ACHA KUTULILIA MAJIRANI, VAA KANGA UTULIE NDANI

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,016
Reaction score
4,404
JOSE, DUME ZIMA UNARUHUSU VIPI MKEO AFANYE BAA, HALAFU UNATULILIA ANARUDI SAA NANE ZASIKU 👇

Hapa mtaani kwetu tuna kiumbe mmoja anaitwa Jose.
Dume zima lenye ndevu na sauti nene, lakini kila siku linatuzunguka majirani kutulilia shida zake za kijinga. Hivi juzi kati Jose anakuja kwangu akiwa anatoa machozi kabisa, eti analalamika, Kaka yani mke wangu analipwa elfu 70 pale baa, lakini kazi wanafunga saa 5 usiku mbona analudi saa 8 au saa 9 za usiku? Utaratibu gani huu?

Hivi Jose, wewe ni mjinga wa kuzaliwa au ulipata ajali ya akili ukilala? Yanini kutulilia sisi majirani upumbavu wako? Unafikiri tukikwambia pole tunakusikitikia, hapana hata kidogo, Sisi usoni tunakutingishia kichwa, lakini moyoni tunakucheka sana kwa ujinga ulionao

Acha kujidanganya kuwa mkeo anachelewa kurudi kwa sababu ya usafiri.

muda huo mkeo anakuwa na mteja kashanunuliwa pombe, kashagongwa vizuri kabisa kwenye vyumba vya nyuma vya baa au gesti za jirani, ndio anapewa hiyo nauli ya kurudi kwako. Wewe Kazi yako ni kukaa sebuleni kama panya aliyenaswa na mtego, ukisikilizia mlio wa pikipiki ikisimama nje ukawe wa kwanza kukimbia kumfungulia gate mkeo akiwa ananuka mbegu za wanaume Wenzako,

Embu fanya hii hesabu ya watoto wa chekechea, au hata hiyo akili yako fupi imeshindwa kabisa kuweka namba pamoja
Mshahara wa mkeo kwa mwezi: Tsh 70,000/=
Nauli ya boda kwenda na kurudi: Tsh 5,000/= kwa siku
Jumla ya nauli pekee kwa mwezi: Tsh 150,000/=
Mtu anapokea elfu 70, nauli pekee ni laki na nusu! Hiyo tofauti ya elfu 80 anaitoa wapi kama sio kumpa kila mwanaume anayeagiza bia nafasi yakumla

Halafu cha kusikitisha zaidi, asubuhi akirudi na elfu kumi akawaachia watoto hela ya shule na kukununulia unga na mboga, Jose unainua mabega juu, unafunga vifungo vya shati ukijiona mwanaume mwenye mke mtafutaji

Hujui hata aibu kuwa unalishwa na kodi inayolipwa na wanaume waliomaliza hamu zao juu ya mkeo masaa matatu yaliyopita, Hivi humsikilizii hata harufu? Unakula chakula kilichonunuliwa na nauli ya ugoni halafu unajiona baba mwenye nyumba

Jose, kama unayasoma haya maneno hapa JamiiForums na najua utayasoma kwa sababu huna la kufanya zaidi ya kukaa mtandaoni ukitafuta huruma

Acha kutulilia majirani na acha kutuletea upuzi wako Kama umeshindwa kuhudumia nyumba yako ukakubali mkeo awe uwanja wa fujo wa wanaume wengine ili akuletee chakula, vumilia maumivu, vaa kanga utulie ndani.

Wewe sio mwanaume tena, wewe ni mlinzi wa mlango wa mke wa watu. Sisi mtaani hapa tumeshakuvua nguo na kukuweka kwenye kundi la viumbe visivyo na faida.

Message sent.
 
"Joseph amka mali yako inaliwa., mali yalo imaliwa"...Nimesahau jina la huu wimbo.
 
Du nilijua ni civilian coin
 
jose ndio secretarybird huyu huyu wa jf
 
Back
Top Bottom