Why ITV na hawa waandaaji wanatuletea kilaza ktk mdahalo muhimu wa kitaifa?
Natoa mapendekezo, plse mtu kama Hamad Rashid, uelewa wake mdogo sana, low profile tangia akiwa kiongozi wa kambi ya upinzani, ana uroho, tusimpe nafasi tena iwe mwisho, tunapoteza muda na tunamtafutia umaarufu kwa mtu ambaye ndiye kikwazo kikubwa cha Upinzani TZ, leo ndio nimegundua 100%, hafai, si mpinzani, kibaraka wa CCM, plse ITV, kuna watu wengi na wana strategies nzuri kwa taifa, U can read his mind, he seems serious for nothing & he knows nothing, hamdanganyi mtu, time is up old folks, huyu abaki Pemba akaongee size yake huko.