Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Hakufikii wewe[emoji23][emoji23]We jamaa likatili kweli.
Umepanga miadi na mtu toka jana.
Mshakubaliana mtakutania wapi.
Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana.
Mwenzio [demu... najua baadhi hawalipendi hilo neno but oh well...it is what is] anakuja masaa mawili baadaye.
Yaani kachelewa masaa mawili. Kwanza, eti katumia muda mwingi sana saluni. Pili, eti foleni ilikuwa kubwa. Ndo sababu zake za kuchelewa.
Huko ni kuchomeshwa mahindi hadi yanaungua kabisa.
Kama hiyo haitoshi, eti anakuja huku ananuka kikwapa!
Dada gani wa mjini ananuka kikwapa?? Mtu kazi huna...kutwa kucha unashinda unategesha kwenye sehemu za starehe...kiukweli hiyo ndo kazi yako [kujiuza].
Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.
Halafu eti bado unajiona mtu mstaarabu sana.
Anza kupaka deodorant kwanza
Hakufikii wewe[emoji23][emoji23]
Eee bayaaaa weweHahaaaa Mama Sabrina bana....hivi mimi liNyani Ngabu niko likatili eeh?
Eee bayaaaa wewe
Unaweza kukanyima pipi wewe,kalivyo na kiburi kanakunyakua kanakimbia wala hakajaliHivi ka Sabrina kananiogopa?
Unaweza kukanyima pipi wewe,kalivyo na kiburi kanakunyakua kanakimbia wala hakajali
kama ni hayo tu maana yake ni What ifNisaidie kirefu cha WTF kama kilivyotumika kwenye thread hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kama ni hayo tu maana yake ni What if
teh teh nimecheka sana kwa kweli
ulitaka kusema amesema what the f.ck?
noo bhana
umecheka nimepatia ama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Of cozumecheka nimepatia ama?
teh teh
ok ohoooooOf coz
Kwani wanawake wa kisukuma wananuka vikwapa?Dada wa kisukuma huyo
Lakini ndo ukomage.
Kuvamia vamia watu.Nikomage nini?
Kuvamia vamia watu.