Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

Mdada wa mjini halafu unanuka kwapa. WTF!!!

Kunuka kwapa na mdomo havina me wala ke, jinsia zote zinatakiwa kujiangalia. Lakini wahurumie watu wa Da'slam, daladala na hili joto ni hatari kwa afya ya sehemu za siri.
Mtani..!?

Ja mithi fwa?
 
Kuna kimoja kwanza used humu, afu kinamdomo..! Kila uzi kiko mbele kama uso, kinanikera shenzi tyyyppeee...!
 
Umepanga miadi na mtu toka jana.

Mshakubaliana mtakutania wapi.

Siku na muda ufikapo wewe unaheshimu muda na miadi yako na unafika sehemu ya makutano yenu katika muda mliokubaliana.

Mwenzio [demu... najua baadhi hawalipendi hilo neno but oh well...it is what is] anakuja masaa mawili baadaye.

Yaani kachelewa masaa mawili. Kwanza, eti katumia muda mwingi sana saluni. Pili, eti foleni ilikuwa kubwa. Ndo sababu zake za kuchelewa.

Huko ni kuchomeshwa mahindi hadi yanaungua kabisa.

Kama hiyo haitoshi, eti anakuja huku ananuka kikwapa!

Dada gani wa mjini ananuka kikwapa?? Mtu kazi huna...kutwa kucha unashinda unategesha kwenye sehemu za starehe...kiukweli hiyo ndo kazi yako [kujiuza].

Akili zenyewe huna. Karibu kila kitokacho mdomoni kwako ni pumba tupu. Mbaya zaidi ni kwamba akili huna kwelikweli. Yaani huna hata akili za kujijua kuwa huna akili.

Halafu eti bado unajiona mtu mstaarabu sana.

Anza kupaka deodorant kwanza we paka la baa. Nyambaaaaaf.
Hahahaaaaaa mkuu umeletewa kipolo na kombo washakula wenzio
Alitaka ku maximize pato la siku apige mbili kwa mpigo [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ila wanawake aise Mungu anawaona
 
Ulishampiga gegedo mara kibao tu, leo umehitilafiana na mwenzio sasa umekuja kumchana huku jukwaani.

Zamani wanaume walisifiwa kwa utunzaji wa siri, lakini siku hizi tumekuwa tatizo. Sasa wanawake watafika wapi?

Mwanaume kutoa siri ya demu wako haipendezi, tena unakuwa ni udhaifu.

Nimekusifia tu kwa kuwa hujamtaja jina lake.
Lakini jiwe limemfikia kichwani.
 
Hahahaaaaaa mkuu umeletewa kipolo na kombo washakula wenzio
Alitaka ku maximize pato la siku apige mbili kwa mpigo [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ila wanawake aise Mungu anawaona

Eti eeh? Inawezekana kweli aisee.
 
Ulishampiga gegedo mara kibao tu, leo umehitilafiana na mwenzio sasa umekuja kumchana huku jukwaani.

Zamani wanaume walisifiwa kwa utunzaji wa siri, lakini siku hizi tumekuwa tatizo. Sasa wanawake watafika wapi?

Mwanaume kutoa siri ya demu wako haipendezi, tena unakuwa ni udhaifu.

Nimekusifia tu kwa kuwa hujamtaja jina lake.
Lakini jiwe limemfikia kichwani.

What?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom