Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Hamad Rashid anaongelea malengo waliyojiwekea.
Lengo zima la chama cha upinzani ni kuwa "watchdog" wa chama tawala - swali la ziada la dada anayetaka kuitoa nishai CUF. Kama kawaida Hamad Rashid anapangua kisomi. Pole mama...
 
Itv wamefanya kitu ambacho ni cha kuigwa na vyombo vyote vya Habari katika nchi hii.....kwa kufanya Midahalo kama hii basi utawawezesha Wapinzani Kuwa very Strong....Hili litafanya Serikali iliyo madarakani kuwa makini sana katika maamuzi ambayo yanatuhusu sisi walipa Kodi.....
 
CHADEMA wameshirikiana na CCM Kigoma so swala la kushirikiana na CCM haliepukiki. CHADEMA wanafiki, anawavua nguo.
 
Anadai CDM wameshiriana na SiSieM kigoma, lakini hasemi ushirikiano wake ulikuwa upi?
 
hamad anasema lazima washirikiane na ccm maana hata cdm walishirikiana naccm huko kigoma
 
cuf na ccm ni sawa kabisa kwa sababu ni kwa maslahi ya wananchi na sio ya vyama.........according to hamad.
 
Hamad....Chadema walishirikiana na Chadema Kigoma.....(Kweli?????) would Love my Bro Zito to answer this
 
Hamad....Chadema walishirikiana na Chadema Kigoma.....(Kweli?????) would Love my Bro Zito to answer this

Hapa jamaa kachemka, CCM na CHADEMA hawakushirikiana, kila mmoja aliongoza nusu nusu
 
Kila chama cha siasa kina utaratibu wake na sera zake

Mbowe...swala la msingi - Alimwambia HR kwamba visiwani wako pamoja na CCM, sasa huku itakuwaje? Inaelekea Mbowe alishaamua kuwatenga kwa sababu ya serikali ya kitaifa visiwani.

Mbowe anazidi kujikanyaga kwa kusema wenzao wana muafaka na anasema muafaka umeadhiri katiba?!!
Anajifanya kwamba alikuwa na dhamira ya kushirikiana na CUF, anajikanyaga kwa kusema CUF walikubali kiimandishi. Anajaribu kuipa CUF lawama kwa kusema kura zilipigwa kwa CCM. Anasahau kwamba kura ni haki na siri, huwezi kumforce mtu akupigie.
 
HR anambomoa vibaya. Huyu Rose yuko upande wa CHADEMA wazi!!!!!!!! Mpuuzi amejiexpose!!!
 
mwaga kaka tupo pamoja safi sana JF bwana hata uko China kitu unalamba Tu kama bongo...LOVE U JF
 
Huyu dada kachemsha! HR anasema wazi kulikuwa na wabunge 10 wa CHADEMA hawakutoka ndani ya bunge!
 
Mbowe: Nilimwomba Hamad anisaidie mawazo ya ni vipi wataunda Kambi ya upinzani, na kambi iwe ni upinzani wa kweli na siyo nusu mpinzani nusu mtawala na vilevile utunzaji siri ya kambi.
Katiba ya zanzibar na muafaka imeadhili katiba ya jamhuri ya muungano kwa kuwa CUF sasa ni nusu mpinzani na nusu mtawala.
CUF walidai hawataweka mgombea wa speaker na walidai watampa support mgombe wa CDM, lakini baadae waliungana na SiSieM na sasa wao ni washirika na SiSieM.
 
Kila chama cha siasa kina utaratibu wake na sera zake

Mbowe...swala la msingi - Alimwambia HR kwamba visiwani wako pamoja na CCM, sasa huku itakuwaje? Inaelekea Mbowe alishaamua kuwatenga kwa sababu ya serikali ya kitaifa visiwani.

Mbowe anazidi kujikanyaga kwa kusema wenzao wana muafaka na anasema muafaka umeadhiri katiba?!!
Anajifanya kwamba alikuwa na dhamira ya kushirikiana na CUF, anajikanyaga kwa kusema CUF walikubali kiimandishi. Anajaribu kuipa CUF lawama kwa kusema kura zilipigwa kwa CCM. Anasahau kwamba kura ni haki na siri, huwezi kumforce mtu akupigie.

Mkuu unaonyesha tayari uko biased kiasi kwamba hata post zako zinakosa mashiko

WHERE IS SUPERMAN WHEN YOU NEED HIM.... HE IS ALWAYS VERY NEUTRAL AND A GOOD RAPPORTEUR

POLE AND THANKS ANYWAY
 
Back
Top Bottom