Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

mbowe anasema hawajasema hawaitambui serikali ila hawatambui sheria, matokeo yaliyomtnangaza rais. anasema wasipoaddres hiyo issue ni kiama kwa taifa. walitoka bungeni kuonesha kuwa wamekerwa
 
Mbowe anasema wao wanamtambua rais wanachosema ni kuwa walitoka bunmgeni ili kutoa meseji kwa rais.
na ilikuwa ni protest, kwamba liko tatizo la msingi ambalo watu wanapaswa kufahamu
 
elimu huwa inasaidia sana kwenye haya mambo... sijui mbowe alisoma elimu ya watu wazima au vipi?
 
kumbe HAMAD RASHID (HR) NI KICHWA .....safi hamad.....wajue kuwa wao ni chanzo cha mgawanyiko wa upinzani nchini
 
Swali : Kususia hotuba ya Bungeni.

Jibu Mbowe:-Hakuna sheria yoyote inayodai kuwa Chama au mgombea kumtambua Rais, anayemtambua na kumtangaza ni tume ya Taifa ya uchaguzi.
CDM inaitambua serikali lakini mchakato wa kumpata rais ulikuwa na matatizo mengi, na kitendo cha kutoka bungeni ni kutuma message na Rais atake Nota.
CDM haijadai sehemu yoyote uchaguzi urudiwe, ila matokeo ya uchagiuzi wa rais ulikuwa na matatizo.
 
I can see some few faces za watu wa CHADEMA ila so far sijamuona Zito....Bado yupo Asia????????????????
 
swali kwa mbowe na hamad: Bungeni kwenye kambi ya upinzani kuna ufa?? CUF na CDM wanaangalia vyama au utaifa, hamad anajibu
 
Kuna ufa kwenye kambi ya upinzani bungeni? Hamad anajibu.
 
hilo jibu la hamad linaonyesha kweli cuf wamelewa na muafaka
 
hamad anamkejeli mbowe kwa kusema wanamtambua rais ila sio matokeo.
wao wanasema lengo la cuf ni umoj wakitaifa, hoja ya cuf ni serikali ya kitaifa tu
 
Hamad anatumia Dr. Jk Mbowe anamuita just JK........Is this that Mbowe hakubaliani na PHD ya JK??????
its just JK... hizi prefix zingine si zake, asiwaharibie wasomi wa ukweli

kwani lazima uitwe dk ndio umeshimike?
 
Hamad anarudia lile sharti la lazima kwanza wapinzani wote wajumuishwe kwanza ndo wao wajiunge
 
Back
Top Bottom