sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Na kusonya kimya hahaha....Nahisi watapita kimya kimya huku
Na kusonya kimya hahaha....Nahisi watapita kimya kimya huku
Hapana mkuu, kuna wanaonizunguka nao zinawatosha.Akili zako zinakutosha wewe tu!
Tatigha mbaneNyankundo lisanghane likange lile..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Na kusonya kimya hahaha....
Wengine tumeelewa, tushaconnect dot kitamboIt just occurred to me that it must be one or the other, or else all hell would have broken loose.
Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.
Nini maana ya WTFUmepanga miadi na mtu toka jana.
Mshakubaliana mtakutania wapi.
Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana.
Mwenzio [demu... najua baadhi hawalipendi hilo neno but oh well...it is what is] anakuja masaa mawili baadaye.
Yaani kachelewa masaa mawili. Kwanza, eti katumia muda mwingi sana saluni. Pili, eti foleni ilikuwa kubwa. Ndo sababu zake za kuchelewa.
Huko ni kuchomeshwa mahindi hadi yanaungua kabisa.
Kama hiyo haitoshi, eti anakuja huku ananuka kikwapa!
Dada gani wa mjini ananuka kikwapa?? Mtu kazi huna...kutwa kucha unashinda unategesha kwenye sehemu za starehe...kiukweli hiyo ndo kazi yako [kujiuza].
Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.
Halafu eti bado unajiona mtu mstaarabu sana.
Anza kupaka deodorant kwanza
Ongeza na mdomo...yaani mimi kheri anuke kikwapa, lakini siyo mdomo! Mnuka mdomo, namdharau sana, kama nilikuwa namweshimu, heshima uisha kabisa.Nyani Ngabu wana msemo wao wanasema ndege wafananao.........ila tuache utani kwapa ni janga la kitaifa! Si wanaume si wanawake, unaweza kumuna mdada mzuri kapendeza ila harufu ya jasho balaa au unaweza kukutana na brother yuko smart ila kikwapa kinatema balaa! Ukizungumzia perfume,deodorants humu unaambiwa hayo mambo ya kike blah blah kibao!
Daah sio kwa kunirusha roho huko.......Totoz....si umeuliza nami nikakujibu.
Au huitaki tena? Nimgaie Heaven Sent?
Afu naitumia mimi mwenyewe au wewe?Nitamuagiza dota jamani.
Sijawahi mkuu... lini atakuwa nae ili nije kuahakikisha mkuu?Hujawahi kuisikia harufu ya kwapa?
ndio yule mlikua mnakula bata kwenye boti?
Aisee! Hata za kuvukia barabara hana mzee?
Mchambo kuntuuuu... Itakua ulimuona kwenye picha eeeh
Acha kelele nalalaHahaaa saw her on the Gram [that’s Instagram for all you dingleberries out there] and I was besotted...
Naah just playing. I don’t even know how to get on it let alone have an account and be active.
Acha kelele nalala