Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

WAZANZIBAR WANATAKA NCHI YAO AMBAYO WATANGANYIKA KWA JINA LA YESU WALIWAUA NA KUWAONEA MPAKA HII LEO.

KWA HIYO JAPO BARA KUPELEKA ZNZ JESHI NA KUFANYA MAPINDUZI ZANZIBAR KILA UCHAGUZI BADO WANZANIABAR WATAJARIBU KUDAI NCHI YAO KWA AMANI.

KAMA CCM SAWA NA NGURUWE BASI SIO AJAMBO KWANI CCM WA ZNZ NDIO NGURUWE WACHAFU ZAIDI KWA KUSHABIKIA MAPINDUZI YA WABARA AMBAYO HAWAKUFANYA WAO NA KUIHARIBU HISTORIA YA KWELI WAKATI UKWELI UPO WAZI.

YouTube - ‫ MAPINDUZI YALIFANYWA NA WATANGANYIKA SIO WANZANZIBAR

YouTube - ‫ KARUME SIO MZANZIBAR WALA HANA BABA WALA MAMA MUUNGANO WA KULAZIMISHWA.
WAZANZIBAR HAWATAKI MUUNGANO WALE NGURUWE WACHACHE KULE ZANZIBAR NDIO WANAOLIPWA NA CCM NA KULINDWA NA JESHI NA POLISI ILI KUIMALIZA ZANZIBAR.
LAKINI BADO WABARA NGURUWE WACHAFU KUTOKA MIKOANI WANAIJAZA ZANZIBAR NA KUITIA UCHAFU NA ZANZIBAR NDOGO LAKINI NGURUWE HUJAZWA NA CCM BALA BILA KUZINGATIA UDOGO WA ZNZ ILI KUITIA NAJISI

Zanzibar isingelindwa na Muungano Sultani angeivamia siku nyingi!
 
Mimi nimefurahi kupata taarifa juu ya kilichokuwa kinaendelea kwenye huo mdaharo. Nimeweza kupata taarfa kupitia Blackberry kutokana na tatizo la uimeme. I wll always luv Jf
 
tutaona mengi kwa miaka mitano hii, wenzao leo hii wanawaita manguruwe...
 
Nimekuwa nikimsikia mwenyekiti wa CCM taifa the fake Dr.akisisitiza kuwa uchaguzi mkuu mwaka huu kampeni zake ziligubikwa na udini,tena kauli hizi amezirudia rudia mara nyingi.CUFnao wamekuwa wakisemasema mambo hayo hayo ya udini tena leo nimemsikia Hamad Rashid wakati wa mdahalo akisisitiza jambo hili....Na hawa wote wakilenga CDM kuwa ilibebwa na wa kuu wa dini yaani wa christo.

Hakika habari hizi hazija furahisha watanzania hata kidogo na imewakwaza kwasababu wao walipiga kura bila kuangalia masuala ya imani.na hivi mme wasingizia pakubwa sana na mmekuwa mkiendelea kuwasingizia sasa sijui mtawaomba radhi kwanjia gani ili waamini kuwa mmewafedheesha sana, mmewahuzunisha sana na mmewakosea sana lakini mmegundua makosa yenu na mmekiri na kutubu.

Wala msisingizie makovu ya uchaguzi!dhambi hii ya udini mmesha ichuma na adhabu yake mtaipata and you will feel it sio jambo la propaganda hii ni fact.Nyie kama mlipiga kampeni misikitini mkadhani wengine wana fanya hivyo pia wakati hawakufanya.......

Hili nimeliona hakika CUF na CCM dhambi hii itawatafuna bila kuwa samehe,

Nawakilisha:drum:
 
Thanx guys, nimepata habari kwani sikuweza kufuatilia huu mdahalo laivu. HR yuko kimaslahi zaidi
 
Sasa kama ishu ndogo kama mishahara ya wabunge inawashinda, wataweza vipi ishu nzito kama katiba?
Ndio maana nakukutukana ili nile ban mu****se***ge ,nyambaf nikikuangalia naona unalala nyumba ya makuti inavuja .
 
Sasa kama ishu ndogo kama mishahara ya wabunge inawashinda, wataweza vipi ishu nzito kama katiba?

Hoja yako haieleweki. Chadema hawataki kufany mabadiliko kiholela bali mabadiliko kwenye katiba, sheria, kanuni na taratibu mbalimbali? ishu ya mishahara kwako unadhani ni suala la Chadema au taratibu zinazofanywa na serikali? Chadema hawajaunda serikali hivyo hawana ubavu wa kulishughulikia.
 
Hoja yako haieleweki. Chadema hawataki kufany mabadiliko kiholela bali mabadiliko kwenye katiba, sheria, kanuni na taratibu mbalimbali? ishu ya mishahara kwako unadhani ni suala la Chadema au taratibu zinazofanywa na serikali? Chadema hawajaunda serikali hivyo hawana ubavu wa kulishughulikia.

Sasa mnachoshindwa kuelewa ni nini hapo?
Mwenyekiti wa Chadema kasema swala la kupunguza mishahara ya wabunge hawawezi kulishughulikia. Lakini kiongozi huyohuyo anasema ataongoza harakati za kubadilisha katiba. Hivi hapa mnaona huyu mtu yuko serious? Je, anategemea mafanikio yoyote kwenye hilo la kubadili katiba kama kwenye kitu rahisi kama harakati za kupunguza mshahara na marupurupu ya wabunge anashindwa?

Kwanza Chadema baada ya kususia hotuba ya Rais, kilichofuata ilibidi wasusie baadhi ya marupurupu. Yale ambayo wanayapinga.
 
Hofu ya CUF ni kuona CHADEMA kinakuwa chama kikuu cha upinzani ndo maana kashfa nyiiingii

Chadema kimeshaanza kupukutika, au huna habari, vigogo wawili wamejitoa Chadema na wafuasi wao, unajuwa wangapi?
 
Hii ya kuahidi kuendeleza harakati za kubadili katiba na kukiri kushindwa kuongoza hoja za kupunguza mishahara na marupurupu ya wabunge ni sawa na mtu anayeahidi kujenga ghorofa lakini anakiri kuwa hawezi kupata rangi kibanda!
 
HR na CUF kwa ujumla ni wahuni wa kisiasa, kwa nini wanalazimisha kuungana na Chadema? Kwa nini anaongelea swala la 100mil sasa hivi mbona yeye alipokuwa kiongozi halikujadiliwa?

Hii kali ya mwaka. Mil. 100 zinataka kumtoa jamaa roho!!! Mbona alipokuwa anazikamata hakuwahi kuongea zimefanya nini!!!??? Huyu mtu ni wa kuogopwa kama ukoma. Akipewa uraisi atakuwa wa kwanza kubadili katiba ili abaki madarakani milele. Anaweza akafuta hata uchaguzi.

NCCR, TLP, UDP mwe makini. Mwenye macho haambiwi tazama. Kama jamaa angefanikiwa kwenye move yake angekunja 100 m kupitia mgongo wenu. Huenda hata Slaa hakuwahi kuzijua hizo 100 m.
 
Sitaki kuamini kuwa Jussa mwenye ambaye simfaham vizuri lakini ni kiongozi mwenye influence kubwa ndani ya
CUF anaweza kuongea hii.What's the difference between his mind inclination to a local class 7 folk in Msanga kisarawe?
This is too low,tell me this is someone else!
If this is true then CUF has a lot of strings to pull first!
Hii ndiyo lugha ya Jussa wakati wote. Amewahi kukiita CHADEMA "kampuni ya familia ya Mtei." Sasa nadhani baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu kiroho chake kimezidi kujaa chuki kwa sababu Iringa, Mbeya, Mwanza, Kwimba, Musoma, zote haziwezi kuwa wafuasi wa kampuni ya familia ya Mtei. Ukiona mwanasiasa anaanza kumwita mwanasiasa mwenzake kwa majina ya kejeli na kubeza ujue huyo ni mwanasiaa mwenye wivu.
 
Natabiri maoni ya magazeti mengi kesho yatatawaliwa na CCM ni nguruwe na kufunika maana yote ya mdahalo.

Huyakosea, utabiri wako waweza kuwa sahihi kwa kesho ktk magazeti, ila tusisahau 'yatokanayo na mdahalo' ni:
* Wapinzani bungeni kujenga umoja - mkiti wa mdahalo
* muungano umetetereka hitilafu na CDM inao wasiwasi na CUF kwani wao sasa wapo serikalini zbar, hawawezi tena kuwa wapinzani thabiti. -mkiti wa mdahalo
* CCM ni manguruwe na hivyo kuacha kudai haki na katiba mpya, taifa litaacha na kuangamia bila msimamizi. - H Rashid
* Nguvu ya umma ndio msingi wa dira ya taifa lijalo ikiwe elimu ya uraia, siasa zenye dira ya haki, kuondoa woga, na kujenga imani kwa kuwa na tume huru ya uchaguzi - Mbowe
 
Chadema kimeshaanza kupukutika, au huna habari, vigogo wawili wamejitoa Chadema na wafuasi wao, unajuwa wangapi?
CDM haiundwi na watu wawili tu. Wakiondoka hao, hata wakiwa 10, wapo wengine maelfu ambao wapo kuziba hizo nafasi. Watu hao ni wale wanaopenda maendeleo ya kweli ya wa Tanzania walio wengi.
 
Sasa kama ishu ndogo kama mishahara ya wabunge inawashinda, wataweza vipi ishu nzito kama katiba?
Ningekuwa mwl.wako we ni konzi tu labda hilo Bichwa lingezibuka.
Kwanza kabisa lazima uelewe Swala la Katiba sio la Chadema ni swala la Watanzania wote bila kujali itikadi ya vyama vya siasa ndomana hapa tunaongele nguvu ya Umma itatumika kama ccm watagoma Sisi kama Watanzania kupewa Fursa yakupata Katiba mpya.
 
Nimegundua tatizo la msingi la CUF wakiongozwa na Hamad Rashid la kukataa kuunganisha nguvu na CDM ni wivu wa kukosa kuongoza kambi ya upinzani baada ya kuzidiwa na CDM. Hamad Rashid amejaribu kuunganisha nguvu na NCCR, TLP na UDP kwa lengo la kuchukua kambi ya upinzani lakini kanuni zinamkatalia sasa anataka zibadilishwe.

Baada ya juhudi zake kukwama sasa analizimisha CDM iwakubali NCCR vibaraka wa CCM nao waingie kwenye kambi ya upinzani akisahau wao 1995 walikataa kuunda kambi ya upinzani na NCCR ambayo ilikua na wabunge wengi ikaunda kambi na UDP yenye wabunge wachache. hamna aliyewapigia kelele lakini wao wanamchagulia kiongozi watu wa kufanya nao kazi kweli hii kali.

Sasa hivi CUF wajenga urafiki na chama chochote kile ambacho kipo against na CDM kwanini? kama siyo wivu? Wamesehau CDM ilivyowaunga mkono mwaka 2000 wao hata kuthubutu hawajawahi kwa nini? Wana wivu na madaraka hasa ya kambi ya upinzani thats why unakuta hamad ana kila aina ya vikwazo.

Upinzani wa kweli utajengwa na wapinzani wa ukweli wenye nia thabiti ya ukweli ya kuwakomboa watanzania wa ukweli wanaotaabika na umasikini kikwelikweli.

Ni mtazamo tu jamani.
Mtazamo mzuri sana! CUF wamepotoka kwa hili la kutaka kubadili kanuni mara wanapoona mazingira hayako favourable kwao! Mbona hatukuona moves 2005 walipokuwa viongozi? Huu ni unafiki na maslahi binafsi mbele
 
Cuf waroho wa madaraka sasa hiv maalim kimyaaaaa ndani ya bmw full kipupwe hakuna cha haki sawa wala nini, lakini akumbuke damu za wapigania mapinduzi waliokufa january
 
Back
Top Bottom