Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Are you sheikh Yahaya? can you read someone's mind?

Few years ago, HR was amonge heroes (excluding not now) today is a traitor

nyie endeleeni kuongea hizi issue kishabiki pasi kuwaza nini kifanyike na kwa nini imetokea.

Uroho wa hiyo million 100 ni wa nani sasa?
 
Kiongozi wa upinzani bungeni anapata ofisi, watumishi watatu wa ofisi. Gari la serikali full tank daily na dereva, nyumba full furnished, mtumishi wa ndani, mlinzi, maji bure, umeme bure na marupurupu ya milioni 100. Hata ungekuwa wewe lazima ungemaindi.

Hawa cuf wamenuna kumbe sababu ndio hiyo?
 
Kwa nini Rosemary Mwakitwange, Mwenyekiti wa Mdahalo huo, alionekana dhahiri KUZIMA hoja pevu zinazoitesa kambi ya upinzani, hususan zile ambazo zilionekana kuwa MWIBA kwa CUF wakati wa mdahalo? Kuna ajenda gani pale?
 
Kiongozi wa upinzani bungeni anapata ofisi, watumishi watatu wa ofisi. Gari la serikali full tank daily na dereva, nyumba full furnished, mtumishi wa ndani, mlinzi, maji bure, umeme bure na marupurupu ya milioni 100. Hata ungekuwa wewe lazima ungemaindi.

Hii kali, HR anajitahidi sana kupigania maslahi yake!!
 
Hofu ya CUF ni kuona CHADEMA kinakuwa chama kikuu cha upinzani ndo maana kashfa nyiiingii
 
Na Mimi nina hasira kuona Pesa zinavyofujwa.... If you ask me a pay cut should be introduced from top to bottom...... Kata mishahara ya hawa wote nobody deserves 12m a month leave alone extra 100m
 
Natabiri maoni ya magazeti mengi kesho yatatawaliwa na CCM ni nguruwe na kufunika maana yote ya mdahalo.
 
The crazy thing is, wanaotupa misaada ya kuendesha serikali yetu wenyewe hawalipani hivyo.
 
Halafu jamaa kilaza kwelikweli anatutangazia umma wote kuwa kuna watu 45 walipoteza maisha kwenye harakati zao. Hazungumzii waliopata ulemavu na mbao ni wahanga wakuu wa harakati hizo. Hebu uone walivyo waajabu hawa jamaa kwenye maridhiano yao ya serikali ya muungano na ccm wanatuambia jinsi walivyo gawana vyeo wala hawasemi hawa wahanga wakuu nini hatima yao hasa kwenye huu muafaka.
 
Swali: Je, Chadema itaendeleza azimio lake la kupunguza mishahara na marupurupu ya wabunge.

Jib(Mbowe): Hatutafanya hivyo kwa sababu hatujashinda urais.

Hini jamani hii si sanaa ya wazi kabisa. Kiongozi anayetaka kuongoza harakati za mabadiliko ya katiba anakubali defeat kwenye swala jepesi kama kupunguza mshahara wake mwenyewe.
Hapa Mbowe amedhihirisha kuwa yuko kimaslahi zaidi. Na tabia hii ndio iliwafanya watu fulani waseme "wapinzani gazeti la SANI".

Jamani tuwe serious kama kweli tunajali maslahi ya taifa!
pumba pumba
 
kwa mtizamo huu wa CUF wanawezeje kudai wanataka kuungana na Chadema kuunga kambi ya upinzani? wabaki hukohuko zenji they're so hopeless!
Sitaki kuamini kuwa Jussa mwenye ambaye simfaham vizuri lakini ni kiongozi mwenye influence kubwa ndani ya
CUF anaweza kuongea hii.What's the difference between his mind inclination to a local class 7 folk in Msanga kisarawe?
This is too low,tell me this is someone else!
If this is true then CUF has a lot of strings to pull first!
 
The crazy thing is, wanaotupa misaada ya kuendesha serikali yetu wenyewe hawalipani hivyo.

I think hapa the point is not who should get that 100M, The point should be why is he getting that...... and why did the previous guy receive that as well.... Haya mambo ya kuliapana kodi zetu kama karanga inabidi yafe
 
Swali: Je, Chadema itaendeleza azimio lake la kupunguza mishahara na marupurupu ya wabunge.

Jib(Mbowe): Hatutafanya hivyo kwa sababu hatujashinda urais.

Hini jamani hii si sanaa ya wazi kabisa. Kiongozi anayetaka kuongoza harakati za mabadiliko ya katiba anakubali defeat kwenye swala jepesi kama kupunguza mshahara wake mwenyewe.
Hapa Mbowe amedhihirisha kuwa yuko kimaslahi zaidi. Na tabia hii ndio iliwafanya watu fulani waseme "wapinzani gazeti la SANI".

Jamani tuwe serious kama kweli tunajali maslahi ya taifa!
Ivi wewe una Ubongo au una jiwe coz ungekuwa na Brain ungekuwa unafikiria hata kidogo c unatuwekea Uharo hapa.
Ishu sio Mshahara wa Wabunge wa Chadema ni Mfumo wa Mishahara na Marupurupu wa Watumishi wa Umma wa Kada ya Juu unatakiwa Ubadilishwe ili uendane na Maslahi ya watu wa Kawaida walimu,askari nk,mwenye Jukumu lakubadilisha Khali nzima ni Chama dola sa unafikiri Chadema wakigomea Mishahara tatizo ndo litakuwa limeisha...TUMIA AKILI KAMA HUNA HOJA PIGA KIMYA.
 
Halafu jamaa kilaza kwelikweli anatutangazia umma wote kuwa kuna watu 45 walipoteza maisha kwenye harakati zao. Hazungumzii waliopata ulemavu na mbao ni wahanga wakuu wa harakati hizo. Hebu uone walivyo waajabu hawa jamaa kwenye maridhiano yao ya serikali ya muungano na ccm wanatuambia jinsi walivyo gawana vyeo wala hawasemi hawa wahanga wakuu nini hatima yao hasa kwenye huu muafaka.
Baada ya Seif kupata alichokitaka hana habari na wahanga wengine bado ni wakimbizi hadi leo.
 
Sasa kama ishu ndogo kama mishahara ya wabunge inawashinda, wataweza vipi ishu nzito kama katiba?
 
Back
Top Bottom