Kwa mama hilo halina mjadala wala hakuna wa kulinganisha naeAsprin
Na love kwa mama yako jee? Linachukua nafasi ya ngapi?
Mama hawezi kulinganishwa na lolote hapo
Kwa mama hilo halina mjadala wala hakuna wa kulinganisha naeAsprin
Na love kwa mama yako jee? Linachukua nafasi ya ngapi?
Hhahhahah Mbu talaka rejea inaweza kuwepo tu iwapo soulmate sio muelewa (iwapo anapata stahiki yake ya mapenzi na yote yanayotakiwa kufuatana nayo)...zaidi ya hapo anaweza hata akakupenda zaidi.
Niseme ukweli mimi mwanaume akinitamkia kabisa kwamba ananipenda/niko juu zaidi ya watoto iwe wetu au wake aliokuja nao ntamwogopa sana maana kama tuna watoto nakua najua kabisa kwamba kuna uwezekano siku ntakapokua sipo tena na yeye akahitajika kuchukua jukumu la kulea watoto mwenyewe pale atakapopata mwenza tu ndo imekula kwao. Hata wakinyanyaswa hatajali yeye atakua busy kumfurahisha mke/mpenzi wake...hata kama kinachomfurahisha ni kukataa watoto wasisome vizuri/kuwacharaza bila sababu ya msingi/kuwageuza punda n.k
Yani kama ntakua hai sitokua na amani...na kama ntakua nimeondoka duniani sijui huko ntakapokua ntajisikia vipi.
Hivi Darlingtone yuko wapi Bishangausimwonee TF bana,kijeba huyo sema tu kachelewa kupata my wife wake,sijui tumpe Darlingtone,au unaonaje? (though roho itaniuma sana)
Khaa!!! Yaani baada ya jana kutoa ushauri leo hii unanigeuka, halafu nasikia siku hizi kuna Phd za heshima za Infidelity sasa sijui nani anazitoa au ni wewe Asprin.Aisee Bishanga, hebu saidia kuiambia hiyo c.r.a.p Finest kuwa hii sredi ni ya wakubwa. Watoto wanatakiwa kule Chit Chat.
Baada ya kusema hayo, ngoja nielekee UDSM nimeahidiwa kadigrii ka udaktari ka heshima kwa ajili ya mchango wangu wa kilimo cha matikiti maji na matango kule Mabwe Pande.
Dah!! Hadi na wewe unanikaanga kwenye mafuta hivi unaweza ukawa na miaka 19 halafu ni kijebaMkuu kuhusu TF umepatia sana sana maana jamaa ni kijeba mbaya kachelewa tuu kuingia kwenye hii institution ya marriage
Bishanga haya maswali ngoja nikapige desa kwanza ingawa swali la kwanza kwenye nyekundu liko validana sababu za msingi? eti TF una sababu za msingi za kutooa hadi leo hii?
-hujampata wa kukupenda?
_unasubiri umalizie mansion yako bahari beach?
_unamalizia Phd yako ng'ambo?
_huna hela ya harusi?
_rafiki uliyenaye hajakata shauri?
-unaogopa?
.......twambie bana.
Ngabu imagine you feel sad you have been associated with my ID tu (sijui huko nyuma).... Just imagine angalau for a bit how it makes me really really sad in three months nimekua associated with more than five members... Inaniuma saana; yawezekana ni njia ya kunikimbiza JF BUT sasa naona it is working... And I WISH Kama kuna member ana jibu la where I am going wrong na hizi ID za watu aniambie.... NITASHUKURU SAANA nipate fafanuzi na solution ya hii kitu!!
BTW (ODM Nisamehe kwa uchakachuzi nimeomba ruhusa kwa PAW)
Love....hiyo wala sio ajabu...thats the fact of the matter.......lol:tongue:
:shock:😛hoto::smash::smash:
Why don't you just ignore the allegations all together??Don't pay much attention maana kwa kufanya hivyo unawafaidisha wanaoanzisha hayo madai. Na kwakua wanapenda kuona unavyoreact wanaendeleza na kukufuata nayo kila mahali hivyo inawapa nafasi ya kuongeza wafuasi wenye mawazo ya aina hiyo.
Wapotezeee....baada ya muda yatapotea.
Lizzy THANK YOU For this USEFUL Post....
THANKS... I think hio ni one of the BEST Solutions... Tatizo i think nina kihokora ambacho inabidi nifanyie kazi niwe good at ignoring of which I am not..... But Kweli kabisa i will try kufanya hivo...
Sawa Maty,
Ila ngoja tujifanye vichaa...kwamba umetekwa na majambazi na kuambiwa kuwa...lazima uchukue bunduki na kuua ama watoto wako au mumeo. Na huna option ya kujiua mwenyewe ili uwaokoe wao....Utaunyoosha mkono wako kuelekea wapi???
Kwangu mimi akija shetani wa namna hiyo....Nitamwomba anichukue mimi na la sivyo aniachie mke wangu.....!
Samahani sana kama nimetoka nje ya mada ila nasikitika sana kwani baadhi ya comments zimeniumiza!
Si tumekubaliana kuwa you put me first hayo mengine nitakuachia uwe unampa yeye first priority hivi bado yuko online nilimuona yuko busy ana:smash: computer yake.Wakuu katika this thread... Nimesoma kila Post na zimekua very very insightful... Kama shemeji yangu ODM alivosema katika libandiko lake lirefu la mwisho... The Great thing kuhusiana na hii topic ni the fact kua Most wameongea out of one's own expreriences on the matter... I really look forward to other Great discussions kama hizi... Yaani hata mtu ambae hajachangia anaona raha kusoma thread no matter the number of pages....
Wakuu katika this thread... Nimesoma kila Post na zimekua very very insightful... Kama shemeji yangu ODM alivosema katika libandiko lake lirefu la mwisho... The Great thing kuhusiana na hii topic ni the fact kua Most wameongea out of one's own expreriences on the matter... I really look forward to other Great discussions kama hizi... Yaani hata mtu ambae hajachangia anaona raha kusoma thread no matter the number of pages....
Well umeshajaribu kujieleza /kuelewesha na kuwajulisha watu kwamba madai hayo sio sahihi (which is the best solutions) but it didn't work. Mpaka hapo jua kwamba watu unaodeal nao sio waelewa au hawataki tu kukuelewa....they just enjoy seing you all worked up. Kilichobaki ni kutowapa hiyo nafasi ya kukuona ukihangaika kujitetea kila leo...take the fun out of it...they 'll get bored soon enough!
Si tumekubaliana kuwa you put me first hayo mengine nitakuachia uwe unampa yeye first priority hivi bado yuko online nilimuona yuko busy ana:smash: computer yake.
Sweetie ndo nini kunisema ivo lakini...yaani mimi kwend akuangalia shamba mvomero, kurudi nimekuta pages 19, please naomba summary walau... Ila PA apo juu nikikukamata.....
Well well
Nakiri kwa mara ya kwanza nimelazimika kuukimbia uzi wangu mwenyewe.
Ni ukweli uumao lakini lazima tukubaliane nao. Huu uzi kwa mara ya kwanza ukanipeleka mpaka kwa my dear wife kumuuliza. Nilichojibiwa, khaa!
Sasa nakubaliana na my dear wife, MwanajamiiOne, Lizzy, klorokwini, The Boss,Mbu, MTM, Nyani Ngabu na wengine wote kuwa upendo kwa spouses hauwezi kulinganishwa na upendo kwa watoto. Ni vitu viwili tofauti kabisa
Pia naungana moja kwa moja na Dark City mzee mwenzangu, AshaDii shem langu la ukweli na Nyumba Kubwa kwamba kwa kina mama, akishajifungua basi huwezi toa mapenzi yake kwa kiumbe kilichokaa tumboni mwake kwa miezi takriban tisa. Japo kuna rare cases za kinamama wanaowachukia watoto wao utadhani hawajawazaa wao. Tunayashuhudia mengi.
Nawashukuru wooooooote mliouchangia huu msredi.
Nilichojifunza ni kuwa: Mapenzi ya mama kwa mtoto hayalinganishwi na kitu chochote. Wanaume ili tupendwe zaidi na wake zetu yatupasa kwanza tuwapende watoto wao/wetu.
Kumbe ni rahisi sana kwa wazazi: Pendeni watoto wenu kwa pamoja ili mpate sababu ya kuendelea kupendana zaidi na zaidi!!
Baada ya kusema hayo naomba kuwashukuru kwa michango yenu. Nimegradueti!
Hhahhahah Mbu talaka rejea inaweza kuwepo tu iwapo soulmate sio muelewa (iwapo anapata stahiki yake ya mapenzi na yote yanayotakiwa kufuatana nayo)...zaidi ya hapo anaweza hata akakupenda zaidi.
Niseme ukweli mimi mwanaume akinitamkia kabisa kwamba ananipenda/niko juu zaidi ya watoto iwe wetu au wake aliokuja nao ntamwogopa sana maana kama tuna watoto nakua najua kabisa kwamba kuna uwezekano siku ntakapokua sipo tena na yeye akahitajika kuchukua jukumu la kulea watoto mwenyewe pale atakapopata mwenza tu ndo imekula kwao. Hata wakinyanyaswa hatajali yeye atakua busy kumfurahisha mke/mpenzi wake...hata kama kinachomfurahisha ni kukataa watoto wasisome vizuri/kuwacharaza bila sababu ya msingi/kuwageuza punda n.k
Yani kama ntakua hai sitokua na amani...na kama ntakua nimeondoka duniani sijui huko ntakapokua ntajisikia vipi.
Karibu..
Good night!!
Lizzy... WELCOME BACK.... This is one of the Reasons hapa MMU tuliku MISS.... Asante Dear...
Hapana Lizzy,
Hapo umechanganya mambo...Kwa watu wengi, ndoa ya kwanza na ya pili ni tofauti sana. Sijawahi kuwa kwenye hali hiyo ila uzoefu wangu unaonesha kuwa hakuna mtu anaishi kwenye ndoa ya pili na kubaki kama alivyokuwa kabla ya kuoa/olewa mara kwanza.
Binafsi huwa naamini nikioa mke wa pili atapata taabu kwa sababu sina hakika kama nitampa namba 1 kama my first wife. These are two different worlds and those who have gone through it will confirm my words!
Hii tutai-resolve wakati yeye hayupo or else atatunyang'anya Bundle allowance.....lol
Sweetie Summary kisha toa ODM hii hapa chini... na TAFADHALI Usome post zoote Kuna maswali nitakuuliza kuhakikisha hilo!!! lol Pole na shamba Mpezi....
TAKE NOTE: PAW is Watching..... (BTW mimi na wanao nani zaidi???)
Sasa nakubaliana na my dear wife, MwanajamiiOne, Lizzy, klorokwini, The Boss,Mbu, MTM, Nyani Ngabu na wengine wote kuwa upendo kwa spouses hauwezi kulinganishwa na upendo kwa watoto. Ni vitu viwili tofauti kabisa
Mkuu DC,hapo kwenye red,may be...just maybe.....in good times yes.....likitokea anguko litokanalo na kishawishi you will definately run to your mom,au?