Mchungaji Msigwa na Joseph Mbilinyi wafungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga unyanyasaji Magerezani

Inaelekea ni utaratibu unaotumika karibu dunia nzima. Tofauti ni ufaragha anaopewa mtumiwa. Je unachekiwa na mtu mmoja mkiwa peke yenu au mbele ya kadamnasi?

Amandla...
 
Ni kweli haufai. Shida ni pale unaonekana mbaya pale ambapo mpendwa wetu yanapomkuta. Viongozi wa Chadema wengi tu wamepitia kote tu. Na watu walikuwa wanafurahia kuwa watatendewa hivyo walipowekwa rumande. Mimi binafsi hata hiyo ya kutaka watu wachuchumae naona ni udhalilishaji tu.

Amandla...
CCM waliamini hawawezi kuwa sehemu ya huu udhalilishaji
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
 
Huo utaratibu utumike wa Sabaya, Musiba na Makonda kisha ndio urekebishwe.
ukifupisha maneno kuhusu majina yao unapata MU.SO.MA...Mu,siba
So, baya
Ma konda.
Yaani mkoa wa wababe Tazania nzima. Tamka Kanda maalum!
 
Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.

Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.

Huu si Ubinadamu ni Unyama.
Ni kwa usalama wao.
 
Kwa hyo unataka kusema wajeshi wote wanefanyiwa hivyo?.
huo nao NI udhalilishaji
Ndugu mwanaharakati nakuomba pia nenda pale Lugalo halaf waambie hayo maneno yako kwamba ule utaratibu wa kuwavua nguo na kuwapekenyua marinda vijana wanaojuinga na jeshi waache ni udharirishaji
 
Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.

Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.

Huu si Ubinadamu ni Unyama.
Hakika... ila walioshabikia nao wanaingia huko hivyo watajionea wenyewe...
 
Watajuaje hujaficha vitu huko ndani mbona kawaida tu kama umewahi kwenda kule utaon akawaida sema una aibu kuvua nguo mbele za wenzio ila usihofu wote ni wanaume
Nini maana ya teknolojia ya kutumia scanner Mkuu? Au tungali miaka ya 1945 ambako teknolojia ilikuwa bado? Basi na Airports nako waanze kuwachokora abiria wanaopanda ndege au kurejea ili kuona kama hawajaficha vitu!!!
 
Nadhani tutafute utaratibu mwingine wa kuzuia bange kufichwa huko nyuma Ili kuepuka mpekenyeo
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom