Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,702
- Thread starter
- #121
Degree.Dawa ya kikwapa ni nini?
Na ole wako ukosee....
Unaishiwa maneno kwasababu ya KIKWAPA....Haya bhanaHuelewi nini tena, ujue nikikuona naishiwa maneno, ndo maana nkajichekea tuu
HahaUnaishiwa maneno kwasababu ya KIKWAPA....Haya bhana
Degree.
Ulifungua hii thread kufanya marketing? You are a Genius!
Hio ataipata wapi? Huko Mbwinde alipo hata Sure hamna.....!Good job! Good gal!
Ulifungua hii thread kufanya marketing? You are a Genius!
Jamani!!!
Hio ataipata wapi? Huko Mbwinde alipo hata Sure hamna.....!
Jamani!!!
Ndio unanidolishia?
Ngoja aje...Duh!
Kwa hiyo bibie huwa anatumia nini? Ndimu?
Hahahaaa Totoz kuja hapa....
Natumia ukoko wa ugali.Duh!
Kwa hiyo bibie huwa anatumia nini? Ndimu?
Hahahaaa Totoz kuja hapa....
Naanzaje kuikataa!!! Naisubiri kwa hamu kweli.Totoz....si umeuliza nami nikakujibu.
Au huitaki tena? Nimgaie Heaven Sent?
Nimemwaibisha nani kwani?
Katajwa mtu hapo?
Natumia ukoko wa ugali.
Huwa nasikia tu ukoko wa ugali....unatumiwaje?Natumia ukoko wa ugali.
Hiyo ndio dawa sasa.Ukoko wa ugali?
Kwa hiyo kwapa zako nyeupe kama ugali?
Hahahaaa sina uzoefu na hizo home remedies so I extend my deepest and sincerest apologies way in advance[just in case I sound stupid by asking such a question]..
Unasugulia kikwapa, harufu yooote kwishney.Huwa nasikia tu ukoko wa ugali....unatumiwaje?