LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,360
- 46,524
harusi zinafungwa bomani mchana kweupe mtu ana mashahidi wake wawili me na ke, ndoa inafungwa fasta unarudi nyumbani na mke wako mnakula ugali siku inapita, imetoka hiyoWataoana bila kuwaalika ndugu na jamaa mkuu?