Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

ana sababu za msingi? eti TF una sababu za msingi za kutooa hadi leo hii?
-hujampata wa kukupenda?
_unasubiri umalizie mansion yako bahari beach?
_unamalizia Phd yako ng'ambo?
_huna hela ya harusi?
_rafiki uliyenaye hajakata shauri?
-unaogopa?
.......twambie bana.
Hayo yote kwa Tf yanafanya kazi na la zaidi anasuibiri atunukiwe shahada ya heshima PHD na lichuo limoja hapa nchini kwa kuwa mtaalam wa mapenzi ambayo yeye hata mpenzi hana. Na sijui hicho chuo ni cha klule tandale kwa mtogole
 
Ahhahahahah haya mkuu ila si uliamua kuwa nae pale ulipoapa bana kuwa kwenye shida na raha, tabu na ugonjwa na kumlinda

ndugu yangu siku hiyo huwa tunasema kila kitu,ila reality iki set in..du ndo unaanza mambo ya ningejua na mwisho unaanza kutafuta mlango wa kutokea,wakati huo sasa ndo mna watoto,joint account,shareholders pamoja kwenye kampuni yenu inayokua kwa kasi,nyota yako ya kisiasa inakua kasi na wewe mnajulikana as a couple...we acha tu,mwisho mnaishia kutengana vyumba ili ku maintain the facade.
 
Pretty your right! Mimi wazazi wangu walishafariki lakini bado ninawapenda hadi leo, mume nilikuwa nampenda sana bt alivyonitibua my kids ni number one

sioni kabatan cha 'like',kula tano mwanawane!
 
Teh,teh,teh,teh,vipi ma aliem PM dada yake kimalavidavi?
nakwambia siku hiyo itakuwa baaaaarrrrraaaaaaaa...bora twendelee hivi hivi kujificha nyuma ya mapazia ( ingawa though kuna watu through PM's wanakutana na hata kuoana).
 
Kuna watu wamekutana na marafiki na mke kwake ni rafiki, mpenzi, mke, kama mzazi sometime na companion so mapenzi ya till death kwao yanaexist

Hii ni kama ile hadithi ule mji wa kufikirika ulio kati ya mbingu na ardhi!Ukikutana nayo utadhani upo!
 
Hayo yote kwa Tf yanafanya kazi na la zaidi anasuibiri atunukiwe shahada ya heshima PHD na lichuo limoja hapa nchini kwa kuwa mtaalam wa mapenzi ambayo yeye hata mpenzi hana. Na sijui hicho chuo ni cha klule tandale kwa mtogole
shauri lako,akikusikia..nasikia ana blackbelt aliyotunukiwa na sensei Aspirin kwenye dojo la kimanzichana.
 
Ku
ndugu yangu siku hiyo huwa tunasema kila kitu,ila reality iki set in..du ndo unaanza mambo ya ningejua na mwisho unaanza kutafuta mlango wa kutokea,wakati huo sasa ndo mna watoto,joint account,shareholders pamoja kwenye kampuni yenu inayokua kwa kasi,nyota yako ya kisiasa inakua kasi na wewe mnajulikana as a couple...we acha tu,mwisho mnaishia kutengana vyumba ili ku maintain the facade.[/QUOT
Mkuu haya mambo yapo sana ila ndo hivyo mlango wa kutokea ni mgumu sana
Kama ni shetani wako utaishi naye hivyo hivyo maisha yako yote na hizo account na share kwenye kampuni zitaendelea kuwa the same
Huna budi kukubaliana na reality na kuendana na mkondo wa maji unakoelekea maana huwezi kuugeuza mto upande mlima
Na kukuballiana na mto unakoelekea ni kukubaliana na mkeo na kuuchulia ndo msalaba wako maana kama sivyo ndo mwanzo wa nyuimba ndogo unakoanzia
m
 
nakwambia siku hiyo itakuwa baaaaarrrrraaaaaaaa...bora twendelee hivi hivi kujificha nyuma ya mapazia ( ingawa though kuna watu through PM's wanakutana na hata kuoana).

Hivi unam PM mtu halafu mnapanga mkutane sehem unaenda mara unamkuta mpenzi wako anakusubiri utatoka nduki au?
 
Hii ni kama ile hadithi ule mji wa kufikirika ulio kati ya mbingu na ardhi!Ukikutana nayo utadhani upo!
Mkuu sometime unakubaliana na sura ya kitu ulicho nacho hata kama kina sura ya shetani unakisifia kuwa kina sura ya malaika mtakatifu maana hakuna njia ya kukwepa.
 
shauri lako,akikusikia..nasikia ana blackbelt aliyotunukiwa na sensei Aspirin kwenye dojo la kimanzichana.

Jana niliongea nae akaniambia ndo anamlizia kuandika thesis yake atunukiwe shahada
Tatizo liko kwenye chuo chenyewe kama kiko tandale kwa mtogole ni balaa
 
Kwa upande wangu mwanamke i think you will understand nikisema watoto 1st... I have carried them for nine months... Thou ajabu ni kua love i feel for baba yao is the one which makes me feel like a true woman...

Love....hiyo wala sio ajabu...thats the fact of the matter.......lol:tongue:
 
Mr.Rocky,hapo juu umesema kweli,kama kuna mtu anabisha atafute 24 series,seson ya 1 mpaka ya 3 akague maisha ya David Palmer na Sherry Palmer!
 
Mkuu sometime unakubaliana na sura ya kitu ulicho nacho hata kama kina sura ya shetani unakisifia kuwa kina sura ya malaika mtakatifu maana hakuna njia ya kukwepa.

Kisa????
 
Maty bana,siku moja wana mmu wote tutoe azimio la kujilipua,kila mtu abadili avatar yake iwe picha na jina lake halisi,hakika siku hiyo tutatafutana humu ndani,ukute mke asham PM mmewe kilavidavi na vice versa!

Hahahaha lol
 

Mkuu mara nyingi nimesema kuta nne za kile chumba cha wazazi kinaficha mengi sana. So tuyaache yale yanayotokea mle kuwa siri ya baba na mama. Hata wakitoka nje wakiwa wanacheka hatujui ni nini kilitokea mle ndani ya zile kuta nne
 
Mbona unam-address Nyumba Kubwa kama NN?

Tafadhali usije ukaanzisha speculations zingine kuwa NN ndo Nyumba Kubwa maana kuna watu walio gullible na credulous kupita maelezo humu. Ya mimi kuwa ndo AshaDii imetosha.

Hahahaa Boss...seriously kuna watu humu wana pea-sized brains. Wakiona kitu tu wanaamini moja kwa moja. Akija mtu hapa na kusema eti Boss ndo NN...kwao hiyo itakuwa gospel truth.

Sasa eti mimi na AshaDii wapi na wapi? Ukiwauliza what makes you think I'm AshaDii? You either hear it's because AshaDii writes good English or they just bumble and flounder through their explanations. They can't even string together a coherent sentence.

It's funny and absurd but worst of it all it's sad.

Asha, what else can I do about it other than just shake my head? Both you and I know beyond a shadow (not even beyond a reasonable doubt) of a doubt that you are not me and I am not you.

Sasa how does someone else know that me and you are one and the same? It's beyond me.

Btw, hiyo ya wewe kuwa RR nimeiona na nikacheka sana. Ikanikumbusha wewe na FF. And why in the hell do people think you are all these people?


Ngabu imagine you feel sad you have been associated with my ID tu (sijui huko nyuma).... Just imagine angalau for a bit how it makes me really really sad in three months nimekua associated with more than five members... Inaniuma saana; yawezekana ni njia ya kunikimbiza JF BUT sasa naona it is working... And I WISH Kama kuna member ana jibu la where I am going wrong na hizi ID za watu aniambie.... NITASHUKURU SAANA nipate fafanuzi na solution ya hii kitu!!

BTW (ODM Nisamehe kwa uchakachuzi nimeomba ruhusa kwa PAW)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom