Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

wa mjini au kijijini wote wadada.tatizo usafi au ugonjwa
 
Mi mwenyewe hapa JF naambiwa ni kibabu cha miaka 60 ngapi sijui huko.

Yaani umri wanaonipaga unauzidi hata wa mama yangu aliyenizaa hahahaaa.

Kuna wajuaji kweli humu.
Hahahah,,kuna kisa ntakusimulia baadae ukipata muda,,kuna mtu alijifanya kunijua ,,nilivyomfata pm yaan anaongelea mtu mwingine kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom