Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,447
- 46,209
Kuna Misi anatafutwa eeehKuna kimoja kwanza used humu, afu kinamdomo..! Kila uzi kiko mbele kama uso, kinanikera shenzi tyyyppeee...!
Kuna Misi anatafutwa eeehKuna kimoja kwanza used humu, afu kinamdomo..! Kila uzi kiko mbele kama uso, kinanikera shenzi tyyyppeee...!
Notification zinanipigia kelele,ulaleKwani niko chumbani kwako
Aisee!! Wadada mje na hapa tena kutoa maelezo.Kuna demu nilimuona wk juz ana umbo zuri hatari nikavutiwa nawe,nikafanya mambo kama kawaida nikamtia kifuani,yaani nilijuta hiyo harufu kama mzoga wa panya aliyefia ndan ana siku nne,nilivyomaliza nikaoga kabisa,kila akinipigia sipokei simu yaani sina kabisa hamu naye tena,yaani Wanaume tuna changamoto sana na tunakutana na vitu vya ajabu,demu ukimuona kaoga kapendeza sasa akuvulie nguo umpige kaz hautaamini harufu ya hapo,alafu iwe staili ya kichuma mboga,we ni hatari,wengine midomo unanuka alafu anataka denda kiukwel inakuwa kaz kwel kwel,hiyo nawapa live kwamba sipo tayari,wengine kabla ya kuvua kikwapa kinanuka hatari ,mi hao huwa napiga kimoja natoka nduki,ila wapo wengine ni wasafi mpaka wanavutia kujipakulia mwenyewe na hakika haujutii kuwa naye
Hahaa. Hongera sana. Usikute alianzia kwa jamaa kabla ya kuja kwako.Vipi kama mimi ndo nilikataa baada ya kunukishwa kikwapa?
Nasubiria mapovu yao ila nimebalance,kwa wanaohusika na wasiohusika,sasa kazi kwao,kama nimemgusa Mtu anisamehe bure,lengo ni kufikisha ujumbeAisee!! Wadada mje na hapa tena kutoa maelezo.
WhatsApp Facebook Twitter....What The F@ckNini maana ya WTF
Umepanga miadi na mtu toka jana.
Mshakubaliana mtakutania wapi.
Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana.
Mwenzio [demu... najua baadhi hawalipendi hilo neno but oh well...it is what is] anakuja masaa mawili baadaye.
Yaani kachelewa masaa mawili. Kwanza, eti katumia muda mwingi sana saluni. Pili, eti foleni ilikuwa kubwa. Ndo sababu zake za kuchelewa.
Huko ni kuchomeshwa mahindi hadi yanaungua kabisa.
Kama hiyo haitoshi, eti anakuja huku ananuka kikwapa!
Dada gani wa mjini ananuka kikwapa?? Mtu kazi huna...kutwa kucha unashinda unategesha kwenye sehemu za starehe...kiukweli hiyo ndo kazi yako [kujiuza].
Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.
Halafu eti bado unajiona mtu mstaarabu sana.
Anza kupaka deodorant kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]WhatsApp Facebook Twitter....What The F@ck
Pole mkuu.. kule wote tuna wowowo wote weupe wote tunakula bata sehemu nzuri wote tunaongea kimalkia. Ila na ujanja wako wote ukachukua dem hana viwango vyako?Hahaaa saw her on the Gram [that’s Instagram for all you dingleberries out there] and I was besotted...
Naah just playing. I don’t even know how to get on it let alone have an account and be active.
Umepanga miadi na mtu toka jana.
Mshakubaliana mtakutania wapi.
Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana.
Mwenzio [demu... najua baadhi hawalipendi hilo neno but oh well...it is what is] anakuja masaa mawili baadaye.
Yaani kachelewa masaa mawili. Kwanza, eti katumia muda mwingi sana saluni. Pili, eti foleni ilikuwa kubwa. Ndo sababu zake za kuchelewa.
Huko ni kuchomeshwa mahindi hadi yanaungua kabisa.
Kama hiyo haitoshi, eti anakuja huku ananuka kikwapa!
Dada gani wa mjini ananuka kikwapa?? Mtu kazi huna...kutwa kucha unashinda unategesha kwenye sehemu za starehe...kiukweli hiyo ndo kazi yako [kujiuza].
Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.
Halafu eti bado unajiona mtu mstaarabu sana.
Anza kupaka deodorant kwanza
Hukujua kama huyo alikuwa ni housegirl?
We ngedere a.k.a. Nyani Ngabu una moyo aiseee, mimi kama nimeahidiana na demu na achelewe dakika 5 tu, natok hiyo sehemu ili akija asinikute. Mwanamke si mtu wa kumuonea huruma hata siku moja, wao wamezoea mateso siku zote raha kwao
Dogo unaanza kuota mapembe eeh!!Afu naitumia mimi mwenyewe au wewe?
Duuuuh!!Hahahaaaa
Hizo nadhani atakuwa nazo maana bado yu hai na hana kilema.
Ila babu kuwa na mtu asiye na akili inahitaji uvumilivu na subira ya hali ya juu sana.
Duuuuh!!
Wanawake tumeumbwa matesoooo[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji442] [emoji351]What’s up?
Wanawake tumeumbwa matesoooo[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji442] [emoji351]
We jamaa likatili kweli.