Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,943
- 6,863
Inaelekea ni utaratibu unaotumika karibu dunia nzima. Tofauti ni ufaragha anaopewa mtumiwa. Je unachekiwa na mtu mmoja mkiwa peke yenu au mbele ya kadamnasi?
Amandla...
Amandla...
Ndo utaratibu so lazime akaguliwe aseeSabaya wamemkagua?
CCM waliamini hawawezi kuwa sehemu ya huu udhalilishajiNi kweli haufai. Shida ni pale unaonekana mbaya pale ambapo mpendwa wetu yanapomkuta. Viongozi wa Chadema wengi tu wamepitia kote tu. Na watu walikuwa wanafurahia kuwa watatendewa hivyo walipowekwa rumande. Mimi binafsi hata hiyo ya kutaka watu wachuchumae naona ni udhalilishaji tu.
Amandla...
Ahsante MkuuNi utaratibu wa dunia nzima.
Hua ni ukaguzi kama kuna magendo unaingia nayo gerezani.
Nimecheka Sana , mkuuNdugu mwanaharakati nakuomba pia nenda pale Lugalo halaf waambie hayo maneno yako kwamba ule utaratibu wa kuwavua nguo na kuwapekenyua marinda vijana wanaojuinga na jeshi waache ni udharirishaji
ukifupisha maneno kuhusu majina yao unapata MU.SO.MA...Mu,sibaHuo utaratibu utumike wa Sabaya, Musiba na Makonda kisha ndio urekebishwe.
Ni kwa usalama wao.Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.
Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.
Huu si Ubinadamu ni Unyama.
Ndugu mwanaharakati nakuomba pia nenda pale Lugalo halaf waambie hayo maneno yako kwamba ule utaratibu wa kuwavua nguo na kuwapekenyua marinda vijana wanaojuinga na jeshi waache ni udharirishaji
Hakika... ila walioshabikia nao wanaingia huko hivyo watajionea wenyewe...Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.
Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.
Huu si Ubinadamu ni Unyama.
Aliogopa wasione kibamia chakeOle guna sabaya ni vizuri kakagoma kuoga make kwa mpalange raha yake kisamvu cha kopo kiwemo.
Duh. ..Huo utaratibu utumike wa Sabaya, Musiba na Makonda kisha ndio urekebishwe.
Kumbe ana kinukta?Aliogopa wasione kibamia chake
Nini maana ya teknolojia ya kutumia scanner Mkuu? Au tungali miaka ya 1945 ambako teknolojia ilikuwa bado? Basi na Airports nako waanze kuwachokora abiria wanaopanda ndege au kurejea ili kuona kama hawajaficha vitu!!!Watajuaje hujaficha vitu huko ndani mbona kawaida tu kama umewahi kwenda kule utaon akawaida sema una aibu kuvua nguo mbele za wenzio ila usihofu wote ni wanaume