Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

Thanks...
Ngoja nichakachua signature yako...Never get angry.Never make a Threat.Reason with people...but if they are not reasonable Ignore them.
Ngoja na mimi nichakachue ya kwako

Welcome to reality......

If it's a broken part GO TO THE GARAGE, replace it. If it's a broken arm GO TO THE HOSPITAL. If it's a broken heart, CONTACT THE FINEST.
 
Babu sijasema kwamba kwa hakika ndivyo itaavyokua, tatizo ni kwamba hamna namna ya kujua huyo mke/mume mwingine atapewa nafasi gani.
Nikishajua kwamba kwangu yuko hivyo napata ufahamu kwamba KUNA UWEZEKANO akawa hivyo hivyo kwa mwingine ikitokea mimi na yeye tukatengana/tenganishwa. Na huo uwezekano ndio nnaouogopa.

Okay Lizzy, nakusoma, ila kuweza kuujua huo uwezekano inabidi ucalculate probability of occurrence......si ndio?
 
kwenye red hapo,mimi naona ni bora life jackets wewe umpe mkeo na mwanao, afterall kila siku si tunaimbiwa humu mmu kuwa love ni pamoja na sacrifice? that will be the ultimate sacrifice,kutoa maisha yako kwa hao uwapendao.

Mkuu soma assumption yangu vizuri,

Kama chance ingekuwepo, ningewaacha wote (mke na mtoto wangu) wote waokolewe mie niende tu....Ndio upendo huo...kuitoa hata nafsi yako kwa ajili uhai wa wapendwa wako...I think I can.

But...Unatakiwa kuchagua mmoja...kigugumizi cha nini????? Msimamo wangu ni ule ule...Nitamwokoa mke wangu ...Naamini Mungu atanisamehe kwa kumwacha mwanangu aka-RIP!!!.

Pretty your right! Mimi wazazi wangu walishafariki lakini bado ninawapenda hadi leo, mume nilikuwa nampenda sana bt alivyonitibua my kids ni number one

Mpendwa,

Hilo ni jambo jingine...Hatutegemei baada ya kutibuliwa u-behave na ku-act kama zamani....Hata kama adrenalin levels zako ziko negative...It is simply impossible...

Mjadala wangu na wengine umeangalia hali kabla ya ajali kama hiyo unayoongelea. Ila issue za wahanga wa ajali za ndoa na mapenzi tumezisikia na kukubaliana nao...Muulize ndugu yangu Mbu!!
 
nadhani nimeeelewa sredi sasa cause hiyo ndo summary yake hakuna maneno mengi

baada ya kusema hayo love, twen zetu tuaonyeshane upendo wa kispouse kisha tuwaonyehe watoto wetu upendo wao wa kiagape....

Mpenzi Kaizer jamani... Khaaa!! Una manipulate hadi maneno!! lol.... Nimekupata lakini.....
 
Ngoja na mimi nichakachue ya kwako

Welcome to reality......

If it's a broken part GO TO THE GARAGE, replace it. If it's a broken arm GO TO THE HOSPITAL. If it's a broken heart, CONTACT THE FINEST.

Hhahahaha.....
Alafu wewe nlikua nakusubiria ujigonge....kisa cha kuniLIKE LIKE bila kuniquote?
 
Ngabu imagine you feel sad you have been associated with my ID tu (sijui huko nyuma).... Just imagine angalau for a bit how it makes me really really sad in three months nimekua associated with more than five members... Inaniuma saana; yawezekana ni njia ya kunikimbiza JF BUT sasa naona it is working... And I WISH Kama kuna member ana jibu la where I am going wrong na hizi ID za watu aniambie.... NITASHUKURU SAANA nipate fafanuzi na solution ya hii kitu!!

BTW (ODM Nisamehe kwa uchakachuzi nimeomba ruhusa kwa PAW)

May be kwa vile haijanitokea....Nadhani ningefurahi kuona watu wanachanganyikiwa ku-define.....

Take my words...Nawatafutia hawa wajukuu surprise....I am sure nitaweza kumaliza homework yangu kabla Mama DC hajanipa ban ya kutembelea MMU!....Si unajua, she is my NAMBARI WANI????
 
Asprin

Na love kwa mama yako jee? Linachukua nafasi ya ngapi?

Hahahahahahah,

Teacher umenifurahisha sana...Wamama wengi hupenda kupata jibu la hili swali....ila sijui kwa nini wanashindwa kuelewa kirahisi. Wakishaolewa wao wanataka wawe first best and next to no one else...Na watoto wao wakioa bado wanataka nafasi hiyo hiyo...Why??

Kwangu mimi (as longer as Mama DC is till in my heart, with occupancy of >90% of it), mama anakuja baada ya watoto wangu....Ila nyumba ndogo haina namba kabisa...If it happens, it is just for funny like playing with a toy!!!.....Samahani wadau!!
 
Is there way to do that in this case??

now....once you ask yourself such a question, you immediately know this is uncertainty.. with this, you know very well that it gets even more complicated when it involves human beings in such situations....I therefore subscribe to DC's comment that lets not contemplate much on what could happen for we cannot be sure/or at least guess what tomorrow would look like....si ndio Lizzy?
 
May be kwa vile haijanitokea....Nadhani ningefurahi kuona watu wanachanganyikiwa ku-define.....

Take my words...Nawatafutia hawa wajukuu surprise....I am sure nitaweza kumaliza homework yangu kabla Mama DC hajanipa ban ya kutembelea MMU!....Si unajua, she is my NAMBARI WANI????

Mzee DC.... Mimi ni mwanamke... na mwanamke yeyote apatapa attention aweza furahia kama hio attention ni once in a while... BUT ikiwa constant ndo kujishuku kunaanza kua maybe kuna kitu nakosea maana imekua too much... inaumiza!! Hata wasionijua watanijua (wee ni mtu mzima najua wajua madhara yake...)

Kuhusu mama DC Hapo ndo ninapokupendea hapo hapo for naona she is the center of your attention... Bravo Mzee DC... Sambaza upendo na let her be your # 1 daima!
 
Hahahahahahah,

Teacher umenifurahisha sana...Wamama wengi hupenda kupata jibu la hili swali....ila sijui kwa nini wanashindwa kuelewa kirahisi. Wakishaolewa wao wanataka wawe first best and next to no one else...Na watoto wao wakioa bado wanataka nafasi hiyo hiyo...Why??

Kwangu mimi (as longer as Mama DC is till in my heart, with occupancy of >90% of it), mama anakuja baada ya watoto wangu....Ila nyumba ndogo haina namba kabisa...If it happens, it is just for funny like playing with a toy!!!.....Samahani wadau!!

mkuu hili neno siku mbilitatu hizi limeleta mtafaruku angalia usiamshe waliolala lol....
 
Babu sijasema kwamba kwa hakika ndivyo itaavyokua, tatizo ni kwamba hamna namna ya kujua huyo mke/mume mwingine atapewa nafasi gani.
Nikishajua kwamba kwangu yuko hivyo napata ufahamu kwamba KUNA UWEZEKANO akawa hivyo hivyo kwa mwingine ikitokea mimi na yeye tukatengana/tenganishwa. Na huo uwezekano ndio nnaouogopa.

Lizzy,

Utakubaliana na mimi kwamba huwezi kudeal na vitu vilivyo mbele yako with high level of certainty! Hata ukijaribu kuwa mtabiri bado kuna mambo yabaki gizani...Naamini hata Shekh Yahya kabakiza mambo kibao...Deal na haya haya ya leo...na yatumie kujiaandaa kwa ajili ya mambo yale ambayo hukuyategemea au hujui kama yatatokea.

Babu DC!
 
Hili swali ni gumu.japo mie nadhani upendo kwa spouses na kids unatakiwa uwe sawa sawa(Ndio maana ya familia)
 
now....once you ask yourself such a question, you immediately know this is uncertainty.. with this, you know very well that it gets even more complicated when it involves human beings in such situations....I therefore subscribe to DC's comment that lets not contemplate much on what could happen for we cannot be sure/or at least guess what tomorrow would look like....si ndio Lizzy?

I agree with the uncertainity part...but that doesn't rule out the posibility.
The possibility will remain and that's just that....Ikiwa nna uwezo wa kuepuka kitu kabla hakijatokea hata kama uwezekano wa hicho kitu kutokea ni mdogo ntaepuka badala ya kusubiria kitokee alafu nisiwe na chakufanya.
 
Nyie watu hapo juu,

Ahsanteni kwa michango yenu.

Kuanzia sasa ratiba ya ODM itakuwa kama ifuatavyo:

Jumatatu na Jumanne ni siku za mapenzi kwa watoto.....wife atanisamehe
Jumatano na Alhamisi ni siku za mapenzi kwa mai waifu na ka-grants kiduchu.......watoto wataniwia razi
Ijumaa na Jumamosi ni siku ya mapenzi na Bia, bia, bia,bia na nyama choma, afu mabia mabia mabia afu mabia tena!
Jumapili ni siku ya mapenzi kwa wote yaani tena kwa mpangilio huu Waifu, Watoto, Bia afu waifu tena!

Nadhani mmeona hapo hamna ratiba ya nyumba ndogo.......... mtanisamehe wajameni!

Baada ya kusema hayo ngoja nirudi kitandani kuangaliwa watakaonigongea ma_LIKE kwenye hii yuziful ratiba!
 
Lizzy,

Utakubaliana na mimi kwamba huwezi kudeal na vitu vilivyo mbele yako with high level of certainty! Hata ukijaribu kuwa mtabiri bado kuna mambo yabaki gizani...Naamini hata Shekh Yahya kabakiza mambo kibao...Deal na haya haya ya leo...na yatumie kujiaandaa kwa ajili ya mambo yale ambayo hukuyategemea au hujui kama yatatokea.

Babu DC!

Kujiandaa kwenyewe sindo nnakokuongea babu???
Au.............?
 
Nyie watu hapo juu,

Ahsanteni kwa michango yenu.

Kuanzia sasa ratiba ya ODM itakuwa kama ifuatavyo:

Jumatatu na Jumanne ni siku za mapenzi kwa watoto.....wife atanisamehe
Jumatano na Alhamisi ni siku za mapenzi kwa mai waifu na ka-grants kiduchu.......watoto wataniwia razi
Ijumaa na Jumamosi ni siku ya mapenzi na Bia, bia, bia,bia na nyama choma, afu mabia mabia mabia afu mabia tena!
Jumapili ni siku ya mapenzi kwa wote yaani tena kwa mpangilio huu Waifu, Watoto, Bia afu waifu tena!

Nadhani mmeona hapo hamna ratiba ya nyumba ndogo.......... mtanisamehe wajameni!

Baada ya kusema hayo ngoja nirudi kitandani kuangaliwa watakaonigongea ma_LIKE kwenye hii yuziful ratiba!

Hahahahaha babu nafurahi sana kuona kwamba nyumba ndogo is not a priority!!!

Ratiba imetulia na imekaa vizuri.
Hapo kwenye biya ..biya..biya ungesema ni siku ya mapenzi kwako wewe mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom