Karibu Darisalama.Teh teh
Huu uzi ulikuwa kwa ajili yako?!What makes me think that you is losing your mind,yaani una unazeeka vibaya-got that feeling very soon uta lodge kwenye homes za wazee
Kachanganyikiwa na frustuations za first world,anahitaji maombiKama anayeambiwa ni member wa humu, na mleta mada anajua kwamba muhusika ni member, naomba nisamehewe kwa mawazo yangu machafu juu ya uanaume wa mleta mada.
Not personal man.
Nothing to do with me,huyo ni muathirika wa attention disorder syndromeHuu uzi ulikuwa kwa ajili yako?!
Hapana aunt kapost maksudi ili mlengwa apate ujumbe wake teh teh
Nyani Ngabu wana msemo wao wanasema ndege wafananao.........ila tuache utani kwapa ni janga la kitaifa! Si wanaume si wanawake, unaweza kumuna mdada mzuri kapendeza ila harufu ya jasho balaa au unaweza kukutana na brother yuko smart ila kikwapa kinatema balaa! Ukizungumzia perfume,deodorants humu unaambiwa hayo mambo ya kike blah blah kibao!
Kama anayeambiwa ni member wa humu, na mleta mada anajua kwamba muhusika ni member, naomba nisamehewe kwa mawazo yangu machafu juu ya uanaume wa mleta mada.
Not personal man.
Kachanganyikiwa na frustuations za first world,anahitaji maombi
Hahaaa Billy...mr Assist
Hii mbona wala haimhusu mtu yeyote wa humu...
And I put that on my late great father who passed away 5 years and some change ago.
Sijakutana na mtu yeyote wa humu. Hivyo ondoeni hizo fikra, tafadhali.
Mkuu hata kama ni kwa ajili yake au yeyote yule, ninadhani ukisoma ujumbe msitari kwa msitari utaona kwamba it came out of anger.
Imagine umsubiri mtu masaa 2 late, aje ukae naye, usikie harufu ya kwapa, muendelee kupiga story na kila anachoongea unaona ni pumba, upo tu unamsikiliza, tena unajua kazi yake ni kujiuza (most probably mlikuwa mnafanya negotiations).
Baada ya yote hayo unakuja na uzi wa namna hii.
Kuweni na heshima kwa wanawake bana, ninaamini matured man ana jinsi anavyoweza kufikisha ujumbe lakini siyo kwa matusi ya namna hii.
Kaka...nakuheshimu sana licha ya yaliyokufika humu.
Kama huna jema la kuongea nakushauri uondoke tu hapa.
Usilazimishe makaburi yafukuliwe maana una makandokando mengi mno wewe.
Mkuu lakini kwa heshima ya jinsia ya kike, huja iaddress kiuanaume.
Wish ungetumia choice nyingine ya maneno.