Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Kuna watu they never be objective in life eti vigogo wawili wamejito CDM n wafuasi SO WHAT?

Get it. You don't have discuss issues in here if your analytical capacity is this low!
 
Wewe kiswahili umejindisha wapi? au ni lugha yako ya kigeni? ukimsusia nguruwe shamba lako la mihogo atalimaliza na wewe ndio utakuwa muathirika namba moja. Nakutafsiria kisiasa, maana yake ukiwasusia ma-CCM, maana yake unawapa nafasi ya kufanya maamuzi peke yao, hii iliwaathiri sana CUF zanzibar, kwani sheria zote za ukandamizaji katika uchaguzi zilitungwa na kupitishwa wakati CUF inasusia vikao vya Baraza la wawakilishi. Hivyo anawashauri CHADEMA kushiriki kikamilifu ili kwenda nao sambamba.
 
Yaani wanataka CDM wapoteze focus ya kusolve na ku deal na rootcause ya imbalance ya mapato na matumizi ya taifa yanayotokana na katiba ya mkoloni ambayo CCM wanaitumia kama silaha yao kuu, afu waanze kufanya clustering ya matatizo ambayo yanajulikana chanzo chake? Itakuw ni kupoteza mwelekeo wa chama na kupata umarufu usiodumu wala kusadia watanzania wanao lipishwa kodi nyingi kulipa mishahara ya wateule wa raisi ambayo haiko kwenye scale za wafanyakazi wa umma
 
Kwanza alimtaja Zitto Kabwe kuwa ndiye aliyeficha jina lake!! Baadaye ndipo akasema kuna mtu. Nasubiri muungwana Zitto ajitokeze hadharani kumkanusha au kumuunga mkono. Lazima hamad aumbuliwe vinginevyo nitajua kuwa udini upo kweli.
 
Jamani huyu Hamadi Rashid naona sasa anakwenda mbali na kuwafanya watanzania vilaza. Ukiangalia sentensi zake nyingi yeye anazungumza kana kwamba matatizo makubwa yapo Tanzania bara tuu. Katika mdaharo wa ITV alisema kuwa kuna mtu mmoja alificha jina lake la kiislamu ndio akachaguliwa. Hivi inaingia akilini kweli kuwa watanzania hatujuani nani ni dini gani anafuata mpaka tufuate majina? Nadhani huyu jamaa ana matatizo ya kimtazamo na ni mtu wa kusikiliza majungu ya kijiweni...

.
Watu wote wa vibandiko duniani kote wanaishi kwa kujishuku, na wala hawajiamini. Udini ndio center ya mapambano yao. Sasa hivi wameshikamana sana na ccm kwa sababu ya waandamizi wote wa serikali ya bara na visiwani ni wa dini yao. Wee suburi 2015 ccm ije na jina la mgombea wa dini tofauti na yao watakavyopiga about turn. Ndio utazihirisha haya ninayozungumza hapa.
.
 
Jamani huyu Hamadi Rashid naona sasa anakwenda mbali na kuwafanya watanzania vilaza. Ukiangalia sentensi zake nyingi yeye anazungumza kana kwamba matatizo makubwa yapo Tanzania bara tuu. Katika mdaharo wa ITV alisema kuwa kuna mtu mmoja alificha jina lake la kiislamu ndio akachaguliwa. Hivi inaingia akilini kweli kuwa watanzania hatujuani nani ni dini gani anafuata mpaka tufuate majina? Nadhani huyu jamaa ana matatizo ya kimtazamo na ni mtu wa kusikiliza majungu ya kijiweni...


Hii ndio inatuhakikishia jinsi walivyo kaa wakapanga mkakati wa kutumia kisingizo cha udini kuwa ndio kiini cha kushuka umaarufu wao. Angalia udini umeongelewa na kikwete, akafuatia zitto na sasa mmemsikia hamadi rashid. Hivi wote hawa dini gani? Halafu mtu unawezaje kudaganga jina lako watu wasikustukie? Basi angeutilia uzito huo uongo wake aliousema kuwa jamaa alikua anahudhuria kanisani au msikiti iliwapigakura wasimstukie kuwa ni wa dini tofauti na inayochaguliwa kwenye hilo eneo husika la uchaguzi. Kazi tunayo na viongozi tunao safari hii.
 
Kuna watu they never be objective in life eti vigogo wawili wamejito CDM n wafuasi SO WHAT?

Get it. You don't have discuss issues in here if your analytical capacity is this low!
guys I for one have visited that wall post and all there is to it is full of hatred and cynicm(sp) there is a tug of war for zanzibar and mainland ndoa, there is a lot of religious defence, I would have wanted to ask Jussa if the 'mdahalo' was for showing Mbowe's fikra ndogo they think he has why do they want to unite with CDM while singing CCM tunes ?? CDM shouldn't be wavered by these less than a mils people who think they got it all and publicly insult everyone in the mainland by hateful name calling, I do remember reading the guardian on sunday with excerpt(sp) of Jussa's link with Makamba J and how there was unwritten agreement of no namecalling btn two parties of which Lipumba broke somewhere..I honestly hope those who aren't for CDM and are in CDM should exit so the party can be, its not a healthy sign I see @ tht wall dialogue, someone also interfered(sp) and tried to cool everyone down in the name of they were all 'muslim' I end this by saying Zitto,Zitto,Zitto..how many times did I call ur name ??? Speak now and hit the door OR forever keep ur silence..guys..the writing is on the wall..God Bless Tanzania...
 
Sitaki kuamini kuwa Jussa mwenye ambaye simfaham vizuri lakini ni kiongozi mwenye influence kubwa ndani ya
CUF anaweza kuongea hii.What's the difference between his mind inclination to a local class 7 folk in Msanga kisarawe?
This is too low,tell me this is someone else!
If this is true then CUF has a lot of strings to pull first!
jussa zaidi ya unavyomfahamu! Guardian on sunday printed his expose which he has never argued against..true colors will be shown when people vie for posts..I just don't like what am reading
 
nimetembelea wall ya ismail jussa nimeshtushwa sana na comments za fb fans wake ambao ni wazanzibari tupu.. Hakika wa zenji ni wabanguzi na wadini, wanatuita wabara michogo..

Kweli kuna kitu kinapikwa na cuf, na mda siyo mrefu kitaiva.
you betcha!
 
our stake is in the development of the young nation as a whole.It is big picture.CUF has to re-frame its policies if it is to continue to be the strong opposition part as it was before.
 
"PEOFFESSIONAL DJ"......hii imanikumbusha aliyepindua serikali ya MADAGASCAR.....kumbe bwana Mbowe ni proffessional katika hii fani...ooh thats great and new vocabullary to me
Proffesional DJ indeed, before our mighty mr P was 'discovered' he was doing a very non existance job in the middle of nowhere, he had never ever, hold an office posn, his first job was safeguarding party's interest, in ths job u don't manage anyone and u just ensure everyone has a party card and inform or alert the party of any kiongozi where u r who is going ndivyo sivyo, to me this is just a ceremonial post coz it was wiped off immediately with multipartism..our excellency's second job was party secretary somewhere where civilazation(sp) is still crawling...in ths job he more or less was receiving party big shots na kuratibu shughuli chache za chama maana hapo ni wilayani...now from rags to minister....its beTter our prof DJ has people reporting into him and ability to hire and fire, make decisions on his own,manage his budgets the works
 
huu mdahalo unawahusu hamad na mbowe sasa lisu kimempeleka nini huko? Au anajua mbowe hamwezi hamadi ili amsaidie? Mbona mwenzake hajaomba msaada wa duni au miraji?
ma.ta.ko yako, Lissu yupo kama walipo guests wengine kwenye hadhara hiyo
 
Madeleine Albright former US sec of state ,
alitumia just her name kumbe ni PHD holders

Condoleezza Rice
alitumia just her name kumbe ni PHD holders

Thomas Woodrow Wilson
The 28th President of the United States, his name was't preceeded by Dr. though had a PHD

Mandela , the same
Nyerere , the same

Mwai Kibaki,
Paul Kagame
Yoweri Museveni
Joseph Kabila

..... wote hawa wana honorary doctorate degree (hizo za kupewa kama huyu wetu). Ni ulimbukeni tu wa waTZ .. hasa hasa vyombo vya habari vyetu.
 
Jamani, tusipoteze muda na Jussa, nadhani tunakumbuka tayari alishapata kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete Bunge lililopita hivyo hawezi hata siku moja kugeuka nyuma akawa nguzo ya chumvi. Hawana ujanja hawa, pamoja na kutetea misimamo yao wapo mikononi mwa CCM ipo siku wataona wachezewa gere watakurupuka huko walipo, tuwasubiri tutawaona.
 
CUF wanasema shaka za kidini zipo, na anotelea mfano kuwa yeye HR na Ndesa waliwahi kuzungumzia kasumba ya udini wa kikristo-chadema,
HR anasema mbopwe awashirikise wapinzani wote na wawekeane taratibu atakayekiuka wamfukuze


.
Taratibu ya upinzani ni kutokuwa na mafungamano yoyote na chama tawala, hivyo cuf sii tu kwamba wafukuzwe kutoka upinzani bali walishajifukuza wenyewe. Ni umbumbu wa kupindukia kikiita cuf chama pinzani.
.
 
Madeleine Albright former US sec of state ,
alitumia just her name kumbe ni PHD holders

Condoleezza Rice
alitumia just her name kumbe ni PHD holders

Thomas Woodrow Wilson
The 28th President of the United States, his name was't preceeded by Dr. though had a PHD

Mandela , the same
Nyerere , the same
hata mimi natumia jina langu tu ingawa ni PHD holder, Dr.Kipipili
 
Juzi nilikuwa naangalia picha ya pamoja na viongozi wetu, alikuwapo Kikwete, Billah, Shein, Iddi Seif na Maalimu (CCM B) nasikia wengine wameanza kuwaita ni Chama cha Ushirika na CCM. Ok, ukiangalia hiyo picha ya hawa viongozi wetu utabaini katibisa sura ya mpiganaji wetu maalimu haina raha katikati ya hawa mabebari wenye sura ya ujamaa. Anajua moyoni kabisa hawa jamaa siwawezi anajihisi mbweke hana cha kuchangia. Lakini yote kwa yote ndio maridhiano menyewe tunampongeza kwa kulinda amani na umoja wetu. Ila wamemzidi kete wenzake.
 


Ismail Jussa
: "Geoffrey, ukiwa shabiki wa Chadema una haki ya kuwa na mtazamo wako ulio tofauti na wangu. Kwa wewe Chadema kuniita mimi CUF muongo wala hainipi shida. Yeyote aliye mkweli kwa nafsi yake anaona jinsi Mbowe alivyo mtupu! After all, ungetegemea nini kutoka kwa professional DJ?"
Kheeee heeeee heee... Kwani huyu bw. aliacha fani yake?
 
Back
Top Bottom