisha.....lol... Ngoja nicheck vizuri labda kweli mie sioni tu!!
 
Unajua watu huchukulia vitu mzaha... Mie sipendi bishana na mleta habari no matter minor.... Nimeshangaa saana kua nimeji PM na nimepokea huo ujumbe..... aissseee!!! Klorokwini umenichekesha... Ulikua unafanya nini mpaka ukatambua hilo?? lol

hehehe ni suala zito lakini kwa heshma yako na malenga wetu kaizer nitakujibu kwa ufupi, Yaani nilikuwa nimeshuhulika na nimejipinda namuandikia jamaa PM (jina tunalo), kumbe niko kwenye profile yangu mwenyewe, sasa hafla naona kaPM notification, nikajua kitu imekwenda na kujibiwa kwa mwendo wa umeme. Khaaaaa! nilishangaa kujiona najitongoza mwenyewe.
Eeeh Mungu nisamehe sitorudia mja wako.
 
you know what babe...you don wanna know coz thats the reason to love in da first place

baada ya hayo, hommie hebu do ze nidiful msimu huu wa maombolezo ya Ghadaffi, uje na grants chupa mbili. we ntakutengenezea Gin tonic

No comment Love'...

Love, umemwambia mzee mwenzangu DC kuwa ziko moderated.......

Sweetie hilo Mzee DC analitambua maana hata yeye na mama DC washare kama sikosei... BTW hebu angalia post # 451 hapo nyuma (Shem thinks miandiko yafanana) Hio post nimetuma mimi wewe?? maana nimesahau kidogo....lol
 
hehehe ni suala zito lakini kwa heshma yako na malenga wetu kaizer nitakujibu kwa ufupi, Yaani nilikuwa nimeshuhulika na nimejipinda namuandikia jamaa PM (jina tunalo), kumbe niko kwenye profile yangu mwenyewe, sasa hafla naona kaPM notification, nikajua kitu imekwenda na kujibiwa kwa mwendo wa umeme. Khaaaaa! nilishangaa kujiona najitongoza mwenyewe.
Eeeh Mungu nisamehe sitorudia mja wako.

Klorokwini.... Mungu wangu humo kichwani mwako what do you think?? Kuna mambo mangapi yamo humo??... Maana infor zako kweli kabisa ni unique na very crack based informative.. Umenifurahisha kweli.... Asante kwa ufafanuzi... Hopefuly ujaahirisha kutuma ulikolenga awali!! lol
 
heheeh hapana , nimeuchuna kwanza mpaka bladi presha ishuke
 
My conclusion:

Loving your kid(s) and loving your spouse are not mutually exclusive. And comparing the two is equivalent to comparing apples to oranges.

Apples are fruits but so are oranges. But it's without a doubt that they are both different.

So there you have it ladies and gentlemen. It's the freakin' weekend and I'm about to go have me some fun! See you later alligators!
 
Babu ameruhusu siredi ichakachuliwe kwa sasa naona watu wanapiga story tuu humu
Konlusheni pulizi
 
My conclusion:

Loving your kid(s) and loving your spouse are not mutually exclusive. And comparing the two is equivalent to comparing apples to oranges.

Apples are fruits but so are oranges. But it's without a doubt that they are both different.

So there you have it ladies and gentlemen. It's the freakin' weekend and I'm about to go have me some fun! See you later alligators!

Senk you NN
Have a wonderful weekend too
 
My conclusion:

Loving your kid(s) and loving your spouse are not mutually exclusive. And comparing the two is equivalent to comparing apples to oranges.

Apples are fruits but so are oranges. But it's without a doubt that they are both different.

So there you have it ladies and gentlemen. It's the freakin' weekend and I'm about to go have me some fun! See you later alligators!

I can have my beer now...

Thanks NN
 
hehehe ni suala zito lakini kwa heshma yako na malenga wetu kaizer nitakujibu kwa ufupi, Yaani nilikuwa nimeshuhulika na nimejipinda namuandikia jamaa PM (jina tunalo), kumbe niko kwenye profile yangu mwenyewe, sasa hafla naona kaPM notification, nikajua kitu imekwenda na kujibiwa kwa mwendo wa umeme. Khaaaaa! nilishangaa kujiona najitongoza mwenyewe.
Eeeh Mungu nisamehe sitorudia mja wako.
Hah yaani kwa post yako Klorokwini nimejikuta nacheka bila kupenda.
Aksante kwa kulighten up my day.
 
Namimi acha nilog out, nitakuja kuangalia konklushen baadae.
Nimealikwa ubwabwa wa bure sehem. Namshukuru Mungu naenda kuhuzuria hafla hii nikiwa na njaa ya ajabu.
Acha nikawape waswahili la kuongea, kwa mara ya kwanza leo nitakula bila kumezea na maji.
 
My conclusion:

Loving your kid(s) and loving your spouse are not mutually exclusive. And comparing the two is equivalent to comparing apples to oranges.

Apples are fruits but so are oranges. But it's without a doubt that they are both different.

So there you have it ladies and gentlemen. It's the freakin' weekend and I'm about to go have me some fun! See you later alligators!

Aksante Mwalimu this is what I some of us were trying to portray in this thread but nadhani hatukuweza kuliweka vizuri. Ubarikiwe sana bro kwa hili hitimisho lako.
 
Namimi acha nilog out, nitakuja kuangalia konklushen baadae.
Nimealikwa ubwabwa wa bure sehem. Namshukuru Mungu naenda kuhuzuria hafla hii nikiwa na njaa ya ajabu.
Acha nikawape waswahili la kuongea, kwa mara ya kwanza leo nitakula bila kumezea na maji.
Aisee hawa ndugu zako wanakusubiri ukatoe shoo

Jagwa - YouTube
 
Ndiyo maana yake mkuu....Huwezi kufanya mambo kinyume eti kwa ku-anticipate yanaoyoweza kujitokeza katika bad times!! Ikotokea hali tofauti na hii ya sasa (normal) tutaishughulikia wakati huo. Sina hakika kama kuna uwezekano wa kudeal na unanticipated abnormals!

Kwa sasa narudia kusema kuwa my wife ni nambari wani....Likitokea jambo tofauti na hilo tutalishghulikia wakati huo....Siwezi kuanza utabiri wa shekh Yahya katika hili!!!

nakupata Mkuu.
Wito kwa kinamama wote humu ndani,anzeni kuwa mnaomba mpate mume mwenye sifa za babu DC!
(lakini watch weight msije mkanenepeana kwa raha).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom