Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

Totoz....si umeuliza nami nikakujibu.

Au huitaki tena? Nimgaie Heaven Sent?
Hivi huwa unatimiza hizi ahadi au unawarusha roho tu dada zangu? Maanake naonaga unawaahidi iPhones, perfumes..
 
Natimiza kweli.

Sema tatizo lao ni waoga.

Wanaogopa kuja kuzichukua.

Yaani hapa nilipo zipo nyingi tu....lakini wote waoga hao.

Kama vipi labda we kaka yao uje uwachukulie kama wanakuamini na/au kama huogopi kumwona Ngabu hahahaaa
 
Ona kwa mfano hii hapa...nishasahau hata ilikuwa ni ya nani!

Ngoja niitafutie mtu mwingine humu humu JF.

Ni ya Chanel....brand yake
6FC23224-BAC0-4A9C-9CB0-F658B84BD5F2.jpeg
 
Natimiza kweli.

Sema tatizo lao ni waoga.

Wanaogopa kuja kuzichukua.

Yaani hapa nilipo zipo nyingi tu....lakini wote waoga hao.

Kama vipi labda we kaka yao uje uwachukulie kama wanakuamini na/au kama huogopi kumwona Ngabu hahahaaa
Ha ha ha unawatega...labda hawajiamini. Kuna mmoja jukwaa fulani nilimuahidi perfume na nilimletea, kajiamini kaja akaichukua kiulaini naamini bado ananukia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Km hii. Ni story yako huyo dada aliyekuabali kuonana nawe sasa hv anatumia ac ingine kukuview ..sio kwa kichambo hiko hahahaah
 
Ahahahahaa haimhusu mtu mahsusi wa humu.
 
Ha ha ha unawatega...labda hawajiamini. Kuna mmoja jukwaa fulani nilimuahidi perfume na nilimletea, kajiamini kaja akaichukua kiulaini naamini bado ananukia
Na mimi niletee basi mkwe[emoji85] [emoji85]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom