Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

Hivi mnuka kikwapa unamwambiaje kuwa ananuka kikwapa bila kumjeruhi hisia zake?

Jaribu kumsoma tabia zake, kama ni wale wanaokasirika pindi anapoambiwa ukweli , basi mwambie indirect way. Unakuwa kama unatoa simulizi ya mtu mwingine mwenye tatizo kama lake. Halafu unamuuliza hivi kwa mfano ungekuwa wewe ndiye mwenye tatizo kama hilo je ungependa nikusadie vipi mpenzi wangu. NN kumwambia mtu tatizo lake inawezekana, tatizo wengi tunamwambia mtu tunatumie sauti kali, muda usiofaa na njia/mbinu isiyofaa, na mazingira yasiyofaa.

Tumia njia ile ambayo hata wewe ungependa mtu mwingine aitumie pindi anapokwambia tatizo lako baya.
 
Empty brain kabisa..yaan unachamba mwanamke..una akili kweli ww au ndio segere breed..unatofauti gani msukwa nywele ww
 
Nakuombea pia leo ukutane na mnuka papuchi [emoji90][emoji90][emoji90]
 
Hahahaha! Kwa tusiokua na hela jamani!!! Tupake ata limao kwapani! Ni deodorant tosha!!! Tuepushe kukwaza wakaka kama hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dada kakukera hivi karibuni Nyani Ngabu
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Teh
Ukute hapo dada wa watu alienda saluni inayoaminika uswahilini kwao na kusukwa msuko matata uswahilini mwao dela kaazima.
 
Kumuoa kwapa na mdomo havina me wala ke, jinsia zote zinatakiwa kujiangalia. Lakini wahurumie watu wa Da'slam, daladala na hili joto ni hatari kwa afya ya sehemu za siri.

Mazee....sasa anaye frequent sehemu za starehe kuanzia Jumatatu hadi Jumapili huyo ni wa kumhurumia kweli? Akifika huko anaagiza ma cocktail [hajui hata ku spell cocktail] na manini nini sijui huko.

Hapana aisee. Wengine ni wachafu kwa asili tu maana nina uhakika deodorants hazina gharama kushinda hayo ma cocktail.
 
Teh
Ukute hapo dada wa watu alienda saluni inayoaminika uswahilini kwao na kusukwa msuko matata uswahilini mwao dela kaazima.
Yaani acha tu, kajikokiii alafu matokeo yake ndio haya jamani khaaaah!!
 
Mazee....sasa anaye frequent sehemu za starehe kuanzia Jumatatu hadi Jumapili huyo ni wa kumhurumia kweli? Akifika huko anaagiza ma cocktail [hajui hata ku spell cocktail] na manini nini sijui huko.

Hapana aisee. Wengine ni wachafu kwa asili tu maana nina uhakika deodorants hazina gharama kushinda hayo ma cocktail.
Degree yangu iko wapi jamani!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom