Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,835
Baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo.
Na ni bora mara elfu mtu akakwambia ukweli hata kama unauma ila umekupata ujirekebishe!
Ukisikia yalaa...maana yake ni kwamba jiwe limekupata, kama halijakupata maana yake hujaumizwa na chochote...kama hujaumizwa huwezi kupayuka.
Wabillah Tawfiq.