Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,010
- 142,698
Umepanga miadi na mtu toka jana.
Mshakubaliana mtakutania wapi.
Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana.
Mwenzio [demu... najua baadhi hawalipendi hilo neno but oh well...it is what is] anakuja masaa mawili baadaye.
Yaani kachelewa masaa mawili. Kwanza, eti katumia muda mwingi sana saluni. Pili, eti foleni ilikuwa kubwa. Ndo sababu zake za kuchelewa.
Huko ni kuchomeshwa mahindi hadi yanaungua kabisa.
Kama hiyo haitoshi, eti anakuja huku ananuka kikwapa!
Dada gani wa mjini ananuka kikwapa?? Mtu kazi huna...kutwa kucha unashinda unategesha kwenye sehemu za starehe...kiukweli hiyo ndo kazi yako [kujiuza].
Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.
Halafu eti bado unajiona mtu mstaarabu sana.
Anza kupaka deodorant kwanza